Nenda kasome tu for your own benefits and risks. Ila kwa ground mambo ni tofauti sana.
Kasomee ufundi unaotaka wewe, ila the moment umefungua ka kibanda kako tu, hujaanza kuingiza hata senti 5, TRA hawa hapa.
Hata wale walioajiriwa, siku wakikuonesha salary slip zao, utawaonea huruma. Usione...
RC Chalamila
Nimesafiri kutoka kwetu "Sumbawanga Town" nikaja Dar kumsalimia bibi huko Gezaulile Kigamboni.
Kutoka Posta nilipitia Feri nikapanda pantoni, kisha basi kwenye kituo cha manasi cha Kigamboni Feri.
Taarifa nilizokutana nazo ni kwamba watumiaji wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri...
Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) Waomba Mazingira Rafiki ya Kazi
Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) wameiomba Serikali kuwawekea mazingira rafiki ya kufanya kazi zao ili kudumisha amani na kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa kupitia sekta ya...
Nimesafiri na mabasi kampuni kadhaa ambazo sitazitaja Kwa majina ili kutochafua biashara zao
Nimejihakikishia kwamba Kwa Hapa nyumbani ustaarabu wa kutumia vyoo ndani basi gari likiwa safarini Bado hatuwezi tukubali tu
Ni heri ukasafiri na bus lisilo na choo ndani kuliko kulipa pesa nyingi ya...
Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART) ilijipambanua kwa kuzingatia kipaumbele cha huduma rafiki kwa makundi hayo suala ambalo lilipigiwa chapuo...
Miaka yote nimejikita katika malori..lakini kwa sasa napata upepo ndoto na maono juu ya biashara ya mabasi....lakini si mabasi ya kifahari....hapana ....la hasha.....ni mabasi kwa ajili ya huduma kwa raia....hasa kwenye njia mbazo ni za vumbi ndani ndani nje ya miji..... kwa daladala pamoja na...
MRADI WA MWENDOKASI: MIFANO HALISI YA WIZI WA FEDHA ZA UMMA
Mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kielelezo cha namna miradi mikubwa inavyogeuzwa kuwa mashamba ya mafisadi badala ya kuwanufaisha wananchi wa kawaida. Tunaposema Tanzania ni nchi ya wizi na rushwa, hatusemi kwa dhana tu—tuna ushahidi wa...
Baadhi ya MAGAIDI walioachiwa hivi karibuni kutoka kwenye magereza ya Israel leo waliweza na kufanikiwa kupachika vilipuzi kwenye mabasi 5 ambayo yalikuwa yamepark katika sehemu mbalimbali nchini Israel.
Kwa bahati nzuri sana Ujinga na upumbavu wao kwenye TIMER badala ya kuweka saa 3 asubuhi...
Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha.
Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki...
Tabia ya madereva wengi wa mabasi Tanzania kuvunja sheria au kuwa na haraka kuliko watumiaji wengine wa barabara ni chanzo cha ajali nyingi. Ifikie wakati wamiliki wasifumbie macho tabia hii. Serikali pia iwawajibishe wasiangalie makosa ya vibao vya 50 tu au kuzidisha abiria kuna tabia nyingi...
Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa ndivyo ambavyo ina uwezekano mkubwa wa kupata hitilafu na kusababisha ajali hata vifo.
Tanzania ni...
Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo...
Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho
Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna...
1️⃣ Vyoo vya stand ya mabasi na daladala Mbagala Rangi Tatu viko katika hali mbaya sana! Uchafu umekithiri.
2️⃣ Abiria na wafanyabiashara wanateseka kila siku kwa sababu ya mazingira haya duni. Hili ni eneo linalotumiwa na mamia ya watu kila siku, lakini hali ya vyoo ni ya kusikitisha.
3️⃣...
Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi ( professional).
NB: uswahili umezidi
Wakuu
Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini.
But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili upo muda wote.
Mfano jana nimetoka Mwanza saa saa 10 jioni ila leo saa 7 au 8 hivi nimefika Mbeya na...
Yale mabasi ya CCM ya rangi ya kijani yamewakera mno watanzania kwani wao wametafsiri ni kufru na upotevu wa Hela zao (watanzania wanaamini Ile ni Kodi yao na sio vyanzo halali vya ccm) kiufupi maskini wa nchi wanaona mmewaringishia Tena January hii wakati wao hawana ada za watoto wao.
Wakuu habarini za wakati huu. Husika na madam tajwa hapo juu, Nina elimu ya Shahada ya kwanza katika tasnia ya teknolojia ya habari na biashara. (Businesses Information Technology).
Usiku wa kuamkia Leo nimekosa usingizi baada ya kuwa na mawazo ya kuwaza na kuwazua juu ya maisha yangu ya usoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.