machine

A machine (or mechanical device) is a mechanical structure that uses power to apply forces and control movement to perform an intended action. Machines can be driven by animals and people, by natural forces such as wind and water, and by chemical, thermal, or electrical power, and include a system of mechanisms that shape the actuator input to achieve a specific application of output forces and movement. They can also include computers and sensors that monitor performance and plan movement, often called mechanical systems.
Renaissance natural philosophers identified six simple machines which were the elementary devices that put a load into motion, and calculated the ratio of output force to input force, known today as mechanical advantage.Modern machines are complex systems that consist of structural elements, mechanisms and control components and include interfaces for convenient use. Examples include a wide range of vehicles, such as automobiles, boats and airplanes, appliances in the home and office, including computers, building air handling and water handling systems, as well as farm machinery, machine tools and factory automation systems and robots.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Machine mpya ya kusafishia ndani ya gari ya mkono

    Machine mpya ya kusafishia ndani ya gari Inatumia umeme wa gari 12V Inanyonya michanga,vumbi,takataka ndogo ndogo Inanyonya vumbi kwenye viti Bei 40,000 tu. Free delivery ukiwa dar Call/WhatsApp 0656 666 662
  2. R

    Naomba namba za mbunifu wa machine ya umeme wa sumaku wa Kawe Dar es Salaam

    Kama kuna mtu humu aliye na mawasiliano ya mbunifu wa machine ya kuzalisha umeme inayotumia mfumo wa sumaku, Tafadhali anisaidie.
  3. kikoozi

    Msaada anayejua upatikanaji wa mashine za kamari zile za kuweka 200

    Hbarini ndugu, nataka kujua zile machine za kichina za kuweka sh mia 200 ya salafu zinapatikana vipi, nataka mimi ndio niwe mmliki na muendeshaji, uwa naona wachina ndio wanazifunga maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam, sasa naombeni mwenye kujua yafuatayo 1. Upatikanaji wake? 2...
  4. 1gb

    Folding min portable washing machine.

    Habari. Wakuu nahitaji hyo mashini ndogo ya kufulia,ndogo kabisa mfano picha hapa chini. Nipo Dar es salaam. Nicheki pm tufanye biashara. Karibu.
  5. Tripo9

    EFD machine ni kwa ajili ya wafanyabiashara gani?

    Nina kaduka kangu sokoni. Nalipa kodi kama kawaida TRA kila mwaka. Mapato ya mwaka officially yanajulikana ni less than 4 million a year. Nauliza je na mimi natakiwa niwe na EFD MACHINE? Nimeingia website ya TRA sijaona jibu zaidi ya hii statement ..." These offences shall not apply to a...
  6. E

    Kwanini Benki za Tanzania hazina ATM machine za kuweka fedha

    Habari za mihangaiko wakuu, Kwanini benki za Tanzania hazina ATM machine za kuweka fedha?
  7. E

    Car Diagnostic Machine English version

    Habari wakuu, natafuta Car Diagnostic Machine English version. Au kama unawajua wauzaji toka nchi za nje nisaidie contacts zao. Nataka inayo toa taarifa za mfumo wa gari kwa Kiingereza
  8. A

    Tafadhali nahitaji kufundishwa namna ya ku operate 3d vacuum sublimation machine

    Habari wadau! Tafadhali nahitaji kufundishwa namna ya ku operate 3D VACUUM SUBLIMATION MACHINE pamoja na mambo yote ya msingi yanayotakikana katika ujasiriamali huu! Tafadhali mjuzi wa mambo hizi aliyepo hapa Dar anicheki PM kwa mawasiliano.Asante
  9. frado

    Je, hiki ni kiama cha ATM machine?

    Unaweza usiamini hiki ninachoenda kukiandika lakini nina asilimia 1000 hili jambo litatokea katika ulimwengu huu wa kidigitali. Nina uhakika kwa nchi kama Marekani na China ATM MACHINE hazitakuwa na matumizi tena miaka 5 tu ijayo. Ni wazi kuwa Marekani na china wanajaribu kutoka katika...
  10. MamaSamia2025

    Heat press machine & mug press

    ZILISHAUZWA
  11. J Mbungi

    Machine ya kuosha magari/pikipiki/bajaji inahitajika

    Natafuta car wash machine ya umeme. Mwenye details anitafute +255784355775 DAR ES SALAAM /ZANZIBAR
  12. B

