Mkuu wa majeshi nchini Generali wa nyota 4 Mabeyo amesema JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafunza na kuwaandaa vijana kuitumikia nchi yao kwa uzalendo.
CDF amesema kwa sasa vijana wanakwenda kwa utaratibu wa kujitolea na jeshi linauangalia kwa upya utaratibu huo.
Chanzo: TBC
Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea.
Je, ni suala gani hilo au ni siri gani hiyo kubwa namna hiyo?
Mzee wa historia Bw.Ameir ambae ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya Uchaguzi wa Oktoba 2020.
Majeraha hayo yametokana na kipigo na mateso aliofanyiwa na vyombo vya Ulinzi wanaolipwa kwa kodi ya Wananchi akiwemo Mzee Ameir ambae hajawakosea jambo lolote kachukuliwa kwake wakampeleka...
Salam wana JF.
Leo ningependa tujadili lawama anazopewa CDF General Mabeyo baada ya kuonekana kama ameleeza mengi yaliyo paswa kuwa siri kuhusu ujenzi wa Makao Makuu Ya Jeshi la Wnanchi (JWTZ) kule Dodoma.
Katika kutoa maelezo yake ilionekana kama amefichua sehemu za kimkakati ambazo zitakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.