Riba ya Mabenki kukopesha wateja wao sio suala la kisiasa, Huwezi ukasema kuanzia Leo Mabenki ya biashara riba ya kukopesha iwe asilimia kumi 10%
Mabenki kukopesha Raia au wateja wake kinachoangaliwa ni:
1. Vihatarishi (Risk) vinavyoizunguka biashara au kazi ya mteja husika, Biashara au kazi...
Utaratibu wa Sasa wa mabenki Ni lazima uwe na salio la kwenye line ya simu ndipo uweze kufanya miamala, Kwanza tu hii idea na mfumo wake unaonyesha Tanzania tuna wamiliki wa benk wasiotumia akili na wasiofanya utafiti au wanaoburuzwa. Kwasababu "Nina zaidi ya milioni kumi kwenye akaunti au hata...
Nimesoma taarifa ya BOT inayoongelea kushusha riba kwa wakopaji katika mabenki ya kibiashara lakini nimeshindwa kuelewa kama punguzo hilo litagusa mikopo inayotolewa na mabenki kwa wafanyakazi
Nauliza hivi kwasababu taarifa ya BOT inaongelea punguzo kwa sekta binafs pamoja na sekta ya...
Haya malalamishi yamekuwapo siku nyingi sana toka kwa Mabenki kuhusiana na Kampuni za mawasiliano kufanya kazi kama Benki za Akiba yaani zaidi ya Mobile Transfers (Mfano Moneygram, Western Union, n.k) pia watu wengi sana wamekuwa wakihifadhi pesa kwenye akaunti zao za huduma za kifedha kwenye...
Kodi ya mshikamano italeta mapinduzi makubwa katika sekta ya uchumi. Wakati benki ilikuwa ikionekana kama njia isiyo rafiki miongoni mwa Watanzania wengi, sasa inaonekana kuwa tiba mujarab kwenye miamala ya kifedha hasa kutuma na kupokea.
Miamala ya kawaida ya kuhamisha fedha (ndani kwa ndani...
Jambo wakuu?
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Ni ukweli usiopingika kwamba makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki yanawaumiza kichwa wananchi wanyonge, hasa ukizingatia kwamba watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha kama Rais, Makmu wa Rais, Waziri...
Kumekuwa na taratibu za taasisi zinazotoa mikopo kuwapa wakopaji control number ya kufanyia marejesho.
Kutokana na makato yalivyopandishwa ni vyena sasa mkatoa akaunti zetu ili mkopaji akalipie bank moja kwa moja ili kumpunguzia gharama na mzigo mzito wa makato.
Habari za leo wakuu,
Leo tujadili hizi tozo za mabenki [withdrawal charges] kwa wateja ambao kimsingi ndio wamiliki wa fedha hizo.
Mteja anatunza pesa yake benki, na benki zinaifanyia biashara [kukopesha] kwa faida. Kisha mmiliki akihitaji kutoa kiasi chochote kwa matumizi yake hutozwa 'ada'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.