macron

Emmanuel Jean-Michel Frédéric Macron (French: [emanɥɛl ʒɑ̃ miʃɛl fʁedeʁik makʁɔ̃]; born 21 December 1977) is a French politician who has been President of France and ex officio Co-Prince of Andorra since 14 May 2017.
Born in Amiens, Macron studied philosophy at Paris Nanterre University, later completing a master's degree in public affairs at Sciences Po and graduating from the École nationale d'administration in 2004. He worked as a senior civil servant at the Inspectorate General of Finances and later became an investment banker at Rothschild & Co.
Macron was appointed a deputy secretary general by President François Hollande shortly after his election in May 2012, making Macron one of Hollande's senior advisers. He was later appointed to the Cabinet as Minister of the Economy and Industry in August 2014 by Prime Minister Manuel Valls. In this role, Macron championed a number of business-friendly reforms. He resigned from the Cabinet in August 2016, launching a campaign for the 2017 presidential election. Although Macron had been a member of the Socialist Party from 2006 to 2009, he ran in the election under the banner of a centrist political movement he founded in April 2016, En Marche.
Though initially behind in opinion polls, Macron topped the ballot in the first round of voting, and was elected President of France on 7 May 2017 with 66.1% of the vote in the second round, defeating Marine Le Pen. He quickly appointed Édouard Philippe as prime minister, and in the legislative elections a month later, Macron's party, renamed "La République En Marche!" (LREM), secured a majority in the National Assembly. At the age of 39, Macron became the youngest president in French history.

View More On Wikipedia.org
  1. Uchaguzi Ufaransa: Rais Emmanuel Macron amshinda Mpinzani wake, Marine Le Pen

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amefanikiwa kutetea nafasi yake ya Urais baada ya kumshinda mpinzani wake, Marine Lepen katika raundi ya pili ya Uchaguzi wa Rais Nchini humo Kura zimeonesha Macron ameshinda kwa kura 58 dhidi ya 42 za Lepen kulingana na makadirio ya taasisi za ukusanyaji wa...
  2. Emmanuel Macron, Marine Le Pen kushindana raundi ya pili kuwania Urais wa Ufaransa

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameongoza kwenye duru ya kwanza ya uchaguzi, akimshinda kwa tofauti kubwa kuliko ilivyotarajiwa mpinzani wake, Marine Le Pen na hivyo watakutana katika duru ya pili kati ya wawili hao baadaye mwezi huu. Matarajio yalionyesha Macron atashinda kwa kati ya...
  3. Paris, Ufaransa: Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Rais Emmanuel Macron

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022 Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati...
  4. Macron and Kagame

  5. U

    Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

    Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe...
  6. Macron yamemkuta, Waislamu wamjia juu na kususia bidhaa za Ufaransa

    Waislamu hasa kwenye nchi zenye fedha wameamua kususia bidhaa za Ufaransa ikiwa ni kuonesha hasira zao kutokana na mwendelezo wa kejeli za raisi wa nchi hiyo Emmanuel Macron kwa dini ya uislamu. Katika hatua ya sasa mataifa kadhaa ya kiarabu yameamua kuteremsha chini bidhaa za nchi hiyo...
  7. Macron wa Ufaransa afika uwanjani kumpokea muislamu halafu atoweka

    Wiki moja tu tangu Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kusema uislamu ni janga la dunia mambo yamemgeukia. Muda aliotamka maneno hayo ulinasibiana na kuachiwa huru kwa mateka muhimu na raia wa ufaransa bi Sophie Petronin ambaye alitekwa nchini Mali mwaka 2016 alipokuwa akifanya shughuli za huruma...
  8. Ufaransa: Rais Macron na mkewe wavamiwa na waandamanaji

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe walilazimika jana kuondolewa kwa dharura kutoka ukumbi wa sinema baada ya waandamanaji kujaribu kuingia ukumbuni na kuvuruga onesho lililokuwa likiendelea. Polisi wa kutuliza ghasia walijiweka tayari wakati waandamanaji kadhaa walipokusanyika nje ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…