Mchekeshaji Madame Pink: Sijawahi kukutana kimwili na mwanaume

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Mwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule

"Sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote ki ufupi mimi mahusiano bado sana" Alisema Madam Pinky kupitia moja ya mahojiano aliyoyafanya na chombo kimoja cha habari nchini cha Wasafi FM.

Chanzo Taarifa: Wasafi FM
 
Mwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule

"sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote ki ufupi mimi mahusiano bado sana" Alisema Madam Pinky kupitia moja ya mahojiano aliyoyafanya na chombo kimoja cha habari nchini cha Wasafi FM.

Chanzo Taarifa: Wasafi FM

Ndiyo maana Wahuni tukipata bahati tu ya kukutana na Waongo na Wanafiki kama huyu huwa tunapita nao kote kote!!!!
Disparated women huyo, ni mtego kwa mazumbukuku anatafuta pa kufia..
 
Mwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule

"sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote ki ufupi mimi mahusiano bado sana" Alisema Madam Pinky kupitia moja ya mahojiano aliyoyafanya na chombo kimoja cha habari nchini cha Wasafi FM.

Chanzo Taarifa: Wasafi FM

Ndiyo maana Wahuni tukipata bahati tu ya kukutana na Waongo na Wanafiki kama huyu huwa tunapita nao kote kote!!!!
Mzeya kumbe rough road unapenda.
Ebwana vipi simba kweli inaacha wachezaji 13?
 
Rough Road kukiwa kuzuri kwa Mwonekano si mbaya kupita kwani na kwenyewe kuna Utamu usiosimulika. Simba SC wasiache tu hao Wachezaji sijui 13 bali Mimi nashauri waache Wachezaji wote mpaka na Viongozi nao waondoke na Sisi Mashabiki pia tuondoke ili kusiwepo kabisa na Timu ya Kipuuzi kama ya Simba SC.
 
Ewaaah....
 
🤣🤣
 
Hili ni tatizo la waigizaji wengi wa kibongo, yaani wakialikwa kwenye interview wao wanajua wameambiwa wakaigize...
 
Back
Top Bottom