mabilionea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ndugu vijana wawili mabilionea wanaofahamika kwa kutoa motisha ya maendeleo mitandaoni (Motivational speaking) wanaswa Dubai kwa ulanguzi wa Cocaine

    Ndugu wawili vijana waliojipatia umaarufu mtandaoni Tiktok kwa kuishi maisha ya kibilionea na wakitoa motisha kwa vijana wengine kupambana wakamatwa Dubai na Cocaine.
  2. Wajumbe MMK Chadema kuwa Mabilionea kuelekea January 21

    Napenda niwaoenyezee tu... Mbughi ya Uenyekiti CDM sio siasa ya kawaida, ni kama kudai uhuru mwaka 1961. Ni vita kubwa ya siasa niliyowahi kuiona toka siasa za vyama vingi nchini Mwaka 1995. Mikakati ya kumchomoa Mbowe sio ya kitoto huko Clubhouse na whatsap groups, Bahati nzuri sana ni...
  3. Dancing ingelipa kiasi hiki basi Moze Iyobo na Angel Nyigu wangekuwa mabilionea

    Tuache masikhara na maisha, watu wamecheza sana kiasi kwamba huyu anayejiita Chino kid hafiki hata nusu, hata akisema anaimba, watu wameimba sana, kina Jay melody, Ray vanny mwenyewe mpaka kufikia hapo ameshasota sana na hajapata mafanikio ya ghafla na haraka, amefanya mziki tukiwa tunamuona...
  4. Kizazi cha 2000 kitazalisha mabilionea wengi zaidi nchini kuliko waliowatangulia

    Wakati mwingine mafanikio ya mtu ni bahati ya ulizaliwa kipindi gani. Mnawaita watoto wa 2000 ila nikwambie ndio kizazi bora kabisa kuwahi kutokea nchini. Kizazi kinajiamini sana, kukuta mtoto anamhoji mzazi wake kwa mambo ya msingi ni kawaida. Tuendelee... Zahir Ali Zoro ana kipaji kuliko...
  5. K

    Dotto Magari: Mabilionea na Wawekezaji waliokimbia Nchi, wote wamerudi na wanawekeza Tanzania

    Huyu hapa Dotto Keto 'Dotto Magari' anasema Mama Samia apewe maua yake kwa kupambana kuwatoa maeneo ya Makaburini na kuwapeka Mikocheni, kwamba kwa takribani miaka 30 hawakuwa na ofisi. Msikilize kwenye ‘clip’ hapa, namnukuu “Mabilionea na Wawekezaji wote waliokimbia, wote wamerudishwa...
  6. Kwanini watu weusi ni vigumu sana kuwa Top 10 ya matajiri na kujenga utajiri wa vizazi (generational wealth)?

    Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila...
  7. W

    Selena Gomez Aingia Orodha ya Mabilionea

    Mwigizaji na Mwanamuziki, Selena Gomez (32) ameingia katika orodha ya ‘Self made’ Bilionea Septemba 6, 2024 Kulingana na taarifa ya mtandao wa Bloomberg imesema kuwa Selena ana utajiri wa Tsh trilioni 3.5 kupitia kampuni yake ya Rare Beauty aliyoanziaha miaka mitano iliyopita Aidha Selena...
  8. I

    Orodha ya mabilionea wa Israel yaongezeka na kufikia 42

    Kupanda kwa idadi ya Waisraeli walioangaziwa kwenye orodha ya Forbes kumechangiwa zaidi na kuendelea kukua kwa tasnia ya teknolojia ya hali ya juu ya Israeli. Waisraeli 42 waliovunja rekodi walijumuishwa katika orodha ya Forbes Mabilionea Duniani kwa mwaka 2024, iliyochapishwa mapema wiki hii...
  9. Elon Musk arejea tena Top 2 ya Mabilionea wa Forbes duniani

    What a year it’s been for the planet’s billionaires, whose fortunes continue to swell as global stock markets shrug off war, political unrest and lingering inflation. There are now more billionaires than ever: 2,781 in all, 141 more than last year and 26 more than the record set in 2021...
  10. D

    Kama tungefundiswa somo la madini, tungelikuwa mabilionea

    Nchi ya Tanzania ina madini ya kila aina katika sehemu mbalimbali. Kuna madini mengi sana mkoani Geita, na sehemu nyingine za nchi yetu. Kama watunga sera wa Wizara ya Elimu na mawaziri wote wa elimu wangekuwa na ubunifu mkubwa, wangeweza kuanzisha somo la madini katika shule za msingi za...
  11. Orodha mpya Mabilionea Afrika 2024

