maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Kwanini watu maarufu na matajiri wengi kila wakifa cancer ndiyo chanzo?

    Enh, hawa wote wamekufankwa hiyo issue Paul Allen Sheldon Adelson Zhao Ning Dietrich Mateschitz Steve Jobs David Koch Kirk Kerkorian Jon Huntsman Sr. Richard Pratt James Simons Audrey Hepburn Patrick Swayze David Bowie Alan Rickman Farrah Fawcett Steve McQueen Bob Marley Luciano Pavarotti...
  2. Mr Why

    Mtandao wa Twitter uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wa dini umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi duniani wameupuuza

    Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
  3. ngara23

    Abduli mbona amekuwa maarufu sana?

    Mitandaoni huyu jamaa ana trend japo hana wadhifa wowote serikalini lakini inaonekana kama ndo mtendaji Mkuu wa serikali, labda cheo chake hakipo dhahiri 1. Rais Mseveni wa Uganda Ali tweet Ati ametembelewa na ugeni wa Mseveni na wameingia mkataba ya nishati na Tanzania Sasa Abduli alienda kama...
  4. U

    Mwenyekiti wa CHADEMA asiye maarufu

    Najisikia vibaya kutenda dhambi leo kwa kuwapa mbinu wale watawala wa Puerto Rico mana naona wanataka kutumia njia mbaya ya kumng'ng'aniza Mbowe awe mwenyekiti ili azeeke kwa stress akiwa mwenyekiti mana kachokwa haswa na Lisu hatakiwi. Mnakumbuka ule uchaguzi wa DRC ambapo Joseph Kabila...
  5. ESCORT 1

    Watu maarufu waliofariki mwaka 2024

    Tujikumbushe watu maarufu wakiwemo wanasiasa, wasanii, wanamichezo waliotutoka mwaka 2024
  6. Mnyamahodzo

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo. Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni kuwa, wapo matajiri wanataka semi hizo ziandikwe, wakati mwingine ni madereva wenyewe huwa ndiyo...
  7. Junior Lecturer

    Nimemfuma mke wangu akimfunda jirani/maarufu kama shoga yake kuchepuka

    Asalaam wana JF! Leo sikuwa na ratiba ya kwenda popote, nikasema wacha niadhimishe 9 Dec hapa hapa nyumbani, mpaka pale nilipopigiwa simu na Mwenyekiti wangu mpya wa mtaa aliyechaguliwa kwa kura chache sana na kutangazwa mshindi chini ya ulinzi mkali sana. Sijui kwanini, lakini ni Mwenyekiti...
  8. A

    Kuna mtu maarufu namtumia meseji IG hazifiki. Nifanye nini zimfikie?

    Wakuu ni muda Sasa nimekuwa nikimtumia mtu maarufu Instagram mweye followers zaidi ya 1M lakini meseji hazifiki! Hivi ni kwanini? Nifanye vipi aweze kuona text zangu? Naomba kuwasilisha
  9. Yoda

    Kwa nini muziki wa Congo unapendwa na umejipatia umaarufu sana Tanzania?

    Umaarufu na kupendwa sana kwa muziki wa Congo(DRC) imetokana na nini wakati hata raia wa nchi hii hasa wapenzi wa huo muziki hata hawajui lugha za Kifaransa, Kikongo au Kilingala? Amapiano japo huwa hakijulikani nini huwa kinaimbwa ila naweza kuelewa unapendwa labda kwa sababu ya makelele yake...
  10. Mindyou

    Kizza Besigye, mkosoaji maarufu wa Rais Museveni atekwa akiwa Nairobi, Kenya, Mkewe atoa tamko!

    Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda, Kizza Besigye (68), anadaiwa kukamatwa na kuwa chini ya ulinzi wa kijeshi akiwa nchini Kenya. Mke wa Besigye, Winnie Byanyima, ambaye pia ni mtetezi wa haki za binadamu, alieleza kuwa mumewe alikamatwa mjini...
  11. Waufukweni

    Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  12. Eli Cohen

    Tuwe wawazi, ni mtu gani maarufu ulipokuwa mdogo uli mu-idolize sana kupelekea hadi ukawa na chembe chembe za style yake

    Mimi kusema kweli ni huyu mwamba in early 2000s (2001 na 2002) haha hadi nikawa napiga cross kama yeye tukicheza sodo.
  13. Teko Modise

    Mjue Robert Chesebrough: Mvumbuzi wa Mafuta Maarufu leo hii Vaseline

    Wakati wengine wakikimbilia fursa ya mafuta baada ya kugunduliwa, yeye aliiona fulsa kwenye uchafu wa mafuta uliokuwa ukiwakera watu. Anakumbukwa sana kwa kauli yake maarufu isemayo: "Innovation doesn’t happen in laboratories; it’s discovered in the field." Na hii ndiyo hadithi yake. Mwaka...
  14. Mshana Jr

    Kutana na Mwanamke Maarufu mwizi zaidi duniani Phoolan Devi,

    Kutana na Mwanamke Maarufu mwizi zaidi duniani Phoolan Devi, Kutoka kwenye unyanyaswa kijisia, kuwa mwizi, kuingia jela na hadi kuwa mbunge kutetea wanawake nchini india. Anakumbukwa kwa famous qoute inayosema. "If there were justice in the world, I would have been a nobody" Na hii ndio...
  15. U

    Khalil Muhammad Amhaz kamanda mwandamizi Hezbollah kitengo cha drone maarufu kwa jina la unit 127 auawa kwa shambulizi la ndege za IDF

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki nyumba ya Yakobo October 23, 2024 IDF: Prominent member of Hezbollah drone unit killed in airstrike By Emanuel Fabian Follow Today, 9:12 am A prominent member of Hezbollah’s drone unit was killed in an Israeli...
  16. Damaso

    Kifahamu kisa maarufu cha Stephen Gore

    Ebu nikuulize swali Je, Maisha yako yana Thamani ya Kiasi gani? Moyo unaweza kununuliwa kwa kiasi gani?, Je Ini lako lina thamani ya kiasi gani? Je hiyo figo hugharimu kiasi gani? Kama mtu una tamaa ya pesa ya haraka haraka unaweza kuingia mtandaoni na kuanza kuuliza bei ya viungo vyako. Ila...
  17. Mad Max

    BYD wazindua magari yao maarufu matatu ya umeme (Dolphin, Seal na Atto 3) nchini Kenya

    Ndio, haujakosea kusoma. Officially kampuni maarufu duniani la kutengeneza magari ya umeme kutoka China, BYD wameingia Kenya. Sio kwa used car, bali officially kama sisi Tanzania wanavyoingia San LG. Wameanza na magari matatu ambayo ni top-selling Duniani. Kwanza ni BYD Seal ambayo ni sedan...
  18. Eli Cohen

    Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

    Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua. Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung. Karibuni;;;;;;;
  19. Pdidy

    KIpa wa Simba Camara apokea hela kutoka kwa mfanyabiashara maarufu wa Nguruwe

    Mfanyabiashara mkubwa wa nguruwe dar es salaam na Dodoma amempatatia kipa wa Simba hela Katika makabidhiano hayo mh sana anasema alifurahi saves zolizooneshwa na mouse Camara libya akamhaidi kumpatia hela kadhaa Hakuishia hapoo akasema kwa wasiomjua yeye ni mfanyabiashara mkubwa wa Nguruwe...
  20. The Boss

    Wabongo celebrity kujazana kwenye page za watu maarufu duniani ni aibu sana

    Yaani unaingia page ya mtu maarufu dunia nzima unakutana na comments za wabongo ambao na wao maarufu hapa bongo zinatia aibu. Ni kama wanalazimisha umaarufu sehemu ambako sio sahihi. Ukiingia page ya Fabrizio unakutana na wachambuzi wa kibongo nao wanaleta ujuaji huko na kingereza cha kuunga...
Back
Top Bottom