mabeyo

Venance Salvatory Mabeyo is a Tanzanian chief of defense forces (Mkuu wa majeshi).

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    Ukifanikiwa kukutana na Jenerali Mstaafu Salvatory Mabeyo, utamwambia neno gani?

    Miongoni mwa mambo machache mazuri ambayo yaliwahi kufanywa na Magufuli basi kumteua Salvatory Mabeyo kuwa CDF. Hapana shaka utumishi wake jeshini na Taifa ni wa kutukuka. Moja ya jambo kubwa alilolikabili na kuhakikisha nchi inabaki salama kipindi cha msiba wa Magufuli. Ukikutana nae...
  2. Tman900

    CDF Mstaafu Mabeyo ameweka alama kwa Majeshi ya Afrika

    Kwa mtazamo wangu mkuu wa Majeshi, aliepita ( Mabeyo).ameweka Alama au histolia kwa Majeshi ya Afrika, ninachowaza ni kua ameacha Alama na Elimu kwa Majeshi mengine ya Afrika. Na hili nimeliwaza baada ya Rais kufa,Mkuu wa Majeshi alikua imara kusimamia majukumu yake hiki ndicho, Mimi nimewaza...
  3. GENTAMYCINE

    Nikiziangalia Sura za Marehemu Gen. Musuguri, CDF Mstaafu Gen. Mabeyo na CDF wa sasa Gen. Mkunda naona ni za Kazi Kazi na Makamanda wa Kweli

    Mkuu wa Majeshi unatakiwa uwe na Sura za Kazi Kazi hasa kama za Marehemu Jenerali Musuguri, CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo na huyu wa sasa Jenerali Mkunda. Mkuu wa Majeshi kamwe hupaswi kuwa na Sura laini laini ambazo zinachochea Kutabasamu na Kuchekacheka bali zinatakiwa ziwe Sura Ngumu na za Kazi...
  4. Mi mi

    Mabeyo wewe ni Mtanganyika kabla kuwa Mtanzania

    Loliondo FM Loliondo FM Habari za Jumla Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi 7 May 2024, 11:17 am Mwenyekiti wa bodi yawakurugenzi NCAA katikati jenerali Venance Mabeyo wakati wa ukagunzi wa ujenzi wa jingo la NCAA Karatu, picha...
  5. GENTAMYCINE

    Ukiwa pia ni Mkatoliki mwenzangu na Mcha Mungu mzuri nakukubali sana CDF Mstaafu. Jenerali Mabeyo na hapa umemaliza kila kitu hongera mno

    DAR ES SALAAM - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo amesema vijana wengi kwa sasa wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa ni wasomi wazuri akishauri wenyeviti wa bodi za...
  6. Dr Matola PhD

    CDF Mabeyo amepasua masikio yetu, pata madini ya Askofu Bagoza

    CDF MABEYO AMEPASUA MASIKIO YETU Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, amesema maneno yanayopasua ngoma za masikio yetu. Amefanya mahojiano na “kutoa siri” za kilichotokea miaka 3 iliyopita wakati hayati Rais JPM anaaga dunia. Nimesita kumpongeza na nimesita kumlaumu. Nimewahi...
  7. GLOBALIST

    Uchambuzi wangu Meseji ya CDF Mabeyo kuhusu kifo cha Hayati Magufuli

    Nimeona maandiko kadhaa yenye kumsifu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya mahojiano yake ya video na Daily News Digital kuhusu namna alivyo-play role yake katika dakika za majeruhi za uhai wa Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli...
  8. Bams

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Ni miaka 3 imepita tangu Rais Magufuli afariki. Ni jambo la kawaida, hasa siku ya maziko au wakati wa kutangaza kifo, kutolewa taarifa za kina za mazingira ya kifo cha marehemu, na kama pengine marehemu alitoa kauli yoyote. Haikuwa hivyo kwa Hayati Magufuli. Wengi walipenda na walikuwa na...
  9. G Sam