    INAUZWA Mashine ya kuchomelea (welding machine) inauzwa

    Inauzwa mashine ya kuchomea aina ya CEM SV-260. imetumika lakini bado iko kwenye hali nzuri sana Bei ni mil 1.5 Iko Dar njoo 0763969066 ziko storage nafasi ni finyu sikupata uwezo wa kupiga picha vizuri.
  13. mgt software

    Ndege, Treni na Machine ya kufua umeme ya Askofu Gwajima alivisimika wapi, chuo cha marubani Jem hiyo ilikuwa 2017

    Wana JF, Ukitaka kujua aina za wachungaji tuliona basi unasubiri tu mudam ahadi lukuki za Askofu gwajima sijawahi ona hata mojam alisema atafungua chuo cha marubanim watu waje kujifunza kuendesha ndegem Alisema mwakani ataingiza machine za kufua umeme ambazo zitamaliza kabisa tatizo la umeme...
  14. E

    Kwa mwenye air compresor & digger drilling machine

    Habari wana JF. Mimi ni mchimbaji mdogo, nimepata site nzuri ya kuchimba na kutengeneza ore ya madini ya dhahabu kwa ajili ya uchenjuaji, mtambo wa kusagia mawe kwa maana ya crusher machine ninao, na eneo linasoma ppm nzuri kwa ajili ya kupata ore nzuri ila nimekwamishwa na kitendea kazi kimoja...
  15. kikoozi

    Mwenye uzoefu na mashine za kufulia nahitaji kununua

    Habari zenu, mwenye uzoefu na hizi machine za kufulia nguo, nahitaji kununua machine ya kufulia mwenye kujua, kampuni ipi ni nzuri, zenye uzito gani ni nzuri, na kadhalika sio ya kufanyia biashara ila ni kwaajili ya matumizi ya nyumbani tu. Karibuni sana wakuu wenye kujua
  16. B

    INAUZWA (WOODMIZER) Machine ya kisasa ya uchanaji mbao

    Ni mashine yenye uwezo wa kuchana mbao nyingi kwa mda mfupi na kwa kutumia watu wawili tu. Pia ni chombo kinachobebeka kwa maana ya kuhamishwa mara kwa mara. Zipo za aina mbili Inayotumia petrol engine na motor engine. Ulaji wa mafuta ni mdogo sana. Bei yake ni kuanzia million 17 za...
  17. F

    INAUZWA Mashine ya kuprint tshirt inauzwa ( heat press machine heavy duty), msimu wa kampeni muhimu sana

    Habari wadau Nauza mashine ya kuprint tshirt heat press machine heavy duty Inatumika kuprint picha na maneno kwenye tshirt Inafaa sana kuchapa tshirt za kampeni za wagombea.. na tshirt za kumbu kumbu ya msiba Bei ya mashine ni shilingi milioni moja ( 1,000,000 ) Mashine ni heavy duty na...
  18. M

    INAUZWA Tunauza bidhaa mbalimbali, Tunapatikana Kariakoo Ndanda st

    Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa Ni imara na haikati misumeno Ina watts 550 Ina sehemu ya kusagia nyama Ina warranty mwaka mmoja Bei 1,350,000 tu Tunapatikana kariakoo ndanda st Tunadeliver free kwa dar pia. Call/text/WhatsApp 0656666662.
  19. C

    Kwanini TRA wasitengeneze Software au Application itakayofanya kazi ya EFD Machines?

    Hizi mashine za kutoa risiti za TRA ni ghali hasa kwa mtu anayeanza biashara na hana uhakika wa mzunguko wa fedha. Uchunguzi mfupi niliofanya ni kwamba Bei ya chini kabisa ni Sh. 580,000. Bei ya juu ni mpaka shs 2m. Natoa pendekezo lifuatalo kwa TRA. Watengeneze application ambayo inaweza...
  20. ubuntuX

    INAUZWA Machine ya lambalamba (Popsicle Machine)

    Call/WhatsApp 0788622610 Brand New popsicle machine Ina tray 2 (40 popsicles each) Inazalisha pisi 80 kwa dk20 Inauwezo wa kuzalisha zaid ya piece 5000 kwa siku Bei:3,300,000 only Ukinunua utafaidika bure na maelezo yote jinsi ya kutengeza Ina warranty mwaka mmoja Tupo Kariakoo
Back
Top Bottom