Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k
Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua.
=========
Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar
Baadhi ya mabango yakiwa yameondolewa eneo la ujezi wa flyover-Chang'ombe
Uchaguzi ulikwisha.
Na kwa bahati mbaya sana Mungu alimpenda zaidi tuliyempenda, hivyo sio vema kuendelea kuona sura yake ikipiga kampeni kwa picha zile za unyenyekevu.
Kwa Dar es Salaam hili lilifanyika punde tu parapanda ilipolia, sijui ni kwamba hawakumhitaji tena au zile nguzo zilipangiwa...
Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango?
Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao?
Mabango ni haki ya wananchi kueleza...
Chalamila alitoa ruksa kwamba tunaweza kubeba mabango kumkaribisha Raisi na kuandika chochote, hata tusi. Chalamila kaondolewa, lakini sijasikia serikali ikibatilisha tamko hili la ruksa.
Nadhani busara zitumike, na batilisho litolewe. La sivyo mkiona bango langu lina matusi ya nguoni tusilaumiane.
Mwanafunzi Josephat John hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB
OR-TAMISEMI,DODOMA
Mwanafunzi Josephat John aliyekuwa anasoma kidato cha nne shule ya Sekondari Kom iliyopo kwenye Manispaa ya Shinyanga alizua taharuki baada ya kujianika juani huku akiwa amevaa mabango yenye...
Songwe Airport
MY TAKE
Hivi bkweli creativity imeshindikana mpaka kwenda kutundika mbango kama huu ukuta wa airport? Kwanini wahusika wasiweke poles barabarani kubandika tangazo lao?
Where r the standards TAA or TCAA? Inakera kwakweli, badala ya kuwa na screen ya kuonyesha departure...
Naandika haya huku nacheka sana,
Mmoja wa wateja wangu alitaka kufanya Campaign kubwa ya kitaifa kwa ajili ya bidhaa yake/ huduma. Kama ilivyo kawaida yangu nilimpatia baadhi ya Maangalizo ikiwamo umuhimu wa kuwa strategic na cost conscious ili asije tumia pesa nyingi kufanya matangazo ambayo...
Kumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi.
Je, hali hii inamaanisha ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa/ wawakilishi na watendaji/ watumishi wa umma katika kazi zao?
Miye ni mjasirialmali mwenye hamu ya kujikwamua kiuchumi. Naomba kujua yafuatayo kuhusu kodi ya mabango ya matangazo ya biashara:
1. Ukiweka bango kwenye Barababa, kwa mfano ya Sirari - Mwanza linatozwa kodi na TARURA au na TANROADS? Nauliza kuhusu hizi taasisi mbili kwa vile inavyoelekea hili...
Kuna kitu ambacho siyo cha kawaida, ambacho sijawahi kukiona katika miaka ya nyuma katika tawala zilizopita, kwa kuyabakiza mabango kwa maelfu yanaendelea kuwepo sehemu mbalimbali nchini, wakati uchaguzi ushakwisha!
Mabango hayo yalitengenezwa maalum kwa ajili ya uchaguzi mkuu pekee na kwa...
Katika tukio linalofananishwa na lililotokea jijini Dar es Salaam katika jimbo la kawe, kuna mbuzi ameonekana akiharibu mabango ya mgombea wa ubunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mh. Abdul-Aziz Abood.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.