SENEGAL: Serikali imetangaza kusitisha Huduma za Intaneti Nchi nzima kwa maelezo kuwa inakusudia kuzuia usambazaji wa taarifa za chuki na uchochezi wa uasi baada ya Rais Macky Sall kuahirisha Uchaguzi Mkuu.
Imeelezwa kuwa kuahirishwa kwa Uchaguzi uliotarajiwa kufanyika Februari 25, 2024...
Askofu Malasusa akiwa katika sherehe ya kuingizwa kazini amesema;
"Tukio hili la kuingizwa kazini linatokea wakati Dunia inashuhudia vita mbalimbali ikiwa ni pamoja na vita kule Ukraine, sasa tunasikia Gaza na Israel, lakini pia nchi ya Kongo bado napitia katika masikitiko makubwa na mitikisiko...
Mamia ya raia wa Israel wameendelea kuandamana karibu na makazi ya raisi wa nchi hiyo wakitaka vitu viwili.Kwanza ndugu zao waliotekwa warudishwe na Benjamin Netanyahu aondoke madarakani kwa kuitumbukiza nchi hiyo kwenye machafuko.
Hayo yakitokea kumekuwa na ukimbizi mkubwa wa ndani ya nchi...
BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania wanaoendelea kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya makombora yanayofanya na Taifa la Israel katika Ukanda wa Gaza eneo la Palestina.
Balozi Abuali,ametoa shukrani hizo leo Jijini Dar es Salaam mbele ya Waumini...
Majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile TikTok na Snapchat yatakabiliwa na uwezekano wa kuzimwa kama haitashughulikia maudhui yenye matatizo wakati wa ghasia chini ya sheria ya maudhui ya Umoja wa Ulaya.
Kamishna wa Ndani Thierry Breton, amesema hayo wakati akijibu mahojiano ya redio ya...
Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.
Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa...
Kuhusu hili jambo la mkataba wa umiliki wa bandari zote kati ya serikali ya Tanzania na kampuni DP World tumeona maoni mbalimbali kuhusu vipengele vya huo mkataba.
Mkataba huo umekosolewa kwa mapana yake kwa kila kipengele kwamba haufai na watu waliokosoa hawajafanya kwa political interest ila...
Wizara ya Mambo ya Nje nchini Iran imewashauri Wairani dhidi ya kufanya safari zisizo za lazima nchini Ufaransa huku kukiwa na machafuko yanayoendelea.
Pia Wizara hiyo imeishauri polisi na serikali ya Ufaransa kujizuia kutumia mabavu kutuliza vurugu zinazoendelea na kuzingatia matakwa ya...
Ufaransa kuna machafuko makubwa ya, maandamano, yaliyotokana na polisi kumwua kwa risasi mtoto wa miaka 17.
Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa. Fujo usiku kucha. Laiti kama haya yangetokea China au Urusi, mabeberu wa nchi za magharibi wangefurahia sana na kudai utawala wa "mabavu" umeishiwa...
Lars Vilks ni mchora katuni maarufu ambaye aliingiza dunia kwenye machafuko mpaka kutokea vifo na migogoro mikubwa baada ya kuchora katuni ya kumkashifu Mtume Muhammad SAW. Cartoonist huyu ambaye kwa sasa ni marehemu alifikia hapo baada ya kunyamaziwa kwa muda mrefu akaona anayo haki ya kuchora...
JF SUMMARY
Rais #FelixTshisekedi ameliambia Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (OHCHR) kuwa Vita inayoendelea Mashariki mwa DRC inahatarisha mchakato wa Uchaguzi wa Desemba 20, 2023 kutokana Watu wengi kuyakimbia makazi huku Tume ikishindwa kuyafikia baadhi ya maeneo.
Tume ya...
Rais wa Iran, Ebrahim Raisi ametoa shutuma hizo na kudai kuwa Rais wa Marekani, Joe Biden anahamasisha machafuko baada ya kifo cha Mahsa Amini, mwamnamke ambaye inadaiwa alikufa katika mikono ya Serikali ya Iran na kusababisha maandamano ambayo yanaendelea mpaka wakati huu.
Raisi amesema...
Kiongozi wa juu kabisa wa irani amezinyooshea kidole cha lawama marekani na israel kwa kusema ndio waratibu wa machafuko hayo nchini irani ikiwa ni hotuba yake ya kwanza tangu kuanza kwa machafuko nchini irani.
============================
Iran's supreme leader has blamed the US and Israel for...
Takriban watu 15 wameuawa na makumi kujeruhiwa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Iraq na wafuasi wa kiongozi mwenye nguvu wa Kishia Muqtada al-Sadr, baada ya wafuasi hao kuvamia ikulu katika mji mkuu wa Baghdad.
Kambi ya kiongozi huyo wa Kijeshi ilishinda viti vingi bungeni Oktoba...
Mamia ya Watoto Nchini Haiti wamehifadhiwa katika shule mbalimbali Jijini Port-au-Prince baada ya kutokea kwa machafuko ya mapigano ya wahalifu ndani ya mwezi huu Julai 2022.
Wengi wa watoto wanalala kwenye madarasa na asilimia kubwa ya Watoto hao wametengana na wazazi wao.
Vurugu hizo...
Kuna Watu wanapenda sana kutufanya Watanzania Wote ni Mabwege Mtozeni kama walivyo.
Tukutane kuanzia Mechi ya Ngao ya Jamii na endeleeni tu Kukariri na kujipa Moyo kuwa Msimu wa 2022 / 2023 utakuwa ni kama wa 2021 / 2022.
Machafuko Mafuriko FC endeleeni Kusajili na sasa tunangojea mumsajili...
Watu 7 wameuawa katika machafuko ambayo inaelezwa yanahusisha Wanamgambo katika eneo la Kaskazini mwa Msumbiji. Umoja wa Mataifa (UN) umesema watu 10,000 wamekimbia.
Machafuko hayo yametokea eneo la Cabo Delgado lenye gesi ambako Wanamgambo hao walianzisha uasi tangu mwaka wa 2017 na tangu...
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema machafuko yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001 yangeweza kuepukika kama Serikali ingeweka busara mbele na kuzuia matumizi ya nguvu kupita kiasi.
Jaji Warioba alisema hayo juzi mjini hapa, alipokuwa akichangia mjadala katika kongamano la uzinduzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.