Mwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule
"Sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote ki ufupi mimi mahusiano bado sana" Alisema Madam Pinky kupitia moja ya mahojiano...