MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), imeendelea kufanya maboresho makubwa katika Bandari ya Dar es Salaam. Maboresho hayo yamechangia kuongeza ufanisi ikiwa ni pamoja na ongezeko la meli, shehena na kuvutia wateja wapya zikiwemo nchi jirani.
Akizungumza, Mkurugenzi wa Bandari Mrisho Mrisho...