mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LATRA mtoe adhabu inayomhusu mhusika, mabasi mliyoyafungia hayana makosa, igeni wafanyavyo trafiki

    Trafiki hawawezi kulifungia gari kwa kosa la kutowasha taa usiku, watamuadhibu dereva. Mabasi mliyoyafungia hayana hitilafu yoyote tatizo ni madereva walizima ving'amuzi, hivyo madereva wangeadhibiwa. LATRA hayo mabasi yapo barabarani kwa mikopo benki na wamiliki wanatakiwa wailipe hiyo mikopo...
  2. Agizo la Waziri kuruhusu Mabasi kutoingia stendi ni kuwanyima Halmashauri vyanzo vya mapato

    Ninaangalia hapa kitindi cha Chetu ni Chetu kupitia ITV, naona malalamiko ya wafanyabiashara wadogo ndani ya stendi ya Igunga wakilalamikia agizo la Waziri wa Uchukuzi kuruhusu mabasi yanayosafirisha abiria kutotumia stendi za Halmashauri zilizojengwa kwa fedha ya kodi zetu. Athari zake pamoja...
  3. LATRA yasitisha Leseni za baadhi ya mabasi ya Dar Express, Kidia One, Luwinzo, Super Feo

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni za usafirishaji kwa mabasi 22 kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Februari,2023 Hatua hii ni kutokana na vitendo vya kuingilia Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari (VTS) na kusababisha mfumo kutotuma taarifa ama kutuma taarifa kwa...
  4. Serikali ina chakujifunza kutoka sekta Binafsi

    Wote tunajua kuwa Serikali haina fedha na ndio sababu Mama Yetu mpendwa anajitahidi Kwenda huko nje kukopa ILA cha kushangaza kila mwaka unasikia Mabilioni yameibiwa…. Na kingine cha kushangaza, nikupata hizo taarifa za wizi ulifanyika baada ya miezi kadhaa napengine miaka kadhaa. Hii...
  5. Mamlaka ziinglie kati Uendeshwaji wa Mradi wa (BRT) Mabasi Mwendokasi

    Ukiangalia the way huu mradi unavyoenda hasa kwenye kutoa huduma utagundua kuwa waafrica bila kusimamiwa na wazungu ni ngumu sana kujisimamia wenyewe. Nimetoka hapo kituo cha kivukoni now, abiria ni wengi sana, folen imezunguka kama mara tatu au 4. Ila cha ajabu hakuna magari yanayopakia, na...
  6. F

    Mabasi ya Ester Luxury coach yadaiwa kusafirisha milungi

    Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kilimanjaro imemweka kiti moto mmiliki wa mabasi ya Ester Luxury Coach baaada ya mabasi yake kudaiwa kukubuhu katika biashara ya usafrishaji madawa ya kulevya aina ya milungi. Mmiliki huyo alifika mbele ya kamati hiyo hivi karibuni iliyoketi chini ya...
  7. Senegal: Mabasi yagongana, Watu 40 wafariki, 87 wajeruhiwa

    Ajali hiyo imehusisha mabasi mawili ambayo yamegongana katika Mji wa Kaffrine, ambapo Rais Macky Sall ametangaza siku tatu za maombolezo. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha ajali ni kupasuka kwa tairi kulikosababisha basi moja kuacha njia na kwenda kugongana na lingine uso kwa uso...
  8. R

    Hivi mabasi ya mwendokasi yana mwenyewe? Au yanajifia kama daladala za UDA?

    Nimefika Dar es salaam nikafanikiwa kupanda magari ya mwendokasi nikajiuliza viongozi wenye dhamana wameisha DSM? Mabasi yamechoka, yanajaza abiria hadi milango haifungi, yapo machache na hakuna msimamizi serious unayemwona mwenye lengo la kuyatunza yadumu. Kwa namna mabasi haya yanavyoendeshwa...
  9. R

    ILE TIMU ISIYOKUWA NA PESA MPAKA MABASI YAKE KUSHIKWA KUWEKA KAMBI DUBAI

    ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai. Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
  10. I

    Hivi mabasi ya mikoani huwa yanafanya kazi sikukuu?

