Najua wapo watakao sema ni ukatili, hapana.
Kama ambavyo wafanyakazi wanao lipwa sh hata laki nne kwa mwezi hukatwa Kodi kila mwezi, ni wakati wa wafanyabiashara tajwa kulipa Kodi halali itakayo kusanywa na TRA, sio hivyo vitambulisho vya 20,000 ambayo hatujawahi kuambiwa huwa inakwenda wapi...