Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu wakati akitangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa amesema CHADEMA haina budi kurudisha utaratibu wa ukomo wa Madaraka kwani utaondoa uwezekano wa Viongozi kung'angania madaraka na kuandaa Viongozi wapya, kupatikana kwa mawazo mapya na...
Muda mfupi uliopita Ufm wamekatisha taarifa ya habari kutoka VOA walipoanza kutangaza habari za Tanzania kutoheshimu haki za binadamu. Huu ni ujinga uliopitiliza. CCM na serikali yake wanajitahidi kuficha maovu yao yasijulikane kwa wananchi hasa wale wajinga ambao ndio wengi na mtaji wao. Huwezi...
Wakuu,
Najiuliza hivi nu kwamba wananchi wamewachoka viongozi wa serikali au wameichoka serikali maana yanayotokea kwa sasa ningekuwa kaka Luka ningebubujikwa na machozi.
Yani imefikia kipindi viongozi wanapata majanga badala wananchi wasikitike wanafurahi na kutaka kujua wangapi wametangulia...
Ukimsikiliza afsa habari wa yanga anavyozungumza upuuzi wa mambo ya supu na kuhusu watu wote wapakeze chokaa kichwani unashangaa unageuka simba msemaji wake anapuyanga tiketi sold out upuuzi mtupu unakwenda tabora united unamsikiliza yule bi dada anaharisha eti afadhali moalim alijua akajiudhulu...
Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao.
1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police.
2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja.
3. Police haraka wametoa tamko...
Machawa taratibu wanaanza kupatiwa nguvu na baadhi ya viongozi wakubwa waovu. Baada ya muda, tutashuhudia machawa ikiropokwa hovyo bila kujali ilani, katiba ya nchi, katiba ya CCM, kanuni, miongozo, na taratibu.
Tujiulize kama taifa, je, viongozi kutokujali malalamiko ya wanyonge na...
Raisi Samia amekuwa akiwatoa wasomi diplomasia ambao wanajua na kupendwa na kuweka machawa ambao hawasaidii nchi.
Mama Mulamula alitolewa baada ya kupata umashuhuri . Makamba baada ya woga wa Mama kisiasa. Sasa mama kabaki na makada machawa na watu anaowahopa .
Mkuu wa zamani wa usalama ni...
Tanzania ni nchi ya ajabu unakuta Pro wa chuo naye ni chawa badala ya kujibu hoja!. Kama huna jibu sema hujui sio kuuliza swali badala ya kujibu!
1. Mkataba wa DP World ni wa miaka mingapi? wa muda gani?
2. DP world inapataje mapato yake kwenye mkataba? Yaani ni tozo zipi na asilimia ngapi...
Machawa wa Hasina wa Bangladesh kwa Sasa wanaojua shubiri. Wanaishi maisha ya kujificha na wanawindwa kweli popote walipo. Ila muda wa miezi michache wao ndio walikuwa wababe wa Bangladesh na kuumiza watu waliokuwa wapinzani wa Hasina.
Walihusika kuteka na kupoteza wafuasi wa upinzani nchini...
I will be short
we are fans of sports since we avoid politics.
media ni machawa wa tff na bodi ya ligi. ni shameful mtu anaona kabisa ukweli Ila njaa na uchawa una haribu mpira wetu.
imagine amna media hata moja inasema jambo kama lilivyo it's time watu twende off grid.
wasafi media...
Akichangia mjadala katika Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Askofu wa Kanisa la Moravian Revival Church, Emmaus Mwamakula amesema kuwa kuna vyuo vikuu nchini vinashindwa kuandaa viongozi wa baadae badala yake kuzalisha wahitimu wanaojipendekeza kwa wanasiasa na kuona Siasa ni ajira
Amesema hayo...
Kwenye kipindi ambacho Watanzania wengi wanaishi kwenye vibanda umiza, mfanyabiashara na chawa maarufu nchini Aristote ameshusha bonge la ghorofa maalum kama sehemu ambayo mlinzi wake atakuwa anaishi yaani Servants Quarters
Aristote alitumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha ghorofa hilo...
Wiki iliyopita kuna jamaa kapatwa na kamsala kadogo. Sasa Mimi nikawa namfariji, nikamweka karibu kuliko siku za awali kabla ya shida.
Jamaa akaniita nimsindikize alipopaki gari yake akafungua mlango akatoa shekeli akanipa.
Kumbe machawa ndo wanapata shida kiasi hichi daaahh 😭😭😭.
Muda wote...
Usaha ni uchafu, usaha unanuka, usaha unaumiza na kuleta maradhi mengi, usaha unasambaa mwilini pindi husipotibiwa na kibaya usaha unaweza kukuua na kukumaliza kabisa. Dawa ya kwanza ya usaha ni kuutoa, kuukamua (Curratage and Dilatation) ndipo unaendelea na antiobitics, kutumia antibiotics...
Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki.
Mtakumbuka machawa walivyoshangilia...
Naomba nianze kwa kutoa credit kwa member wa humu jamii forum aliyeandika hiyo title. Kwa kweli imenigusa sana mpaka nikashawishika kuitengenezea mada tofauti.
Ebu jiulize ni wangapi wameweza kuexcell na kufanikiwa kimaisha na kimaendeleo kwa haraka zaidi ya wanasiasa na Machawa kwa miaka 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.