mabango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sherehe ni za wanawake wote ila Mabango yote yana picha ya mwanamke mmoja tu!

    Nilitaraji basi kuwe na Mabango ya wanawake wengi walio wahi kutoa mchango wao kwenye hili Taifa. Ila inaonekana mwanamke ni mmoja tu ni Mama, Wengine wote labda ni wanaume kwa mujibu wa chawa. Ilipaswa kuwe na picha za wakina Bibititi Mohamed, Spika wa Bunge wa kipindi kile Anna Makinda,vna wa...
  2. Hivi AU na UN wanafanya jitihada zipi kuushinda utumwa wa binadamu unaofanyika Libya? Au hadi Israel ihusike ndiyo tuone mabango kila kona?

    Unaweza kudhania hivi ni vipande vya filamu ila hizi ni picha za ukweli. Huyo binti hapo juu, mwenye asili ya Kihabeshi anaripotiwa kutekwa na kuteswa. Watekaji wanahitaji dollar 6000 ili aachiwe huru. Yupo katika mateso tangu may 2024. Hao wengine nyuma yake ni wahanga wa utumwa. Nina...
  3. MNAOGEUZA MABANGO YANAYOONESHA LOCATION ZA MTAA MNATUPOTEZA WAGENI

    Kuna baadhi ya watu wasiojielewa wamekuwa na desturi ya kuchezea vile vibango vinavyoonesha location za mitaa mwisho wa siku wanavigeuza Yaani kama mtaa upo mashariki basi kile kibango kinageuziwa magharibi. MNATUPOTEZA wageni
  4. Unawakutaga na mabango ya "DEATH TO AMERICA", alafu tabu inapowafikia nchi ya kwanza kuanza asylum ni America. Unafiki mkubwa

    Mara ooh "mashoga", mara mashetani, mara illuminati ila wanapoeletewa shari na watu wa itikadi yao wenyewe tena wanakimbilia kule kwa mashoga kupata hifadhi zidi ya majanga na vifo wanavyoletewa na watu wao wa itikadi sawa wanaoikubali. . Mna vituko sanaa🚮🚮
  5. M

    Pre GE2025 Kigaila: Rais Samia hajaanzisha mradi wowote tangu awe Rais isipokuwa mradi wa mabango ya Mama anaupiga Mwingi!

    Kigaila adai Magufuli amekuwa mwaka 2021 tukiwa na miaka 60 ya uhuru ameacha tunadaiwa deni la Taifa Triolioni 59, sawa na wastani kwa Mwaka Trilioni Moja moja. Samia yuko Madarakani mwaka wa tatu tangu 2021 amepandisha deni la taifa kutoka trilioni 59 mpaka Trilioni 98 kwa wastani wa kukopa...
  6. Raisi wa Marekani anaongea hakuna yale mabango ya kuupiga mwingi wala kampuni ya kuandaa mikutano

  7. Pre GE2025 Mwanasiasa atakayebandika Mabango ya Kampeni ayaondoe Uchaguzi Ukiisha ili Kulinda Mazingira yetu

    Salaam Wakuu Kipindi cha Kampeni, kumekuwa na tabia ya Wanasiasa ya kubandika Mabango ya Kampeni kwenye Mitaa, Barabarani na hata kwenye kuta za nyimba za watu. Lakini Uchaguzi Ukiisha hawarudi kuondoa mabango yao ambayo yanageuka Uchafu Mitaani. Tamisemi isisimamie kura tu na hesabu bali...
  8. Tangu juzi nipo mitaa ya Barcelona kashinda derby 4-0 lakini sijaona mabango ushamba mzigo

    Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
  9. Pre GE2025 Haya mabango ya Kisiasa yaliyosambaa Mitaani kabla ya Kampeni, je Wapinzani nao wakitaka kuweka wataruhusiwa?

    Kuna suala linalonitatiza na kuleta kero kwa wananchi kama mimi, nalo ni wimbi la mabango yanayoendelea kuwekwa kila kona yakimsifu Rais, kiongozi wa chama tawala, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mafanikio ya serikali yake. Mabango haya yameenea kwa kasi, na ni ya chama tawala pekee, bila kuonesha...
  10. Tuwakumbushe watoto wa 2000 na waweka mabango kuhusu mechi za simba na yanga

    Tuweke kumbukumbu sawa yanga ashapigwa na simba 1.6-0 2.5-0 3.4-1 4.3-1 5.2-0 6.1-0 Yanga washakimbia kabla ya mechi mara mbili na moja kipindi cha pili wakaingia mitini hizi ni rekodi za simba kuinyanyasa yanga Uto tunaitaka rekodi kama hii tuione!
  11. Ushuru wa Mabango: Serikali na vyama vya siasa wanalipia mabango yao barabarani?

