machimbo

The cavaquinho (pronounced [kɐvɐˈkiɲu] in Portuguese) is a small Portuguese string instrument in the European guitar family, with four wire or gut strings.
More broadly, cavaquinho is the name of a four-stringed subdivision of the lute family of instruments.
A cavaquinho player is called a cavaquista.

View More On Wikipedia.org
  1. MamaSamia2025

    Ninajitolea kutoa namba za machimbo ya China kwa wapambanaji wenzangu

    Ili kuunga mkono ilani ya uchaguzi ya CCM leo nami nimeona nichangie angalau connection ya machimbo kadhaa ya vitu mbalimbali huko China. Haya ni machimbo ambayo nimekuwa nikifanya nayo kazi kwa miaka kadhaa sasa. Ninatumaini itasaidia kwa wapambanaji ambao wanahangaika kupata connection hadi...
  2. Samedi Amba

    Machimbo ya Kariakoo Mkononi Mwako

    Habari WanaJF, Natumaini tumeanza siku vizuri. Hata kama kuna mambo hayaendi, shukuru hata kwa uhai. Mungu yupo atakupambania... Bila kupoteza muda, ningependa kuwashirikisha wazo, na naomba feedback. Kama mfanyabiashara, siku zote unatafuta pa kununua vitu kwa bei ndogo ili uweze kuuza kwa...
  3. S

    Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    Kwema Wakuu, Ujenzi umekua gharama sana sababu ya kuongezeka kwa bei za bidhaa kunakoendana na ongezeko la bidhaa zingine zisizo za ujenzi pia. Kwa aliejenga miaka 10 nyuma gharama hizo hizo akitaka kujenga sasa kwa nyumba ya aina ile ile anaweza asifike hata 60% ya nyumba aliojenga mwanzo...
  4. Kibosho1

    Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

    Kwakweli mimi sijazunguka mikoa mingi sana ila kwa nilipopita bado sijaona sehemu nzuri za kula bata kama Moshi. Isipokuwa Dar es Salaam Kwanza nilichopendea hakuna sehemu ya kiwango cha chini zote ni kama VIP ambazo kwa Dar lazma ukute vinywaji vinauzwa bei juu. Pamoja na kuwapo na wageni...
  5. Superbug

    Uzi wa kusaidia vyombo vya dola kujua machimbo yote (incubation hubs) za panya road na vijana wahalifu mikoa yote

    Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature. Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam. Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania. Taja mkoa wilaya kata mtaa na...
  6. M

    Natafuta machimbo ya sabuni za magadi

    Wadau, Nitaji kupata kwa wingi na kwa bei ya jumla sabuni za magadi (pichani), kama unajua chimbo au unauza kwa bei nzuri naomba ni pm. Pia natafuta watu wenye ujuzi wa kutengeneza sabuni hizi.
  7. Equation x

    Warembo wa Kiarabu, wanapatikana wapi?

    Nimejaribu kuzunguka mtaa kwa mtaa, zaidi ya miezi 3, ili nipate mchepuko wa kiarabu; lakini bado sijafanikiwa. Naimani, nikipata mrembo wa umbo namba 8, wa Kiarabu; akili yangu itatulia na kufanya mambo mengi ya msingi. Wakuu, wanapatikana wapi hawa warembo wa Kiarabu?
  8. Nakadori

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
  9. FRANCIS DA DON

    Naomba kufahamishwa machimbo ya vifaa vya ujenzi vya wizi

    Kwa wanaofahamu machimbo ya vifaa vya ujenzi vya wizi, hasa hasa nondo. Maana si tumeamua kukomoana, wacha tutafute alternative. Pia na mabati, kama kuna anaefahamu hayo machimbo, najua yapo, maana huwa nasikiaga sikiaga watu wakinunua kwa bei ya kuokota.
  10. sky soldier

    Mchimbo Dubai: Tujuzane namna ya kufika, maisha yalivyo, machimbo ya bidhaa na kuufikisha mzigo Bongo.

