machinga

For the town in Malawi, see Machinga, Malawi. For the district of Malawi, see Machinga District.The Machinga are an ethnic and linguistic group based in Lindi Region on the southern Indian Ocean coast of Tanzania. In 1987 the Machinga population was estimated to be 36,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    Musukuma ataka machinga wasibugudhiwe. Asema Serikali imechuma Bilioni 43 kwenye Vitambulisho

    BUNGENI: Mbunge Joseph Kasheku Musukuma amesema Machinga anaposumbuliwa na kuharibiwa Biashara, Taasisi za Kifedha nazo zinaharibiwa. Amesema, "Kuna watu wako pale wana mikopo, wamekopeshwa wana marejesho. Tuna shida gani tukisema magari yasiingie Kariakoo ili iwe kitovu cha Biashara? Watu...
  2. G

    Kwa Taifa lenye mipango na maono mazuri huliwezi kutegemea Machinga na mama lishe kwa uchumi endelevu

    Habarini wakuu, Kwanza nipongeze juhudi mbalimbali za taifa letu katika kujikomboa kiuchumi. Niwapongeze pia vijana wenzangu tuliomua kujiajiri kwa njia mbalimbali Machinga mama lishe boda boda nk. Nirudi kwenye mada yangu , katika kutafakari kwangu nimejaribu kuangalia Mambo muhimu...
  3. S

    RC Makala: Wafanyabiashara ndogo ndogo kupangwa upya Dar es Salaam, walioko barabarani kuondolewa

    Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara Chanzo: ITV habari Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu. Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate...
  4. kagoshima

    Vitambulisho vya machinga ulikuwa mradi wa nani? Kwanini ile hela haikukusanywa na TRA?

    Za asubuhi wadau, Uongozi wa hayati ulikua na mambo mengi yenye ukakasi. Mojawapo ni hili la kuwauzia wamachinga kitambulisho kisicho na utambulisho wowote wa anaye kimiliki. Manaake kitambulisho kingeweza kudondoka na kikaokotwa na kutumiwa na mtu mwingine. La kushangaza zaidi malipo ya hivi...
  5. kavulata

    RC Kunenge kufanya hivyo ni sawa na kuwafukuza Machinga Dar es Salaam

    Kwanza wasizibe njia za waendao kwa miguu, barabara za Mwendokasi na Barabara za Magari mengine Pili wasifanye biashara mbele ya wafanyabiashara wengine Tatu msijenge vibanda vya kuuzia biashara na kujikinga na mvua na jua Mwisho wasipikie mihogo na vitumbua kwenye msongamano wa watu. Kama...
  6. M

    Rais Samia, suala la Machinga kuwa nalo makini. Usije ukajichanganya

    Ndugu Rais, Hili suala la wamachinga ni very sensitive nakushauri uende nalo kwa busara kubwa sana. Nadhani uliona maelfu ya waliotoka mabarabarani kumlilia Magufuli, naweza kusema probably kuwa zaidi ya 70% ni Wamachinga. Hili ni jeshi kubwa sana ambalo ukilizingua litakuzingua kweli...
  7. Mlima simba

    Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

    Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es Salaam. --- UPDATE MAY 11, 2021-- Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Jumanne Shauri amewataka wafanyabiashara waliojenga vibanda katikati...
  8. EMMANUEL JASIRI

    TRA tafadhali angakieni upya huu utaratibu wa kitambulisho cha machinga

    Mimi ni mjasiliamali mdogo mdogo,nayajua maumivu tunayo yapitia sisi wajasilia mali wadogo.Natambua uwepo wa wafanya biashara weye mitaji mikubwa ambao wamejigeuza kuwa machinga kwa lengo la kukwepa ulipaji kodi. Hata hivyo wapo wengi ambo ni machinga halisi,pia wapo pia ambao hapo awali...
  9. Stroke

    Ili kuwasaidia Machinga, ipo haja ya kuvisajili vitambulisho vyao BRELA na kuwapa TIN

    Salaam wakuu, Moja wapo ya Initiatives za awamu ya tano katika kuboresha maisha ya watu wake ilikuwa ni kuwatambua na kuwaruhusu wafanyabiashara wadogo qadogo, jambo hilo lilifanikiwa kwa asilimia kubwa na kuiwezesha serikali kupata mapato yake. Awamu ya sita (6) imeonekana kutokuwa mbali sana...
  10. Nigrastratatract nerve

    Machinga waanza kunyanyaswa rasmi hawatakiwi huu si wakati wa wanyonge

    Hili ni Eneo la Shule ya Sekondari Mabati Mjini Njombe ambako Meza za Wafanyabiashara wadogo (#Machinga) zimetupwa na Mgambo wa Halmashauri ya Mji huku wafanyabiashara hao wakitakiwa kuondoka pembezoni mwa Barabara na wahamie katika Soko la Dodoma. Maskini baba aliwambia kufanya biashara...
  11. Woga tupa kulee

    Ni wakati wa machinga, mama ntilie na wafanyabiashara wadogo kulipa Kodi halali

    Najua wapo watakao sema ni ukatili, hapana. Kama ambavyo wafanyakazi wanao lipwa sh hata laki nne kwa mwezi hukatwa Kodi kila mwezi, ni wakati wa wafanyabiashara tajwa kulipa Kodi halali itakayo kusanywa na TRA, sio hivyo vitambulisho vya 20,000 ambayo hatujawahi kuambiwa huwa inakwenda wapi...
  12. Wordsworth

    Utakaa barabarani mpaka ufikishe miaka 90?

    Nyerere, pamoja na matatizo yake yote alikomboa maskini kwa njia ya redistribution of resources. (ingawa angefanya kwa njia nyingine) Hakuwa na watendaji wazuri na viongozi wenzake wakati ule hawakumulewa (ni ngumu sana kumuelewa idealist na mtu mwenye vision ya miaka zaidi ya 100 ijayo)...
Back
Top Bottom