Hakuna haja ya kufunga, kuzima taa na kuegesha mabasi wakati tunashughuli ya kukimbiza UCHUMI wa TANZANIA.
Kwanini miji kama DAR ES SALAAM, MBEYA, MWANZA, ARUSHA, KAHAMA, MAFINGA, TUNDUMA BORDER nk ifungwe? Nyakati za usiku?
Kwanini mabasi yasisafiri usiku!? Je, hatuwezi kuimarisha ULINZI...