mabilionea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Utawala wa JPM ulitengeneza mabilionea wa kichina, Uturuki na waarabu, ,Nyerere, Mwinyi Mkapa na JK walitengeneza matajiri wazawa

    Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers. Wafanyabiashara wa kitanzania waliozea jela wakati wachina, waturuki wakitamba katika nchi yetu...
  2. lwambof07

    Wafahamu mabilionea walioanza maisha na 'kazi za ajabu'

    Inaelezwa kila mtu anazaliwa tajiri lakini pia masikini. Utajiri au umasikini wake unategemea na mazingira anayokulia, lakini inategemea zaidi na yeye mwenyewe. Wapo matajiri wengi duniani ambao hawakuzaliwa matajiri. Walitengeneza utajiri wao kwa kupitia maisha ya kawaida kabisa ambayo kila mtu...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mabilionea wakubwa 20 waliojitengengenezea utajiri wao baada ya kuacha Chuo Kikuu

    Elimu ni ufunguo wa maisha, Elimu ni bahari, Elimu ni nguvu. Elimu ina nguvu na uwezo mkubwa sa a wa kubadilisha maisha ya watu. Lakini pia sii kila msomi au mtu mwenye elimu kubwa ana mafanikio makubwa au utajiri mkubwa au ametimiza ndoto zake. Elimu haijasaidia kutajirisha watu wote wenye...
  4. Replica

    Mwigulu Nchemba: Tanzania ina mabilionea 5740, mabilionea 115 wanamiliki 28% ya utajiri wote wa mabilionea

    Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu mabilionea waliopo Tanzania kwenda kwa wizara ya fedha. Swali(Rashid Shangazi): Tuna idadi ya watu takribani milioni 55 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna mabilionea wangapi...
  5. MamaSamia2025

    Umoja wa mabilionea tumefedheheshwa na kilichofanywa na mwenzetu Mo Dewji

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.... Ninaandika kwa huzuni kwa niaba ya mabilionea wenzangu kina Azam, GSM, Vunjabei, Platnumz, Shishibaby, Bill Nas, na wengine ambao hawapendi kutajwa kama Soggy Doggy Anter. Ni kuhusu vitendo vya kipuuzi vinavyofanywa na bilionea mwenzetu kwa jina la...
  6. sky soldier

    Ni mwanzo tu, Diamond Platnumz aagiza tena Lamborghini na Bentley, magari ya mabilion

    Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili DiamondPlatnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa gari zinazofuata alizozinunua ni lamborghini...
  7. C

    Kabla ya kua mabilionea walifanya kazi hizi

    Inaelezwa kila mtu anazaliwa tajiri lakini pia masikini. Utajiri au umasikini wake unategemea na mazingira anayokulia, lakini inategemea zaidi na yeye mwenyewe. Wapo matajiri wengi duniani ambaohawakuzaliwa matajiri. Walitengeneza utajiri wao kwa kupitia maisha ya kawaida kabisa ambayo kila mtu...
Back
Top Bottom