Pamoja na malalamiko mengi mitandaoni, ya miradi isiyo na tija kwa Taifa huko Chato, ukweli umeanza kudhihiri.
Wilaya ya Chato sasa ni rasmi, ni moja ya wilaya zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za umma.
CAG ameamrishwa na Waziri wa Fedha Dk Nchemba kufanya uchunguzi wa kina kwa...
Elimu ya kutunza pesa wengi wetu imetushinda. Hakuna umasikini mbaya kama kujutia maisha yaliyopita, kama ungetumia pesa vizuri ungefika mbali. Hii elimu ni muhimu kuwafundisha watoto. Wakipata pesa wasihamaki.
Ni kama vike unavyokunywa chai kila siku, hata ukiwa mkubwa chai unakua umeizoea...
Tuwe macho na hii kitu ya uchifu. Uchifu kwa makabila mengi uliambatana na mamlaka juu ya ardhi na mara nyingi uliambatana na umwinyi.
Tuliondoa uchifu ili kuweze kuthibiti fulsa ziweze kupatikana kwa wote na kuimarisha demokrasia.
Uchifu pia uliambatana na baadhi ya mila mbaya za kunyanyasa...
Tanzania kama nchi inayo mambo mengi inaongoza. Yapo mazuri na mabaya. Taja mambo ambayo unaona ama unajua kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki, Afrika na duniani kwa ujumla.
Kwa kuanza..
1. Tanzania ndiyo nchi yenye wazungumzaji wengi wa lugha ya Kiswahili duniani. Ikifuatiwa na Kenya..
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania akila kiapo cha kuilinda katiba ya Tanzania
Hapo awali nimefupisha hotuba ya Mbowe kama ilivyotolewa kwa waandishi wa habari pale Mwanza jana.
Sasa niko tayari kuifanyia uchambuzi kulingana na taarifa za ziada nilizozikusanya kutokana na wadatishaji wangu...
Kodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali.
Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo chanya namna kodi inavyotumika.
Kama mpaka sasa hivi baada ya miaka 60 bado baaadhi miji na vijiji...
Binadamu tumeumbiwa mapungufu na kila mmoja ana yake.
Ila tumezidiana kwa kiwango fulani..
Kuna mwingine anapenda kula chakula kingi...ila hapendi kuona mtu kavimbiwa.
Kuna mwingine anapenda muziki mzuri ila hawapendi wanamuziki.
Kuna mwingne anapenda dini sana lakini hapendi kushiriki...
Ndani ya miezi miwili tumeshuhudia viongozi wakubwa wawili toka enzi za awamu ya mwendazake wakikutana na madhila makubwa tu kutokana na tabia yao ya kujikomba/kujipendekeza/kujiparata kwa kiongozi anayehusika na teuzi na mamlaka ya kinidhamu dhidi yao.
Hawa ni wafuatao:
1. Lengai ole Sabaya -...
Kuanzia 2015 mwishoni Hadi 2021 Tulipokuwa tunawaambia TIME WILL TELL mlijua tunajifunza kingereza, we tumwa ukaue, tesa watu, dhulumu watu, shadadia watesi, zarau watu, tukana watu na wafanyie mabaya yote lakini kaa ukijua hiyo nayo ni mbegu ambayo itaota tu, mvua inyeshe au jua liwake itaota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.