    Wadau ivi sikukuu ya keshokutwa mabasi ya mikoani yanapiga route km kawa au nao wako off
  11. Msaada mabasi ya kwenda Arusha toka Dodoma

    Naomba msaada kujua mabasi ya kwenda Arusha, nilikuwa napanda Shabiby na yamejaa mpaka tarehe 26, binafsi nataka safiri kesho mchana tarehe 21.
  12. UWAMATA na wamiliki wa mabasi dhibitini wauza madawa na vitu kwenye mabasi ya mikoani

    Kwa wale wastaarabu tu ndio wanaoelewa. Ni kero kwa abiria wachuuzi kuingia ndani ya mabasï kuuza vitu vyao. Mwenye shida anunué hapo nje na sio kupishana na matenga, maboksi na kupigiwa kelele. Nilishangaa nikiwa kwenye basi la NEW FORCE kuelekea Lindi hadi mabeseni ya samaki yanapita. Kuna...
  13. Duniani kote usafiri wa reli ndiyo rahisi kuliko wote. SGR tulitegemea kuwa kiama cha usafiri wa mabasi na malori, imeshindikana

    Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa: ~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120...
  14. Geita ni Mkoa wenye dhahabu nyingi nchi nzima na hii ndio Standi yao ya Mkoa ya Mabasi

    Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro. Geita kuna laana Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa...
  15. Serikali yaagiza Mabasi ya Shule yawe na 'Makondakta' wa kike

    SERIKALI imeagiza mabasi yote yanayobeba wanafunzi kuwa na kondakta wa kike na mabasi yote yafungwe Camera maalum. Waziri wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dk. Dorothy Gwajima ametoa agizo hilo alipokuwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe katika...
  16. Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana

    Hi, Sikuhitaji anishukuru wala sikuhitaji anilipe hapana ila mikausho aliyo nionyesha kwa kweli ameninyanyasa kihisia. Nilikua natoka Mwanza nakuja Dar niliwahi mapema sana kufika pale ofisini kwao yanakolala magari panaitwa Nata nikapanda nika kaa kwenye seat yangu ilikua msitari wa tatu...
  17. Mabasi ya Mwendokasi kufika hadi Chamazi

    Wakati mkandarasi mradi awamu ya tatu ya mabasi yaendayo haraka ’mwendokasi’ barabara ya Gongo la Mboto akiwa tayari ameanza kazi, miundombinu ya mradi huo inatarajiwa kufika hadi Chamazi. Hayo yamesemwa leo Jumanne Novemba 15,2022 jijini humo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo...
  18. Kwahili la Mabasi kusafiri Usiku, nampongeza Mbunge Tulia Ackson

    Kwa muda mrefu nilitaka kuandika hili la Sababu za "kitoto" za kuzuia magari yasisafiri usiku, hatimae Mbunge Tulia ameliona Hilo, tusubiri mamlaka zitekeleze. Mimi ni mdau wa safari za usiku sana, kwahio Wacha niwape experience.... 1. Zile Coaster za Arusha zinazuiliwa pale Mkata wa saa Tano...
  19. Waathirika wa ajali ya Precision Air kulipwa Tsh. Bilioni 396

    Kamishna wa Bima Tanzania, Dkt. Baghayo Saqware amesema ndege ya Precision Air iliyopata ajali ilikuwa na bima na kwamba fidia kwa shirika ni zaidi ya Dola Milioni 50 (Tsh. Bilioni 116) Amesema bima ya ndege hiyo ni halali na ilikatwa kutoka kwa wakala wa ndani nan je ya Nchi ambapo waathirika...
  20. Madereva wa mabasi Nyegezi wakimbia kupimwa ulevi na macho

    Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani mkoani Mwanza, linawasaka Madereva zaidi ya 10 wanaoendesha magari ya mikoani na nje ya nchi waliokimbia kupimwa ulevi pamoja na macho katika kituo kikuu cha mabasi cha Nyegezi. Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Mwanza Sunday Ibrahimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…