Hao watu wamekuwa wasumbufu sana, wezi na wapigaji sana, wamekuwa wakiongeze bei ya vitu hali inayosababisha ugumu wa maisha.
Mfano mpiga debe analipwa kila kichwa anachopeleka kwenye gari hizi pesa zinakuwa za huyo msafiri mfano nauli ingeweza kuwa 10000 inapanda mpaka 12000 ili mpiga debe...
Juzi kati nilikuwa katika mishe zangu za harakati za kupambania mkate wa kila siku ambayo ilihusisha uuzaji wa nyumba. Biashara ikafanyika vizuri na mwisho wa siku dalali akaondoka na Shilingi 10.
Tangu siku hiyo nimekaa nikiwaza ni kiasi gani cha mapato Serikali inapoteza kama kodi kutoka...
Mitandao ya kijamii imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji zikiwemo zenye matokea chana na zingine matokea hasi.
Moja wapo ya manufaa chana ni namna ambavyo mitandao ya kijamii imesaidia utangazaji wa biashara mbalimbali mitandaoni na upatikanaji wa bidhaa mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii...
Anonymous
Thread
athari
hazina
kijamii
lugha
maadili
madalali
mitandao
mitandao ya kijamii
mitandaoni
nyumba
watumiaji
Niliwahi kuonya habari ya madalali kwenye soka letu, nikaonya tabia ya kupenda vitu vya bei nafuu hatimaye naona Yanga wameingia kwenye mtego, wameenda kuchukua kocha wa bei nafuu, kocha wa viwango vya baba levo
Nashauri aliyewapa Yanga wazo la kumtimua Gamondi na kumleta huyu kanjanja akamatwe...
Juzi hapa kulifanyika tamasha la Landrover. Mkuu wa mkoa wa Arusha akapigia debe kwelikweli jambo hilo. Akatumia resources za ofisi ya umma ikiwemo wakati kupigia promo jambo hilo. Lakini hayo yakifanyika, bila shaka anatambua wazi kuwa anapigia debe kampuni ya magari ya Landrover. Hasa...
Kuna mambo wengi tuliyaona hususan katika suala la Umeme, kuna nchi kama Bangladesh baada ya ADANI kwenda bei za Umeme zikaongezeka....
https://www.jamiiforums.com/threads/how-questionable-adani-deal-makes-electricity-costlier-bangladesh-case-study.2267500/
Na sio hivyo tu hata Kenya ni kwamba...
Kumekuwa na changamoto kubwa katika suala zima la kupanga na kununua nyumba, mashamba, magari na kadhalika.
Hawa watu wanaojulikana kama madalali au 'mtu wa kati' wamekuwa wakifanya maisha kuwa magumu kila siku yaani ni kero kwa kifupi. Hawana huruma hata kidogo, imagine nyumba inauzwa milioni...
Madalali wa magari jijini mwanza wanapaki magari ya biashara kwenye vituo vya dalala na kusababisha foleni barabarani.
Daladala inabidi zipaki nje ya kituo kushusha au kupandisha abiria na kusababisha foleni kubwa za magari.
Vituo hivyo ni Nera barabara ya Airport na Kona ya Bwiru barabara...
Nimeenda ofisi za TRA kufuatilia leseni ya udereva lakini nilivyofika nimeshtuka kupokelewa na mtu kwenye korido ya ofisi ananiuliza unahitaji nini?
Kwa upole nikamjibu nimekuja kukata leseni ya udereva, akaniambia njoo nikusaidie.
Tukaingia ndani akaniambia una tin number nikamjibu ninayo...
Wiki hii nimekua nafatilia sana pages za madalali wa magari, Kuna gari ya ofisi nataka kununua kutokana na bajeti nimeamua nianze na used kwanza, sasa hao madalali yaani ni vichekesho tu
"Gari ya muhindi, dukani na nyumbani tu"
"Gari ya mdada"
"Gari ya baba mchugaji hii"
"Gari ya mrembo wa...
Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji.
Na...
Soko la Karume limejaa madalali wengi sana (Mawinga) hawa mabwana wamekua Kero sana kwani wanakuvutavuta kukuita na makwazo mengi sana.
Ifahamike kile mteja aanajua bidhaa anayohitaji lakiji hawa wanakuvuta huku mara kule yaani wamekua kero sana. Wengi wao ni walevi na wavuta bangi.
Pia...
Madalali hawa jamaa Kuna muda wanataka kuvuna wasikopanda.
Ni aibu Kua n'a utitiri WA madalali wAnaume wanaosubiri hela ya mahasla mtaani.
Kila MTU apigike kupata pesa dunia ya Leo hakuna Cha mngema .
Léo ukitafuta fremu ya biashara hupati kwa sababu zmezuiliwa na madalali uchwara.
Dalali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.