Msigwa asifikiri kwamba CAF ni machawa wa mama wale ni professional
Kwanza atoe maelezo billion 30 zimetumikaje kwa sababu kwa macho ya kibinadamu hakuna chochote kilichofanyika ni kama uwanja umepigwa tu rangi
Nahukika katika vitu ambavyo CAF wanajuta ni kuwapa Tanzania Afcon hakuna...
"Vijana waliobahatika kuwa na nafasi katika siasa hawapo tayari kuwasaidia vijana wenzao, maaduni wa vijana kushindwa kutoboa ni vijana wenzao, vijana wajitambue wasitumike kama machawa"
Watu wanawaza kuwalamba miguu Viongozi na kuwa machawa wao ili waendelee kula. Hawawazi maslahi mapana na Tanzania na kesho njema ya Taifa letu.
Viongozi badala ya kuelekeza fedha zikawahudumie Wananchi ikiwemo kununua madawa, kuweka miondombinu bora ya elimu kwa watoto wetu inayohudumiwa na...
Raisi Samia ni mwanasiasa lakini anapenda umashuhuri kama Trump. Mapungufu yanakuja pale ambapo
Uchawa unazidi
Uzalendo. Angetakiwa kupenda vilevile haki, kupenda kupigana na rushwa kama anavyopenda umashuhuri. Atapata shida akimaliza uongozi maana watambadilikia hao machawa fake
Sabato Njema!
Ukifuatilia kwa umakini utagundua machawa wengi na Waasisi wa uchawa ni kizazi cha Miaka 70's na 80's.
Sijajua nini kilitokea Miaka hiyo kuanzia ulaji wa chakula, mitindo ya Maisha, siasa za wakati huo, mambo ya kiteknolojia.
Wanahistoria, watafiti na wanasayansi mjaribu...
Amani kwenu wakuu
Sisi ambao ni wenyeji wa Somalia tunakumbuka kwamba zamani rais alikuwa akitaka kusafiri, walitumwa wana usalama eneo husika
Lakini cha ajabu kwa sasa huku Somalia rais akitaka kusafiri wanatumwa machawa kama wote kuhamasisha watu wajitokeze barabaran kumlaki
Dah...
Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho.
Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado umchukulie poaa, watu Huwa wanaondoshwa na Risasi Moja au Mbili !!.
LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amewasihi wazazi na walezi mkoani Humo kuhakikisha wanawasimamia Watoto wao wanapata elimu iliyo bora itakayowawezesha kujitengenezea maisha badala ya kutumia muda mwingi kujipendekeza na kuwa machawa.
Mwassa ametoa kauli hiyo Februari 11, 2025 kwenye...
Is it real? Yaani CCM inabebwa na sura za wasanii akina mwijaku, Dotto toyo, kiredio na mburura wengine, are we serious with our CCM? Shameful strategy, have we become so cheap to this level? Kweli chama kimetekwa? Je, ni uoga au ni ushamba?
Je, CCM kila nyakati CCM itakuwa chini mtu ambae yuko...
Machawa ni watu wanaojipendekeza kwa wenye mamlaka kwa lengo la kupata manufaa binafsi kwa kuwapongeza na kuwafurahisha kupita kiasi, mara nyingi kwa gharama ya ukweli na uadilifu.
Wanaishi kwa kuwa mamlaka huvutia wale wanaotafuta usalama, ushawishi, au faida binafsi. Mkakati wao wa kuendelea...
Kila hela itayopatikana tufanyie mambo ya msingi. Tuache matumizi ya hovyo.Mi nilishachukua shamba kwetu Iringa na mwaka juzi muheshimiwa alinisaidia kupata diploma ya pharmacy.
Ni ushauri wa bure tu
Uzi tayari
Ujue unafiki tuweke pembeni!
Adui akikosa na wewe kama una mmudu malizana nae
Laiti mbowe angeshinda wale watoto walikuwa wameandaa masimango makubwa hatari!
Haya ni machache tu!
1. Wafuasi wa lissu tuliwaambia kura ni ujasusi wa namba mbowe ni alpha na omega
2. Lisu tulimuonya hakusikia...
Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili...
Walikuwa wanamwambia "Mzee hii nchi umetoka nayo mbali, bila wewe itakufa. Bila wewe haitakuwepo tena. Using'atuke wewe ndo alpha na omega umepambana sana"
Akajua haya manyang'au yanajisemea yenyewe.yanataka yaendelee kujineemesha na wizi. Alijua hayana lolote la ukweli.
Akaangalia mabadiliko...
Humu jf kuna bifu kati ya mashabiki wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu na machawa wa pande zote. Wengi ima hawajui mchezo wa siasa au hawana hata chembe juu ya demokrasia. Chadema, tofauti na CCM ni chama cha kila mmoja. Hivyo, wawili hawa wanapopambana kugombea uenyekiti si tatizo. Siyo sawa na...
Kuna hoja za kijinga ambazo Machawa wa Mbowe wamezianza kuwa kuna mpango wa mapinduzi Chadema. Ni hoja ambazo waliziibua tena mwaka 2013 na bila kujua tuliziunga mkono.
Kipindi hiki zimekuja tena baada ya Mbowe kupata mpinzani kwenye kiti chake alichokifanya "Ni chake cha enzi" Yani Uenyekiti...
Sisemi Mbowe hafai la hasha bali wasiwasi wangu umekuja baada ya kuona wana CCM wengi na members humu JF wakiongozwa na chawa wao mkuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable,Tlaatlaah, chiembe na wengine wakitaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti, nikajiuliza kuna nini.
Nimegundua CCM inahofu kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.