Naandika haya huku nacheka sana,
Mmoja wa wateja wangu alitaka kufanya Campaign kubwa ya kitaifa kwa ajili ya bidhaa yake/ huduma. Kama ilivyo kawaida yangu nilimpatia baadhi ya Maangalizo ikiwamo umuhimu wa kuwa strategic na cost conscious ili asije tumia pesa nyingi kufanya matangazo ambayo...