Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amefanikiwa kutetea nafasi yake ya Urais baada ya kumshinda mpinzani wake, Marine Lepen katika raundi ya pili ya Uchaguzi wa Rais Nchini humo
Kura zimeonesha Macron ameshinda kwa kura 58 dhidi ya 42 za Lepen kulingana na makadirio ya taasisi za ukusanyaji wa...
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameongoza kwenye duru ya kwanza ya uchaguzi, akimshinda kwa tofauti kubwa kuliko ilivyotarajiwa mpinzani wake, Marine Le Pen na hivyo watakutana katika duru ya pili kati ya wawili hao baadaye mwezi huu.
Matarajio yalionyesha Macron atashinda kwa kati ya...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022
Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati...
Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa
Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe...
Waislamu hasa kwenye nchi zenye fedha wameamua kususia bidhaa za Ufaransa ikiwa ni kuonesha hasira zao kutokana na mwendelezo wa kejeli za raisi wa nchi hiyo Emmanuel Macron kwa dini ya uislamu.
Katika hatua ya sasa mataifa kadhaa ya kiarabu yameamua kuteremsha chini bidhaa za nchi hiyo...
Wiki moja tu tangu Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kusema uislamu ni janga la dunia mambo yamemgeukia.
Muda aliotamka maneno hayo ulinasibiana na kuachiwa huru kwa mateka muhimu na raia wa ufaransa bi Sophie Petronin ambaye alitekwa nchini Mali mwaka 2016 alipokuwa akifanya shughuli za huruma...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe walilazimika jana kuondolewa kwa dharura kutoka ukumbi wa sinema baada ya waandamanaji kujaribu kuingia ukumbuni na kuvuruga onesho lililokuwa likiendelea.
Polisi wa kutuliza ghasia walijiweka tayari wakati waandamanaji kadhaa walipokusanyika nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.