mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kusoma VETA hakutakusaidia lolote kwenye nchi hii, tatizo ni mifumo wezeshi mibovu. Angalia madereva wa mabasi yanayowakuta kwa ground.

    Nenda kasome tu for your own benefits and risks. Ila kwa ground mambo ni tofauti sana. Kasomee ufundi unaotaka wewe, ila the moment umefungua ka kibanda kako tu, hujaanza kuingiza hata senti 5, TRA hawa hapa. Hata wale walioajiriwa, siku wakikuonesha salary slip zao, utawaonea huruma. Usione...
  2. Ubovu wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri: Watumiaji wamtaka "RC Makeke" Chalamila awakwamue

    RC Chalamila Nimesafiri kutoka kwetu "Sumbawanga Town" nikaja Dar kumsalimia bibi huko Gezaulile Kigamboni. Kutoka Posta nilipitia Feri nikapanda pantoni, kisha basi kwenye kituo cha manasi cha Kigamboni Feri. Taarifa nilizokutana nazo ni kwamba watumiaji wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri...
  3. T

    Viongozi wa umoja wa madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) watoa kero zao, waomba mazingira rafiki ya kazi

    Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) Waomba Mazingira Rafiki ya Kazi Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) wameiomba Serikali kuwawekea mazingira rafiki ya kufanya kazi zao ili kudumisha amani na kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa kupitia sekta ya...
  4. Huduma ya choo kwenye mabasi ni changamoto

    Nimesafiri na mabasi kampuni kadhaa ambazo sitazitaja Kwa majina ili kutochafua biashara zao Nimejihakikishia kwamba Kwa Hapa nyumbani ustaarabu wa kutumia vyoo ndani basi gari likiwa safarini Bado hatuwezi tukubali tu Ni heri ukasafiri na bus lisilo na choo ndani kuliko kulipa pesa nyingi ya...
  5. Utaratibu wa huduma rafiki kwa Watu wenye mahitaji maalumu katika Mabasi ya mwendokasi umeyeyuka?

    Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART) ilijipambanua kwa kuzingatia kipaumbele cha huduma rafiki kwa makundi hayo suala ambalo lilipigiwa chapuo...
  6. Nini chanzo Biashara ya mabasi kufeli?

    Miaka yote nimejikita katika malori..lakini kwa sasa napata upepo ndoto na maono juu ya biashara ya mabasi....lakini si mabasi ya kifahari....hapana ....la hasha.....ni mabasi kwa ajili ya huduma kwa raia....hasa kwenye njia mbazo ni za vumbi ndani ndani nje ya miji..... kwa daladala pamoja na...
  7. Mradi wa mabasi ya mwendokasi- umefeli

    MRADI WA MWENDOKASI: MIFANO HALISI YA WIZI WA FEDHA ZA UMMA Mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kielelezo cha namna miradi mikubwa inavyogeuzwa kuwa mashamba ya mafisadi badala ya kuwanufaisha wananchi wa kawaida. Tunaposema Tanzania ni nchi ya wizi na rushwa, hatusemi kwa dhana tu—tuna ushahidi wa...
  8. Ujinga na upumbavu wa waarabu waokoa mamia ya watu kufa au kujeruhiwa kwenye mabasi huko Israel

    Baadhi ya MAGAIDI walioachiwa hivi karibuni kutoka kwenye magereza ya Israel leo waliweza na kufanikiwa kupachika vilipuzi kwenye mabasi 5 ambayo yalikuwa yamepark katika sehemu mbalimbali nchini Israel. Kwa bahati nzuri sana Ujinga na upumbavu wao kwenye TIMER badala ya kuweka saa 3 asubuhi...
  9. Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

    Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha. Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki...
  10. P

    Kwanini Madereva wa Mabasi huwa wana haraka hata kama sehemu haiwaruhusu kupita wanalazimisha?

    Tabia ya madereva wengi wa mabasi Tanzania kuvunja sheria au kuwa na haraka kuliko watumiaji wengine wa barabara ni chanzo cha ajali nyingi. Ifikie wakati wamiliki wasifumbie macho tabia hii. Serikali pia iwawajibishe wasiangalie makosa ya vibao vya 50 tu au kuzidisha abiria kuna tabia nyingi...
  11. S

    Kutatua tatizo la ajali nchini kutokana na uharibifu au kufeli breki, LATRA waweke kikomo cha umri wa mabasi na malori kuruhusiwa kuwa barabarani

    Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa ndivyo ambavyo ina uwezekano mkubwa wa kupata hitilafu na kusababisha ajali hata vifo. Tanzania ni...
  12. RC Makonda Sifa nyingi kumbe Mkoa wa Arusha hauna Stendi ya Uhakika wa Mabasi na Wakazi wanalalamika Kutwa

    Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo...
  13. D

    Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

    Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna...
  14. KERO Mbagala Dar es Salaam: Vyoo vya Stand ya Mabasi na daladala Mbagala rangi tatu ni vichafu sana

    1️⃣ Vyoo vya stand ya mabasi na daladala Mbagala Rangi Tatu viko katika hali mbaya sana! Uchafu umekithiri. 2️⃣ Abiria na wafanyabiashara wanateseka kila siku kwa sababu ya mazingira haya duni. Hili ni eneo linalotumiwa na mamia ya watu kila siku, lakini hali ya vyoo ni ya kusikitisha. 3️⃣...
  15. Wamiliki wa Mabasi jiungeni mtengeneze Kampuni Kubwa ya Mabasi Tanzania

    Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi ( professional). NB: uswahili umezidi
  16. Bakhresa Apewe Mradi wa Mabasi ya mwendokasi

    Asee huu mradi apewe Bakhresa atatisha sana
  17. Nawashukuru sana wafanyabiashara wa usafiri wa mabasi mlioamua kuiunganisha kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini

    Wakuu Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini. But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili upo muda wote. Mfano jana nimetoka Mwanza saa saa 10 jioni ila leo saa 7 au 8 hivi nimefika Mbeya na...
  18. Tazama mabasi mapya ya kifahari ya CCM, hakika CCM ni chama kikubwa na mkombozi wa Tanzania

  19. Mabasi ya ccm yamewakera watanzania wameona ni kufuru

    Yale mabasi ya CCM ya rangi ya kijani yamewakera mno watanzania kwani wao wametafsiri ni kufru na upotevu wa Hela zao (watanzania wanaamini Ile ni Kodi yao na sio vyanzo halali vya ccm) kiufupi maskini wa nchi wanaona mmewaringishia Tena January hii wakati wao hawana ada za watoto wao.
  20. Nataka nichukue mkopo ninunue mabasi ya mikoani

    Wakuu habarini za wakati huu. Husika na madam tajwa hapo juu, Nina elimu ya Shahada ya kwanza katika tasnia ya teknolojia ya habari na biashara. (Businesses Information Technology). Usiku wa kuamkia Leo nimekosa usingizi baada ya kuwa na mawazo ya kuwaza na kuwazua juu ya maisha yangu ya usoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…