Habari zenu, mwenye uzoefu na hizi machine za kufulia nguo, nahitaji kununua machine ya kufulia mwenye kujua, kampuni ipi ni nzuri, zenye uzito gani ni nzuri, na kadhalika sio ya kufanyia biashara ila ni kwaajili ya matumizi ya nyumbani tu.
Karibuni sana wakuu wenye kujua