mabati

  1. Analogia Malenga

    DED wa Gairo na wenzake warudisha mabati waliyoiba

    Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale na watumishi saba wa halmashauri ya Wilaya ya Kilosa waliodaiwa kuiba mabati 1,172 wameyarejesha wilayani humo. Hivi karibuni, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Muslim alieleza kuwatia mbaroni watumishi saba...
  2. luangalila

    Naomba kujuzwa ubora au udhaifu wa mabati aina ya Sun Bank

    Wadau Habari za asubuhi? Nikiwa site nilitembelewa na sales team wa haya mabati ya Sun Bank. Wakajinadi sana wakidai bati zao ni bora sana mithili ya ALAF Wakasema izo bati ni popular Arusha , nikaona bora niulize humu ili kupata taarifa walau kama kuna yeyote aliyewahi kutumia izi bati
  3. Q

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati

    Morogoro. Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma ya wizi wa mabati 1,100 mali ya halmashauri ya Wilaya ya Kilosa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslimu amesema hayo leo Jumanne Agosti 24, 2021...
  4. Mech engineer

    Msaada wa mabati na bei zake

    Habarini wakuu, nauliza bei ya mabati ya msouth kwa bei ya kiwandani. Kama bei itaambatana na grade number itapendeza zaidi. Pia kwa anayefahamu yanakopatikana kwa hapa Mwanza (nasikia kuna kiwanda cha mabati japo sina uhakika). Natanguliza shukrani
  5. wajingawatu

    Idadi ya ya mabati na mbao

    Ninaomba wenye utaalamu wa kukadiria vifaa/gharama za ujenzi anisaidie kupata idadi ya bati kwa hali yenye ukubwa wa 15.3 x 13.5. Paa nne
  6. RUSHAMBYA

    Rais Samia, tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi

    Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi kwani gharama zake ziko juu sana kiasi mtu wa kipato cha kawaida hasa wa kijijini hawezi kumudu gharama hizo hata kidogo. Kama bati futi 10 la gauge 32 ni limefikia Tsh. 20,000/- tutaweza kujenga kweli...
  7. B

    Bei za mabati na saruji juu, Serikali ipo wapi?

    Kuna nini viwandani? kama uzalishaji umepungua Serikali iruhusu vifaa vya ujenzi kama bati na saruji kutoka nje kuingizwa nchini. Bati za Simba Dumu zilizokuwa zikiuzwa bundle 1 bati 16 shilingi 325,000/= hadi kufikia juzi bei ilikuwa imefika shilingi 400,000/= kwa bundle 1 la bati za simba...
  8. F

    Chumba cha mabati

    Hizi nyumba za mabati sio nzuri ukitafuta usingizi unaskia panua niingize alafu unaskia masauti ya kutamanisha ukuta wa mabati unatingika. Wewe vile hijafanya mapenzi mda mrefu unapeleka maskio ndio uskie vizuri unasahau unalalia mabati unajipata kwa nyumba ingine kwa sababu mabati iliwekwa bila...
  9. Lububi

    Ushauri unahitajika: Mabati ya plastic

    Wachina wameleta mapinduzi ya uezekaji kwa aina mpya ya bati za plastic na sifa kedekede kama kupoza nyumba, kurecycle yakichakaa, uimara, kutovuja kupitia misumari, bei ndogo, kutunza hewa safi na kutokuwa na kutu. Warranty ya miaka 30. Tena wanatengenezea hapa nchini, hili jukwaa...
  10. mjusilizard

    MSAADA: Mabati ya 'reject' yamekufikisha wapi baada ya muda gani?

    Salaam wakuu, Ninataka niezeke kwa mabati yanayofahamika kama reject, nimetembelea wanapouza nimeona ni mapya kabisa hayana tofauti kubwa na yale ya madukani ambayo siyo reject. Kuna mtu ameshawahi kuyatumia haya mabati au anafahamu mtu aliyewahi kuyatumia na hali yake ikoje mpaka sasa kwenye...
  11. Tajiri Tanzanite

    Hivi ni kwanini watu huzungusha mabati site wakati wa ujenzi?

    Hapo vip! Binafsi najua baadhi ya sababu za kuzungushia mabati katika saiti ya ujenzi ila ningependa kufahamu sababu zingine kutoka kwako?
  12. K

    Je, unayafahamu mabati ya WAJA?

    Habari wadau?!! Niko kwenye hatua ya kupaua kakibanda kangu,changamoto niliyopata mara ya mwisho (2016) no kuuziwa mabati ya mgongo mpana a.k.a msauzi yaliyokuja kupauka ndaniya miezi6 tu kutoka kwa supplier mkubwa tu wa kihindi. Sasa ninakaribia kupaua tena kibanda kingine,napenda kuweka bati...
  13. Kevin85ify

    Uchumi wa Kenya unazidi Kuzorota: Mabati Rolling Mills commissions new manufacturing plant in Athi River

    Safal Building Systems Business Head Manish Garg demonstrates to Machakos County Deputy Governor Francis Maliti Steel coils going through profiling Surf building for pre engineered buildings Mabati Rolling Mills (MRM) Off Mombasa Road) October 1, 2020. Image: CHARLENE MALWA Mabati Rolling...
  14. C

    Nauza mabati used Mbweni JKT

    Mabati yaliyotumika mwaka mmoja yanauzwa elfu 9 kila bati. Yapo 17 na yanapatikana Mbweni JKT. Yanafaa kwa banda la mifugo, nyumba za site, etc. Nauza pia nguzo 4 za chuma kwa elfu 20 kila nguzo. Unachukua barabara ya vumbi kutoka Boko Magengeni. Karibuni Mawasiliano 0625 536 529 (usitumie...
Back
Top Bottom