Akizungumza na Jamii Forums, Afisa Mawasiliano na Uhusiano wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, Agrey Layson Mwaijande amesema:
Tuna mashine mbili, moja ya mafuta na nyingine ya umeme, kupata hitilafu ni vitu vya kawaida, faida yetu ni kuwa ikiharibika moja tunatumia nyingine.
Hivyo...
SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI MALALAMIKO KILA KONA.
JE, MNAPOSEMA BIMA KWA WOTE MTAWEZAJE WAKATI HILI LA KUZILIPA HOSPITALI TUPATE...
Huko kusini mwa Tanzania kuna mganga mmoja anasifika kwa kutoa dawa za biashara na mapenzi.
Sifa ya kipekee ya huyu mganga ni kwamba ukienda kwake kutafuta lets say dawa ya biashara, atakupa dawa ya biashara ambayo atakuelekeza ukaizike eidha kwenye biashara yako au njia panda inayo ingia...
SENEGAL: Serikali imetangaza kusitisha Huduma za Intaneti Nchi nzima kwa maelezo kuwa inakusudia kuzuia usambazaji wa taarifa za chuki na uchochezi wa uasi baada ya Rais Macky Sall kuahirisha Uchaguzi Mkuu.
Imeelezwa kuwa kuahirishwa kwa Uchaguzi uliotarajiwa kufanyika Februari 25, 2024...
MOMBA: "ANAYEPINGA MADAI YA SHIDA YA MAJI MOMBA AKAPIMWE AKILI"?
BAANDA ya February 2. 2024 Mbunge wa Jimbo la Momba kwenda na ushahidi wa video ikionyesha Wananchi wa Kijiji cha Lwatwe kata ya Ivuna wakifukua Maji chini ya ardhi, baadhi ya watu wameandika mitandaoni kwa kichwa kinachosema "...
1.Yaan unaingia gharama kutafuta wakili..
2. Inachukua muda kuendeshwa..
3. Nado ukishinda unalipwa kwa mafungu mafungu yaani inachukua muda mtu kumaliza kiasi unachomdai..
4. Ukishinda mdai anakata rufaa muda unazidi kwenda na ww unashida na hela yako..yaan daah
5. Dhamana zenyew wanazotupa...
Kuna kesi nyingi sana zilizofanyiwa hukumu na ambazo mashauri yanaendelea na wengi wa watuhumiwa ni kutokana kaya masikini sana ambao hawana uwezo wa kuweka Mawakili katika Mahakaman mbali mbali.Kwakuwa CHADEMA ni chama kinachopigania haki na demokrasia , kina program yoyote ya kuwasaidia hawa...
Baadhi ya waendesha pikipiki (bodaboda) kutoka jijini Malindi wameamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, wakidai kuwa wamesahaulika katika mipango ya serikali na kusababisha hasara kubwa kifedha pamoja na matatizo ya kisaikolojia.
Kulingana na nyaraka za mahakama...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amezungumzia madai ya uwepo wa mlipuko wa maambukizi ya Kipindupindu katika Wilaya ya Bariadi Mkoani hapo akisema kuwa kilichotokea ni magonjwa ya tumbo na tayari Serikali inachukua hatua kisha akatoa ushauri kwa Wananchi.
Amesema hayo siku chache...
Pia soma
= Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi
= Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai wameporwa Ardhi yenye mashamba yao
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF hivi karibuni lilitoa ripoti ya mtazamo wa uchumi wa Afrika ikikiri kuwa China sio chanzo kikuu cha mzigo wa madeni katika Afrika Kusini mwa Sahara. Wachambuzi wanasema wakati Marekani na nchi nyingine za kimagharibi zinaendelea kuishutumu China kwa kutengeneza...
Mwanamuziki, Lameck Ditto amewasilisha vielelezo tisa wakati akitoa ushahidi katika kesi ya madai dhidi kampuni ya Multichoice Tanzania Limited, akiituhumu kutumia wimbo wake bila ridhaa yake katika kipindi cha kampeni ya Afcon 2019.
Ditto ambaye jina lake halisi ni Dotto Bernard Bwakeya...
Cassie amefungua kesi ya dola milioni 30 dhidi ya Diddy akimtuhumu kwa ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia. Mwanadada huyo anasema muda mfupi baada ya kukutana na Diddy mwaka 2005, akiwa na umri wa miaka 19, alianza tabia ya kumdhibiti na kumnyanyasa ikiwa ni pamoja na kumlazimisha kutumia dawa...
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile amesema Serikali inafahamu Mkandarasi Mkuu wa Mradi wa Reli ya SGR (Yapi Merkezi) anasuasua kufanya malipo kwenye Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa Watumishi na kuwa vikao vinaendelea ili awe anakamilisha malipo mara tu anapolipwa fedha...
Katika hali isiyotegemewa kabisa.Viongozi wa kundi la Hamas wamekanusha madai ya jeshi la Israel kwamba wamepoteza udhibiti wa Gaza na kwamba jeshi la Israel limesonga mbele mpaka katikati ya Gaza.
Mshangao unakuja kutokana na ukubwa wa mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel na kutoa moto...
Wakulima wa zao la Vanilla Mkoani Kagera wameendelea kuiomba Serikali kuingilia kati kuwasaidia kupata malipo yao ya zao hilo walilouza kwa Kampuni ya Sosaka Limited.
Imeelezwa kuwa Kampuni hiyo ilifuata taratibu zote na kupata vibali kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, ikanunua Vanilla...
Baada ya memba wa JamiiForums kudai kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa Reli ya SGR, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi.
Kusoma malalamiko yenyewe ni haya - Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi...
Mwanaume mmoja huko SINGIDA MJINI achafukwa kwa ukosefu wa maji mitaa ya MISUNA na kuamua kuingo'a mita ya maji na kuirudisha kwa wahusika..Angalizo; Enzi za jiwe haya hatukuyaona..ova
Baada ya memba wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Wadudu aina ya Kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi wa Chuo Kukuu cha Dodoma (UDOM), ufafanuzi umetolewa kutoka kwenye mamlaka ya chuo hicho.
Taarifa ya awali ya Kunguni hii hapa - Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.