    Dubai ni mji wa kiv=biashara ambao watu kibao wanaenda kufata mizigo yao na kuiuza hapa bongo. Naamini kuna wazoefu humu wengu wanaofata mizigo huko Dubenga, tunaombeni ushirikiano. Binafsi nimecheki videos mitandaoni za wahindi wengi na wapakistani wakippategemea sana Dubai kwenye kujumua...
  11. nover

    Machimbo ya mzigo biashara ya vifungashio

    Habari wana jamiiforums, nategemea kufungua ivi karibuni biashara ya vifungashio (jumla & rejareja) maeneo ya Mwanza mjini. Naomba kwa wazoefu wa biashara hii mnifahamishe ni wapi naweza kupata mzigo bei rahisi ndani ya nchi. Tayari nimepata baadhi ya machimbo ya mzigo maneo ya Kariakoo ila...
  12. I

    Tupeane michongo ya machimbo ya Dayworker viwandani Dar es salaam

    Ha
  13. C

    FURSA: Kwa Wajasiliamali Mikoani

    Biashara ni kutatua changamoto za watu. Watu waliopo nje ya Dar es Salaam hupata shida kufuata bidhaa Kariakoo Dsm. Imagine mtu anafunga safari toka Songea au Kigoma, Mwanza, etc. mpaka Dar es Salaam kufuata bidhaa ambazo zinaweza kusafirishwa mpaka mtu (mfanyabiashara) alipo bila kutumia...
  14. chizcom

    Haya ni mambo niliyoyakuta kwenye machimbo ya madini

    Siku ya jumatatu tarehe 30-8-2021. Nilikuwa nasikia machimboni tu, kuna rafiki yangu naye mtu machimbo mwenye mgodi wake! Nikataka kujua maisha ya machimboni yakoje, basi jumatatu tukatoka kama tarehee niliyotaja kwenda kule. Maisha yaliyopo machimboni yani sijui ni pesa au watu kudata na...
  15. laurentie

    Natafuta partner kwenye machimbo (Lugoba)

    Habari wadau natafuta mwekezaji mwenza kwenye machimbo ya magnecite Lugoba. Nina machine zote za uchimbaji, nahitaji mtu atakae wekeza kwenye mafuta na kulipia gharama za opereta wa machine tu, na kununua vilipuzi na chakula cha mgodini tu kuna kazi nilishafanya mwanzo inahitaji kumalizia tu...
  16. Nebuchadinezzer

    Dotto Biteko, kuwafukuza wana Chunya kwenye eneo lao la machimbo ni unafiki

    Mwanzo nilikuona wa maana sana kumbe ndio walewale walamba viatu na wajali matumbo yao. We ni mtu wa ovyo, mzandiki na usiyefaa hata kidogo! Umeamua kuwafukuza wananchi wa Chunya kwenye eneo lao waliokuwa wanachimba eti walimdanganya rais. Wewe kama msaidizi wa rais, iweje ukubali bosi wako...
  17. Bushmamy

    Naombeni machimbo ya kuku wa kienyeji tafadhali

    Naomba kufahamishwa wapi/mkoa upi nitapata kuku wa kienyeji kwa jumla na kwa bei nzuri? Pamoja na aina ya usafiri toka huko masokoni /minadani kuleta mjini. Asanteni
  18. Babu Kijiwe

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
  19. musicarlito

    Msaada kuhusu kazi za machimbo Mererani

    Habari wakuu, Naomba mwenye taarifa au uzoefu na maeneo tajwa hapo juu kwa utafutaji Kifupi nilibahatika kuajiriwa na taasisi kubwa ya kifedha hapa nchini, mshahara haukuwa mbaya, nilitaka kubadili mazingira ya kazi na kujiajiri kwenye biashara, vile isivyo bahati nilifeli. Tangu hapo...
  20. L

    Msaada kwa wafanyabiashara wa maduka ya nguo Kariakoo

    Jamani tusaidiane katika hili nisijekupigwa huko Kariakoo naombeni msaada kwa wale watu wa mikoani mnaochukua nguo Kariakoo nielekezeni machimbo ya nguo za kike wanapouza kwa bei rahisi nisaidieni. Kila nikienda naishia tu kwenye nguo za bei jamani nielekezeni tafadhari pia maduka ya urembo...
Back
Top Bottom