Katika hali ya viongozi wa bara uroda kuchanganyikiwa, wanene waliotajwa hapo juu wameamua kumfuata mzee baba live. Watafanikiwa kumshawishi abadili msimamo?
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amedai kwamba viongozi wa nchi za Afrika hawana shukrani. Macron aliyasema maneno hayo mnamo tarehe 6 January 2025 wakati akiwahutubia wanadiplomasia wa Ufaransa wanaoiwakilisha nchi hiyo katika nchi mbalimbali.
Macron alisema kwamba mfano viongozi wa nchi za...
Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.
Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.
Tafadhali naomba wale wazee wa miaka...
Wanaukumbi.
BREAKING🚨 Emmanuel Macron amezitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel ili zitumike Gaza.
"Nadhani leo, kipaumbele ni kwamba turudi kwenye suluhisho la kisiasa, kwamba tuache kupeleka silaha kupigana huko Gaza"…🇫🇷🇵🇸...
Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa.
Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita.
Je Macron kafanya nini ,kilichomfanya Netanyahu kuchukia hivi...
Uchaguzi wa bunge la ulaya umemalizika jana kwa raia kutoka nchi 27 kupiga kura kuchagua wabunge watakaowawakilisha katika bunge la ulaya ambapo vyama vya siasa vya mrengo wa kulia vimeonekana kufanya vizuri.
Nchini ufaransa, chama cha mrengo wa kulia cha “National Rally, NR” kimefanya vizuri...
Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa wito wa uchaguzi wa haraka Juni 30 na Julai 7.
Chama cha AfD cha Ujerumani kilipanda hadi nafasi ya...
French President Macron to announce: "Europe is at war with Russia" on June 6
JUNE 02, 2024
June 6 will be a landmark day for the whole of Europe. France will officially make the first announcement of sending military personnel from a European/NATO state to Ukrainian territory.
The Ukrainian...
Meneja wa Alshifa hospital jana alisema ni zamu ya vita vya kupiga hospitali.Na kweli vita vya Israel kwa hospitali vimeendelea na kuonesha ukatili ambao wote walioona wametishika.
Madaktari wa hospitali hizo wameonekana wakikimbia na vitoto njiti kwenye mashine za kuokolea maisha huku wengine...
Mukhtasari wa kauli ya Kansela wa Ujerumani Scholz na Raisi wa Ufaransa Macron katika Franco-German meeting jijini Humburg
#Ujerumani na Ufaransa inakemea vikali mashabulizi ya kigaidi ya Hamas dhidi ya Israel.
#Ujerumani na Ufaransa wataendelea kuisadia Ukraine dhidi ya uvamizi wa Urusi...
Macron amesema ulaya lazima ipunguze utegemezi wake kwa Marekani pia iepuke kuingizwa kwenye mzozo kati ya China na Marekani kuhusu Taiwan,
"Ulaya lazima isiingie kwenye makabiliano kati ya Marekani na China kuhusu Taiwan, Wazungu lazima waamke na kuepuka kufuata mdundo wa Marekani", Prez...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini China ambako pamoja na mengineyo analenga kulishawishi taifa hilo mshirika wa Urusi, kusaidia juhudi za kuleta amani katika mzozo wa Ukraine.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aidha anataraji kuirai China kuacha...
" Congo DR iache kila mara Kulaumu Kuvamiwa na Rwanda, tumechoka na kabla ya Kuwashutumu Majirani zao Wajiimarishe hasa Kiusalama na Kuimarisha kama Taifa kwa Umoja na Kuwaunganisha Wakongo wote* amesema Rais wa Ufaransa Manuel Macron alipokuwa Ziarani nchini Congo DR.
Chanzo Taarifa: Amka na...
Ziara hiyo ya Rais Emmanuel Macron imeanzia Nchini Gabon na kufanya mazungumzo na Rais Ali Bongo na baadaye ataelekea Angola, Congo-Brazzaville na DRCongo ambako tayari kumeibuka vurugu za kuipinga ziara hiyo.
Ziara hizo zinafuatia hatua ya #Urusi kuanza kujenga uhusiano na Nchi zilizowahi...
Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba nchi yao inaifanyia Ufaransa "hujuma isiyo ya kawaida hasa katika kipindi hiki cha mdororo wa nishati na uchumi kutokana na Covid-19 na mzozo ya...
Wakati NATO wenzake wanataka vita iendelee, Rais wa Ufaransa anaonekana kutoamini kuwa wana uwezo wa kumaliza vita. Amemuomba Papa awaite warussi na USA wakae mezani kuyamaliza.
Urusi n USA ndo walianzisha vita na ndiyo watamaliza. Siyo EU.
Urusi siyo Zimbabwe
Macron says he urged Pope to...
Brigitte Macron, first lady for France aged 69 years while Emmanuel Macron President of France is aged 44 years. They met for the first time when Brigittie was 44 and Macron was 15. Brigittie was married by then and she was Macron's teacher.
Macron fell in love with Brigittie and he told her...
Raisi wa ufaransa Emmanuel Macron amesema utawala wa kidemokraisia unaelekea kufa duniani kote ikiwemo Marekani kwenye. Katika kile alichokiita mzozo wa kidemokrasia Macron amesema hali hiyo inatokana na ukandamizaji na hali ya mchafuko unaoletwa na demokrasia.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi huku kukiwa na mvutano kati ya Majirani hao kuhusiana na Makundi ya waasi karibu na mpaka wao wa pamoja
Taarifa zaidi zinazema kuwa Viongozi hao wanataka...
Serikali ya kijeshi nchini Mali imemshutumu Rais Emmanuel Macron kwa tabia ya "ukoloni mamboleo na udhalilishaji" na kumtaka aache ukosoaji wake kwa Jeshi la nchi hiyo na kuchochea chuki ya kikabila
Hii ni kufuatia matamshi ya Rais Macron wiki iliyopita wakati wa ziara yake Afrika Magharibi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.