maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

    Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali. Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake wajane, wanacheza sana draft...
  2. Eli Cohen

    Kwanini kumeongezeka trend ya Watanzania kukamatika kirahisi katika utapeli na watu maarufu?

    Upatu na ponzi scheme zimekula pesa za watu sanaaa, na imekuwa rahisi kuliwa pesa zao kama mtu huyo anaekusanya pesa zao akiwa ni mtu maarufu kwenye mitandao au biashara. Ni tamaa za kupata faida haraka haraka ambazo unakuta wanahaidiwa? Ulimbukeni wetu katika maswala ya uwekezaji?
  3. chizcom

    Kuna kipindi redio nyingi mfano EFM zilifikia steji mtu yoyote sababu maarufu naye ni mtangazaji

    Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo. Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?. Mpoki naye nilishawai kumsikia kwenye maredio mpaka gigy money. Hivi vyombo vya habari bila kuzibitiwa kuna siku wachambuzi wa siasa...
  4. The Watchman

    Bandari ya Mtwara imepokea meli iliyobeba viuatilifu maarufu kama salpha tani 9,202

    Bandari ya Mtwara mkoani Mtwara, imepokea meli ya kwanza kati ya nne ambazo zinatarajiwa kuleta viuatilifu kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa zao la korosho nchini, kwa msimu wa mwaka 2025/2026. Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa Bandari Ferdinand Nyath, amesema meli hiyo imewasili...
  5. Braza Kede

    Je unawakumbuka herbalist maarufu wa kitambo hicho?

    Mimi nimewakumbuka hawa - Profesa Matunge r.i.p - Hawa Nyamichwo r.i.p - Ng'winzukulu Jilala r.i.p - Profesa Majimarefu r.i.p - Dr. Rahabu Lubago - Dr. Isaac Ndodi
  6. chiembe

    Kwa nini mti maarufu soko la Nyasho ukatwe ili kujenga soko? Kwa nini isiwe sehemu ya kuenzi historia? Wachora ramani mnafeli wapi kujumuisha nature?

    Nikifika Mwanza eneo la kapripoint, nafurahishwa na namna jinsi wachora ramani walivyoyaweka majengo yakaishi na nature, bila kuharibu mazingira. Kuna tatizo la ubunifu. Ukiangalia majengo mengi nchini ni kama majengo yanafanana, hakuna utundu. Niliwahi kutoa challenge watu wajadili ubunifu...
  7. Full charge

    TANZIA Shabiki Maarufu Wa Simba SC Mjata Mjata maarufu kama mpaka Mafuta Afariki Dunia

    #TANZIA: Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu mkoani Tanga. Mjata alikuwa mmoja wa wadau wa soka waliokuwa na mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa soka, na hasa kupitia upendo wake kwa timu ya Simba SC. Mjata Mjata ni miongoni mwa mashabiki...
  8. Lycaon pictus

    Watu maarufu duniani wenye asili ya Tanzania

    Nasikia director mpya wa FBI ana asili ya Tanzania. Ndugu yetu kabisa🙂. Ni watu gani wengine maarufu wana asili ya Tanzania. 1. Freddie Mercury. Alikuwa muimbaji wa bendi ya muziki ya Queen. Ukitaja waimbaji kumi wa muda wote duniani huwezi kumkosa. Alizaliwa Zanzibar mwaka 1946. Alikuwa upinde...
  9. Davidmmarista

    Je ni kitu gani kilikufanya uwe maarufu shuleni?

    Mdau karibu utuambie
  10. T

    Maneno maarufu ya Kiswahili yaliyotokana na kukosewa kwa matamashi. Charan Singh - Cherehani

    (1) Cherehan - Charan Singh. Inaarifiwa uyu ndo fundi nguo wa kwanza afrika mashariki na waswahili tukashindwa kutamka jina lake tukawa tuna litamka cherehani. (2) Kariakoo - Carrier Corps. Ofisi za kikosi cha Jeshi la mkoloni Muingereza cha kubebea vifaa vya kijeshi. (3) Ndafu - Mzungu...
  11. Mwanadiplomasia Mahiri

    Kwanini Mwaka wa Uchaguzi Mkuu, viongozi wengi au watu maarufu hufariki?

    Mwaka 2015 wakati Taifa linajiandaa na Uchaguzi Mkuu, baadhi ya watu mashuhuri walipoteza uhai. Wachache wao ni kama Mchungaji Christopher Mtikila, Emanuel Makaidi, Deo Filikunjombe nk Nimeuliza haya, maana miezi michache ijayo Taifa litakuwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa kuchagua Rais, Wabunge na...
  12. JanguKamaJangu

    Mwanzilishi Mwenza wa Lebo ya Murder Inc Records, Irv Gotti afariki Dunia

    Producer maarufu duniani Irv Gotti amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 54. Chanzo cha kifo chake bado hakijatajwa huku ripoti za awali zikisema mwaka jana alipata tatizo la kupooza kwa muda mfupi na baadae kupata nafuu. Irv Gotti ambaye jina lake halisi ni Irving Domingo Lorenzo Jr...
  13. Kitambi chakufutia tachi

    FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
  14. Mohamed Said

    Kongamano la Wazee Maarufu na Mashuhuri wa Tabora

    https://www.youtube.com/live/DbZXc2xgRBw?si=a-oNRfgTi6lXcL_v
  15. Sir John Roberts

    Hivi serikali haioni hawa wanawake wanaocheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko?

    Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam ikizidi kukuwa kwa kasi . Mkuu wa mkoa yupo , Wakuu wa wilaya wapo na viongozi wote wa serikali...
  16. Kidagaa kimemwozea

    Makabila maarufu Afrika

    The 47 Most Prominent Tribes in Africa 1. Maasai (Kenya🇰🇪, Tanzania🇹🇿): Migrated from the Nile Valley between the 15th and 18th centuries AD. 2. Zulu (South Africa🇿🇦): Rose under Shaka Zulu in the early 19th century, with Bantu roots dating back to 3000–2000 BC. 3. Hausa (Nigeria🇳🇬, Niger🇳🇪...
  17. Mtoa Taarifa

    TANROADS yapiga maarufu Watu kupita kwenye Flyovers kwa Miguu

    Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) imewataka Wananchi kuacha kutumia Madaraja ya juu maarufu kama Flyover isivyotakiwa kama kupita kwa miguu juu ya Madaraja hayo au kupiga picha mnato( selfii),kupiga picha za harusi na kufanya mazoezi katika Madaraja hayo. Hayo yamesemwa na Meneja wa...
  18. Fortilo

    Mwandishi maarufu JF aliteswa sana baada ya yale Maswali

    Hii habari imenisikitisha sana Kuna mwanafamilia mmoja wa Mwandishi huyo alisoma nae Tambaza anasema Mwandishi huyo maarufu humu JF aliteswa sana baada ya yale maswali. Ilifika mahali alitamani kurudi kijijini na kama sio uhusiano wake na Rais Mkapa mambo yangekuwa mengine Hii ni kwenye...
  19. T

    Zipi ni nyimbo maarufu za kuaga mwaka 2024 na kukaribisha mwaka mpya 2025?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, je ni zipi nyimbo maarufu za kuaga na kukaribisha mwaka? mm nafahamu ule wa Abba group, na ule wa huruma kwa wagonjwa, wadau karibuni mtiririke.
  20. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
Back
Top Bottom