Mfumo wa End-to-end encryption unazuia WhatsApp, mitandao ya simu na kampuni za Internet kuona kinachoendelea katika mazungumzo, messages na files. Lakini hapo mwanzo mfumo huo ulikwepo katika chats na calls za WhatsApp tu. Wahuni na hackers wakitaka kuchunguza chats zako walikuwa wanatafuta...
Mtandao wa WhatsApp unao milikiwa na kampuni ya facebook unafanya maboresho kwenye ujumbe sauti yaani voice notes.
Awali mtandao huo ulikuwa unalazimika mtumiaji kurudi kwenye Application yake endapo akitumiwa ujumbe wa sauti.
Hivyo mwanzo ukitumiwa ujumbe wa sauti endapo haupo kwenye...
Mtandao wa WhatsApp ambao ni mali ya kampuni ya facebook, Yaja na Features Mpya katika mtandao huo.
Mabadiliko na maboresho yalifanywa na mtandao huo tarehe 28/09/2021 hivyo ilikuwa lazima kwa kila mtumiaji wa mtandao huo kuupdate ili kupata maboresho yaliyo fanywa.
Maboresho hayo yaliyo fanywa...
MABORESHO YA NYANJA ZA UCHUMI KWA MAENDELEO
Maendeleo ya jamii au taifa lolote huchochewa na watu wake, mifumo ya utendaji na uchapakazi. Mabadiliko na udhibiti wa utendaji ni moja ya silaha kubwa katika kuchochea maendeleo na ufanisi ndani ya Taifa. Katika nchi yetu Tanzania kuna haja ya...
SERIKALI imefanya maboresho ya miundombinu kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya upimaji wa virusi vya corona kwa wasafiri wanaoingia nchini.
Hayo yamesemwa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi wakati alipotembelea uwanja huo akiwa na...
Akiwa katik maahijiono ya maswala mbali mbali ya kisaisa, kijamii na uchumi nguli huyo wa sheria na siasa za afrika mashariki amejikita ktk maswala ya
1. Haki
2. Ukweli na usuluhishi
3. Mabadiliko ya katiba
4. Harakati za kisiasa
5. Mageuzi katika uchumi wa Tanzania
6. Maendeleo endelevu.
Tundu...
Kwa kipindi cha miaka kama miwili hivi mchezo wa ngumi ulionekana kurudi kwa kasi na kuanza kufuatiliwa na watanzania wengi kama ilivyokuwa huko nyuma enzi za kina Rashid Matumla.
Hii ilichochewa kwa kiasi kikubwa na uwepo wa Mwakinyo ambaye alipata jina baada ya kumtwanga Mwingereza ambaye...
Ndivyo hivyo. Leo mchana huu nilikwewnda kwa agent wa Tanesco kununua umeme kama ilivyoelekezwa na matangazo ya Tanesco ya zaidi ya wiki sasa. Yule agent kaniambia hakuna luku -- yaani amesitisha kuuza umeme kwa sababu waliokuja kununua umeme leo hawakupata vikaratsi 3 kama Tanesco ilivyotangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.