Ni aibu kubwa sana ukiisikiliza speech ya waziri mkuu!
Ni kweli viongozi wakuu waheshimiwe lakini kauli tupu pasipo maandishi ni usanii mtupu!
Wahenga waliwahi kusema "government work on paper "
Maagizo bubu ya midomo kama hayo tuliyasikia kwenye shirika la umeme kwamba Nguzo za umeme ni...
NABII MUSA HAJAWAHI KUMTAJA SHETANI MAHALI POPOTE KATIKA MAANDISHI YAKE; UASI NI UAMUZI WA MTU NA SIO SHETANI.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani
Mhusika Shetani amekuwa zaidi maarufu katika vitabu vya Injili kuliko vitabu vya Torati, Zaburi na vitabu vya manabii wadogo kama kina Daniel, Yona...
Nikikuona dada mrembo umevaa nguo yenye maandishi ya kunishawishi au kusisimua, nitachukulia yale maandishi ndicho wewe unacho maanisha.
Kwa hiyo mimi nikitekeleza kwa kufuata yale maandishi yanavyotaka mimi nifanye, usinione mi mbaya.
Shauri yenu warembo, endeleeni kuvaa nguo zilizoandikwa...
johnthebaptist Umewatukana chadema mpaka Moderators wakafuta uzi wako. Jitafakati!
Kwa "heshima" yako humu JF, hukupashwa kuandika kitu kama hiki, to quote you!
CHADEMA kwa kupenda 'mapochopocho' unaweza kukuta kikao cha Rais Mwinyi wamejazana Watanganyika badala ya kuwapa fursa Wazanzibari!
Wakuu naomba kujuzwa hii imekaaje kisheria , endapo nimempangisha mtu chumba akakitumia kwa muda mrefu bila kunilipa kodi na hakuna mkataba wa maandishi tuliofanya, Je, nguvu ya kudai malipo yangu ya kodi ikoje kisheria ?
Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda...
Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa...
IJUMAA iliyopita amefariki dunia beki wa Ruvu Shooting, Ally Mtoni ‘Sonso’ na alizikwa Jumamosi. Sonso enzi za uhai wake aliwahi pia kuzicheza Lipuli, Yanga na Kagera Sugar. Zaidi ya hapo amewahi kuipigania jezi ya timu ya taifa.
Ni mara chache kwa taifa letu kutokea kifo cha mchezaji wa Ligi...
Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi.
Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
Kampuni ya Punch company limited
Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA KUJIBU MANUNGUNIKO ya watu na badala yake yakawa laana... Mathalani:-
...... Mchawi sana/Freemason...
Nawasalaam ndugu zangu wapendwa natumai wote ni wazima wa afya.
Moja kwa moja nianze na maandishi yangu meusi yaliyo katika karatasi nyeupe na haishangazi sana mana ni utaratibu na uandishi wenye kusomeka kama sio kueleweka kwa urahisi zaidi na ndio maana unapata nafasi maridhawa ya kusoma...
Natumaini mko poa.
Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi. Chama kiendelee. Leo tena nimeona niandike kuhusu jambo la kusikitisha sana ingawa linachukuliwa kikawaida. Tukiachana na hili tatizo la kuchanganya "R" na "L" kuna tabia nyingine hatari zaidi.
Kama mjuavyo kwa miaka mingi nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.