    Sasa hivi ukipita barabarani kuanzia mwanza mpaka Mtwara ni mabango ya CCM au Mama Samia yakielezea amefanya moja au mbili na pongezi kibao. Ziwe za kweli au uwongo zote zimepangiliwa njia nzima mithili ya maua kwenye misiba ya kishua. Swali langu ni je, tunapata mapato yoyote kwenye mabango...
  12. T

    Nimeshangazwa na Ushuru wa serikali wa kulipia mabango ambayo yapo kwenye biashara yako, mfano juu ya paa la sehemu yako ya biashara!

    Wakuu, Watu kutoka manispaa za Kinondoni na Temeke wamekuwa na hekaheka za kwenda kwenye sehemu za wafanyabiashara, maarufu kama fremu na kupima mabango ambayo yapo kwenye sehemu za biashara, na kudai yalipiwe. Hizo ni sheria za manispaa. Najiuliza sana, kuwa bango lengo lake ni kuelekeza...
  13. Pre GE2025 Waziri Kassim Majaliwa: Polisi msizuie Wananchi wanaokuja na mabango kwenye mikutano yangu

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi Temeke kutozuia wananchi watakaobeba mabango kuwasilisha kero zao, kwa kile alichosema ni utaratibu wa ziara zake kusikiliza na kutatua kero za wananchi, pia amesema hapangiwi ratiba. Katika kufafanua hilo Majaliwa amesema: Nitatembelea...
  14. O

    Tunatengeneza mabango ya 3D yawakayo

    Mabango ya acrylic 3D yawakayo Ni mabango yenye herufi zilizoumuka zionekanazo pande 3(3D) na zenye mfumo wa umeme. Huundwa toka kwenye material ya akriliki ambapo ni aina ya plastic inayoonekana kama kioo lakini nyepesi na laini itumikayo kama mbadala salama wa kioo. Kulingana nakua na...
  15. Kodi za mabango si rariki kwa soko la ajira na uchumi.

    Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho. Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia mpaka sh10,000 Kwa squer feet 1. Nakumbuka makampuni mengi sana yalikuwa na utaratibu wa kuweka...
  16. Hivi haya mabango "jiunge freemason na mganga wa jadi kutoka mkoq wa "yanabandikwa saa ngapi.

    Habari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini. Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya nguzo za umeme au kuta za nyumba pembezoni mwa badabara hivi ni watu wa kawaida wanabandika au ni...
  17. Elimu si kipaumbele: Hela za Mabango na wasanii zipo za vitabu hakuna!

    Mtaala wa form 5 unasitishwa kwakuwa hakuna fedha za vitabu, holi siyo jambo la ajabu kwakuwa hienda si kipaumbele cha mhusika , Waziri wa Elimu na Kaatibu mkuu. Wamelala nyumba ya seriaklai na gari ya serikali ya milioni 450 ianguruma hapo nje. Haya, tuendele kunywa mtori, nyama zipo chini.
  18. A

    KERO Namna Vipeperushi vya Matangazo vinavyochafua mazingira

    Habari mimi ni Mdau wa Jamii Forums kutoka Arusha. Naomba utusaidie kupaza sauti dhidi ya watu wanaochafua mazingira na mabango haya kwan wao baada ya kumaliza mikutano yao huwa hawana utaratibu wa kurudi kusafisha maeneo wanayoyachafua. Wabandikaji wa mabango haya wamekuwa wakiyabandika bila...
  19. B

    Miji yetu mingi imejaa mabango yasiyo na tija

    Hapa katikati kumezuka kasumba mbaya sana kwa baadhi ya miji na majiji yetu kuzongwa na wingi wa mabango yasiyo na tija kwa uchumi wa nchi yetu. Kila sehemu unaenda unakutana na mabango tena makubwa makubwa mengine ya mtu kumpongeza mke wake au mume wake kwa jinsi anavyompenda n.k. Hii inaleta...
  20. Waziri Ndumbaro kama kweli wewe ni Mzalendo, kataza Nguo za Rais Samia uwanjani, amuru mabango ya kumtukuza Rais Samia na CCM yasikanyage uwanjani

    Waziri Ndumbaro ni msomi mkubwa wa Sheria, walau kwa kurejea historia ya elimu yake bila kujali uhalisia wa mambo anayofanya. Kwamba Waziri Ndumbaro hajui kuwa FIFA hairuhusu serikali kuingilia masuala ya mpira wa miguu? na tangu lini uzalendo unalazimishwa? Ni kukosa ubunifu wa kuendeleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…