Wakuu habari zenu na poleni na harakati za kupambana na maisha,
Naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu katika sekta ya ujenzi kuhusu mabati ya Kiboko. Jana nimeenda kwa wakala nimekuta yanauzwa 27,000 bati moja la msouth 30G na Alaf wanauza 37,000pc 30G difference ya Tshs. 10,000 nikahoji...