mabango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huyu hapa Komediani anayetoa elimu ya Virusi vya Ebola kwa njia ya mabango barabarani

    Comedian ANTON KAMONGA ambaye amekuwa akisambaza ujumbe wake wa mada mbalimbali kwa njia ya mabango, akionesha mabango yenye kutoa elimu kuhusu Virusi vya Ebola Pia soma: Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake
  2. Natengeneza vipeperushi ,business card , social media post , product label na ishu nying za maswala ya graphics designing ikijumuksha mabango n.k

    Naitwa sharifu mussa, ni graphics designer wa Ot Technology, karibuni sana wateja kupata huduma mbali mbali za graphics designing ikiwemo label za bidhaa , business card, mabango ,. Gharama zetu ni stahiki sana na kazi zenye ubora. Wasiliana nasi. +255 620 155 490 Follow us Ot technology tz
  3. Waziri Mwigulu awaagiza TRA kuweka mabango mipakani

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ameiagiza Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kuweka mabango hasa katika maeneo ya mipakani mwa nchi jirani kuelezea bidhaa ambazo zinapaswa kutozwa ushuru na zisizotakiwa kutozwa. Mwigulu ametoa agizo hilo leo Septemba 11, 2022 katika mji wa Sirari...
  4. Mabango ya kitabu cha Sheikh Ponda kwenye kuta za nyumba mitaani Dar es Salaam

    MABANGO YA KITABU CHA SHEIKH PONDA KWENYE KUTA ZA NYUMBA MITAANI DAR ES SALAAM Nakumbuka siku ya kwanza nilipokutana na Sheikh Ponda ilikuwa mwaka wa 1988 kwenye semina ya vijana Kiislam Iliyofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE). Sheikh Ponda na kijana mmoja kutoka Zanzibar, Sheikh Salum...
  5. Watu wa maji na beacon zao na mabango ya ilani kuwekwa kwenye makazi

    Hivi karibuni katika mtaa ninaoishi ambapo pia nimejenga nyumba ninayoishi,kumejitokeza watu wanaojiita Bodi ya maji ya Bonde la Ziwa Nyasa wakidai kuwa hili ni eneo la chanzo cha maji hivyo hapapaswi kufanya shughuli zozote za kibinadamu. Kilichonishangaza ni kuwa watu walipokuwa wanajenga...
  6. Kulipa BIMA kidigital kumeondoa Kanjanja wengi Mitaani. Ofisi nyingi zimefungwa na Mabango yameondolewa

    Wana Jf Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja huku ukilipishwa kitu hewa ilimradi tu umepewa stika trafiki asikubuguzi huku waliomba Mungu usipate...
  7. Mabango ya picha ya Rais kwenye shughuli mbalimbali haukuwepo kabla ya 2015. Uondolewe kupunguza gharama?

    Habari wakubwa, Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea kuanzia awamu ya 5 na hii ya sasa tuliyonayo shughuli za kitaifa anazohudhuria Rais zinambatana na mabago 'banners' makubwa yenye picha ya Rais pamoja jumbe au kaulimbiu kulingana na shughuli husika iwe maadhimisho, sikukuu za kitaifa na...
  8. M

    Bango la Anwani za Makazi likiwa limekosewa

    Sekou Toure Road 👇
  9. Kati ya mabango yaliyopita kwenye Mei Mosi, ni kwanini hakuna hata bango, lililokemea ufisadi mkubwa uliofanywa Serikalini wa mabilioni ya shilingi?

    Nimeyaangalia mabango yote, yaliyobebwa na wafanyakazi, yaliyopita mbele ya mgeni wa heshima, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, sikuona hata bango moja, lililokemea vikali ufisadi mkubwa uliofichuliwa na CAG, Charles Kicheere, wa ufujaji wa mabilioni ya shilingi za pesa za walipa kodi wa nchi...
  10. Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  11. Rais Samia: Kisiasa tupo vizuri, leo wanangu wamejipanga na Mabango yao nikawaambia nimewaona, nikawapungia Mkono

    Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri. Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini. "Nimeunda timu ndani ya vyama vya siasa, tumeweka Jeshi la...
  12. M

    Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

    Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya. Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
  13. Napendekeza siku ya Kumbukizi ya Hayati Magufuli tuandamane na mabango hadi kaburini ili kuhiji na kuonesha hisia zetu

    Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado. Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani. Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli...
  14. Mabango ya Wakala Tanzania

    Watengenezaji wa Mabango Tanzania kwa gharama nafuu zaidi. karibu tukuhudumie, wasiliana nasi kwa namba 0762399650 kwa maelezo zaidi.
  15. Watengeneza Mabango, logo na Vipeperushi

    Wataalam na mabingwa wa kutungeneza Mabango Tanzania, Logo, Posters, Flyers na uchapishaji (Printing). Wasiliana nasi kwa 0762 399 650 kwa maelezo zaidi.
  16. M

    Mabango ya Makanisa

    Makanisa Makubwa kama RC, KKKT, Anglican, Sabato na Moravian wanekuwa wakijitambulisha katika Lugha inayoeleweka na wengi. Hata ktk Mabango yao utakuta yameandikwa Kiswahili Mfano kanisa Katoliki....., Kanisa la Kiinjilisti la Kilutheri Tayosisi.... nk. Lakini haya makanisa mengine unakuta...
  17. C

    TFF na GSM wamedhamiria mechi isichezwe: mabango bado yapo

    Ndugu zangu narudia tena hiyo hela ya kuhangaika kwenda taifa kuangalia ujinga wa bongo subiri january ukaangalie makundi lunyasi hapo ni kama tutakuwa hatujahamia Rwanda. Haijulikani hadi sasa watu wamehongwa kiasi gani kinawchowatoa akili kwamba simba amdharau kit supplier wake anayempa one...
  18. Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

    Habari ndio hiyo, mkubwa ni mkubwa tu.
  19. Alipoingia alisema hataki 'Mabango' sasa Kazoea Utamu wa 'Mercedes Benz' anasema yakusanywe yote ili yafanyiwe Kazi je, tumueleweje?

    Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia. Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021...
  20. Ni muda wa Kiswahili kutumika katika maelezo ya bidhaa na mabango elekezi

    Zaidi ya asilimia 95 ya watanzania wanazungumza kwa ufasaha lugha ya kiswahili, huku watanzania wanaozungumza kwa ufasaha lugha ya kiingereza ikiwa ni chini ya asilimia 20 tu.Sasa fikiria hii, umewahi kujiuliza kwa nini kuna utitiri wa mabango elekezi na mabango biashara yaliyoandikwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…