    Forbes imetangaza orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika kwa mwaka 2024, ambapo mabilionea 20 kwenye orodha hiyo wanakadiriwa kuwa na utajiri wa jumla ya dola bilioni 82.4. Hii ni ongezeko la dola milioni 900 ikilinganishwa na mwaka uliopita. Hii ndio orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika; 1. Aliko...
  12. Mabilionea wa Dunia na Dini

    Elon Musk - Wakati akikubali kuwa mafundisho ya Kikristo ni mazuri, anasema kwamba yeye si mtu wa dini. Mark Zuckerberg - Amekuzwa katika familia ya Kiyahudi, aligeuka kuwa Atheist. Mwaka 2016 alinukuliwa akisema dini ni muhimu bila kutaja dini yake. George Soros - Anatajwa kuwa billionea...
  13. Arusha is over rated kuita watu mabilionea

    Salaam!!! Ukiwa Arusha ni kawaida kusikia mfanyabiashara wa kawaida kuitwa bilionea au utakuta machalii wa chuga wanasema aseee Olutu au Chuwa ni Zimba la kufa mtu yaani ni bilionea wa kuotea mbali baba angu 😅😅😅 Yaani arusha ukimiliki investment yoyote wewe tayari ni bilionea au Zimba...
  14. Mabilionea wa Urusi, wandani wa Putin waendelea kufa vifo tatanishi

    Haieleweki nani anawamaliza na kwa nia gani... Hawa oligarch ndio huwa wamemuweka Putin mjini kwa hela yao.... Russian Billionaire Igor Kudryakov — US Times Post/File At the age of 64, billionaire Igor Kudryakov, one of Russia's oligarchs, was discovered dead in his Moscow flat following a...
  15. Natabiri Elon Musk wa Tesla/Twitter kumpiga KO Mark Zuckerberg wa Facebook kwenye Pambalo lao la Masumbwi

    Matajiri wawili Duniani, Bwana Elon Musk na Mark Zuckerberg wamekubali kuzichapa kavu kavu kwenye ulingo uliofungwa, caged match siku zijazo mjini Nevada. Binafsi natabiri Elon Musk kumfumua Mark kwa KO. --- Mr Musk posted a message on his social media platform Twitter that he was "up for a...
  16. Jay-Z, Rihanna na Lebron James watajwa kwenye orodha ya Forbes ya Mabilionea wa Dunia

    Kupitia orodha hiyo inayojumuisha Matajiri 2,640 wakiongozwa na #BernardArnault na Familia yake wakiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 493.9 akifuatiwa na #ElonMusk mwenye utajiri wa Tsh. 421.3 na #JeffBezos mwenye Trilioni 266.8. Kwa upande wa Mastaa, #JAYZ yuko nafasi ya 1217 akiwa na Tsh...
  17. Rasmi mabilionea wawili waweka dau kuinunua Man. United, ni kutoka Qatar na Uingereza

    Sheikh Jassim bin Hamad Al Thani wa Qatar na Sir Jim Ratcliffe wa Uingereza ndio wawekezaji walioweka dau rasmi kwa lengo la kuichukua klabu kutoka kwa wamiliki wa sasa Familia ya Glazer ambao wamekuwa wamiliki tangu Mwaka 2005. Wote wawili kila mmoja kwa upande wake amejinasibu kuwa nia yao ni...
  18. R

    SoC02 Malezi ya Msanii Diamond Platnumz katika kuibua mabilionea vijana kupitia vipaji vyao

    Diamond Platnumz alizaliwa katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar es Saalam tarehe 02 Oktoba 1989. Jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Naseeb Abdul Juma. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na alibaki akilelewa na mama yake mzazi aitwaye Sanura Kassim maarufu kama “Sandra”...
  19. Kumbe Watanzania Wana Uwezo Kuwa Mabilionea, Walikosa Mitaji na Mbinu!. TotalEnergy Mkombozi, Yamwaga Fursa za DODO Nchi Nzima!. Tuchangamkie Fursa?.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa". Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri sana yenye Rasilimali lukuki, ila watu wake ni masikini Kwa Umasikini wa files. "Umasikini m-mbaya kabisa ni umasikini wa fikra"-JK Nyerere...
  20. Jameni nani anawaua hawa mabilionea wa Urusi na familia zao "Oligarchies"

    Kwa siku chache mabilionea wawili wenye hela za kutupa na kumwaga wameuawa pamoja na familia zao, mmoja kafia Moscow, Urusi ndani pamoja na mkewe na watoto ila ikasemwa amejitoa uhai baada ya kuua familia yake, mwingine ameuawa Uhispania pia na familia yake. Ikumbukwe hawa oligarchies ndio huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…