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    1. Aliyestahili kumpatia taarifa Makamo wa Rais juu ya kifo cha Rais Magufuli ni daktari wa Rais. 2. CDF Mabeyo alikuwa mkuu wa majeshi ndiyo, yeye pamoja na viongozi wengine wa vyombo vya usalama walitakiwa pia kupatiwa taarifa na Makamo wa Rais (Baada ya yeye kuwa mtu wa kwanza kabisa...
  10. Mayor Quimby

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
  11. GENTAMYCINE

    Nawakumbusha tu kuwa CDF Mstaafu Gen. Mabeyo ni Kiongpzi wa Jumuiya zote za Kikatoliki Tanzania

    Na aliteuliwa na Pontiff ( Pope ) Mwenyewe kutokea kule kule kwa Wenye dunia yao Vatican ambao Wanaogopwa mno na Marekani na Israel. Endeleeni tu Kujichanganya sawa?
  12. Tlaatlaah

    Jenerali(Rt) Venance Mabeyo anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

    hii ni kwa uchache sana kwa sasa, Ni raia mwema wa Tanzania, mzalendo na muadilifu alietukuka. Ni Mzoefu katika utumishi wa Uma. Ni mtu mzima aliepikwa vilivyo ktk utumishi na kwahivyo hekima, busara na uzoefu wake ni wa mfano. Ana nia na uthubutu mwema usio na shaka kwenye kila jambo...
  13. B

    Video: Mkuu wa Majeshi Mstaafu Tanzania, Jenerali Mabeyo aonekana akiwa na Papa Francis

    CDF mstaafu General Venance Mabeyo ameonekana ktk video clip iliyosambaa mitandaoni toka juzi aliwa Kanisa la Mt Petro akishiriki shuguli kadhaa za Kikanisa Nchini Vatican. Pamoja naye anaonekana na baadhi ya Maaskofu kutoka Tanzania na masister Haijafahamika zaidi ni shughuli gani lakini...
  14. The Burning Spear

    CDF mstaafu Mabeyo kukutana na Papa Francis

    Sijui Magufuli watu kama hawa aliwapataje. Ambapo kwa sasa kama vile hawapo. === Maaskofu wa Kanisa Katoliki Nchini wapo Vatican kukutana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo kama sehemu ya ratiba za kawaida za Maaskofu kukutana na Papa kila baada ya miaka michache. Baadhi ya picha kutoka Vatican...
  15. Teko Modise

    Namuona Kamishna Salum Hamduni mbali zaidi

    Kwa kazi nzuri na ya kutukuka huko Takukuru, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni namuona akifika mbali sana katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Kuna sauti ndani yangu inanambia, CP Hamduni atapanda juu zaidi siku si nyingi toka sasa. Kwahyo wale waliobakia, ambao taasisi zao hazijaguswa...
  16. M

    Simon Sirro amefanya kosa gani mpaka akaondolewa u-IGP kabla ya kustaafu kama Venance Mabeyo?

    Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima. Ametibua nini? Mpaka akag'olewa? Pia, soma=> Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI
  17. saidoo25

    Jenerali Mabeyo: Moyo wangu ni Tanzania

    "Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo." - Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini. CC: swahilitimes
  18. mwanamwana

    UTEUZI: Rais Samia amteua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro

    UTEUZI Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
  19. S

    The dark side of general Mabeyo

    Lots of praises and congrats have been waved to general Mabeyo since the public was notified for his retirement till today. Yes he deserves some, but not as much as it is exaggerated by praise singers. The main verse of their praise song to gen. Mabeyo is that he protected and defended the...
  20. J

    Rais Samia: Mabeyo jioni ya leo utamsikia Katibu Mkuu Kiongozi akikutangazia Uteuzi mwingine

    Rais Samia amesema CDF mstaafu General Mabeyo bado ana nguvu hivyo Serikali itampangia Majukumu mengine ya kufanya na Leo tutasikia redioni Source ITV habari
Back
Top Bottom