Habari zenu,
Kuna jamaa mmoja amemwambia Dalali kuwa anapangisha Nyumba yake kwa 150,000 kwa mwezi, dalali alivyokuwa na tamaa akamwambia jamaa kuwa atamleta mpangaji kwa kodi ya 250,000.
Nyumba imepata mpangaji na Dalali kalamba 250,000 yake ya mwezi mmoja.
BAADHI YA MADALALI ACHENI TAMAA...
Dalali ni nani? Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao wanazofanya kila siku.
Dalali ni mtu wa kati anayewaunganisha mteja na mwenye mali kwa kupata ujira unaotokana na kuwakutanisha pande mbili...
Utapeli kwa katika ununuzi wa vitu au upangishaji wa nyuma unazidi mno kwa kipindi hiki hususan katika upangishaji wa nyumba, imefikia hatua Dalali anakuwa na Mwenye Nyumba wa mchongo na akaunti ya benki ya kitapeli kulipia pango. Serikali hebu saidia Wananchi katika hili.
Nakumbuka Lukuvi...
Wakuu salama, niwape story kwa yaliyonikuta leo inaweza kumsaidia mtu.
Katika harakati za kutafuta nyumba maeneo ya Mbezi Beach nikakutana na madalali wawili kwa nyakati tofauti maeneo ya Makonde. Dalali mmoja akawa amenionesha nyumba stand alone ya vyumba 3 kwa kodi ya 500k kwa mwezi upande wa...
Ni usiku mwema kwa wote wana jf,
Nimeona ni jambo jema na la kufanyiwa kazi hasa kwa Wizara ya ardhi. Ili kuepusha migogoro na malumbano yasio na tija kwa eneo husika hasa wananchi kwenye swala la ardhi ni vyema hawa viongozi wetu tajwa hapo juu wachaguliwe kulingana na tabia nzuri zisizo na...
Wakulima wa mbaazi wa hapa mjini Kibaya wanalalamikia kuwa viongozi wa Wilaya wameshindwa kulinda maslahi ya wakulima wa mbaazi Wilayani Kiteto na wao kugeuka ndio madalali wa zao hilo.
Wakulima wamepima mbaazi zao toka wiki Moja iliyopita na bado hela hawajalipwa.
Kibaya zaidi wao mbaazi yao...
Nauliza ni qualities/ujuzi upi unafaa sana ili uweze kuwa dalali?
Nimeona kwa sasa ndio kazi kubwa inayofanyika hata wale Watunga Sera tuliowachagua warekebishe mambo na kuweka vitu sawa ili tupate ajira zenye ujira wamekuwa ni madalali (Wao hawafanyi bali kutafuta mtu wa kufanya)
Kwahio...
SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru Oktoba 2018 alisema "Madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA."
NB: Isomeke madalali wa mali za umma hapo juu.
Na Bashir Yakub, WAKILI
1.. WAANDISHI WA HABARI WALIOTEMBELEA BANDARI DUBAI.
Watanzania wapuuzeni sana hawa. Mtu ambaye amelipiwa tiketi ya ndege, amelipiwa malazi ya karibia wiki mbili Dubai, ametembezwa bandari za Dubai, amelipwa na posho juu mpaka anarudi hawezi kuwa na akili yake. Sio...
Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana wa miaka 25, naishi Mafinga-Iringa (na ndiyo nyumbani) nilipozaliwa.
Sasa baada ya kuhitimu chuo miaka miwili iliyopita na katika kuendelea kufikiria namna ya kupata mtaji wa kufungua biashara yoyote yenye kunifanya...
'....Mijadala itatufanya tujisahihishe tulipojikwaa na msitarajie madalali wa mali za umma watafurahishwa na mijadala ya aina hiyo.'
Bashiru - 12 Oct 2018
Ni dhahiri kabisa media house imevamiwa na wahuni na inashangaza kuona gazeti likienda kuchapishwa huku likibeba habari za uongo kana kwamba hakuna mhariri.
Ushauri wangu kwa Uongozi wa Yanga ni huu, ili kukomesha tabia hii ya unprofessional journalism Uongozi wa Yanga utowe tamko la Boycott...
Nipo kwenye mkoa mmoja kwa muda sasa kikazi. Baada ya kukaa kufikiria kwa muda mrefu sana, nikaona ni vema nikijenga ka kibanda cha kujisitiri.
Basi katika kuulizia ulizia kuna mtu mmoja alifanikisha kuniunganisha na madalali na akaniahidi kuwa ni wa uhakika katika biashara za viwanja...
MADALALI WA VYUMBA MAJUKUMU YAO KUSIMAMIWA NA MWENYEKITI WA MTAA ILI KUPATA SULUHISHO LA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKUMBA MADALALI PAMOJA NA WATEJA WAO KATIKA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU.
Madalali ni watu ambao wanarahisisha shughuli za mahitaji ya watu kwa urahisi kwa kuwa daraja baina ya mwenye...
Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo.
Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
Naomba kama kuna mtu anawafahamu madalali wa pilipili za mwendokasi kwa dar anijuze ili nifanye nao biashara kwa zao la pilipili mwendokasi aka Habanero
Dalali anatoa huduma ya kuunganisha huduma zinazohusiana na ardhi na majengo kati ya makundi yafuatayo;-
✓ Wapangaji na wenye nyumba.
✓ Wauzaji na wanunuzi.
✓ Watoa mikopo na wapokeaji mikopo ya majengo.
Haya ndiyo makundi makuu (3) ambayo huhusika na gharama za kumlipa dalali kwenye...
FAHAMU MGANGA ANAKUPA UTAJIRI YEYE ANABAKI MASIKINI
Sababu kubwa kuliko zote mganga anajua madhara ya pesa za masharti, kwahiyo hawezi kuhatarisha maisha yake na familia yake.
Ukienda kwa mganga unataka utajiri atachofanya mganga anakuwa kama dalali wa kukuitia majini watakaokupa huo utajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.