hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Why not š¤£Hapo sina neno mwenzio.
Why not š¤£Hapo sina neno mwenzio.
hata sio sifa nzuri kwa sasaMwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule
"Sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote ki ufupi mimi mahusiano bado sana" Alisema Madam Pinky kupitia moja ya mahojiano aliyoyafanya na chombo kimoja cha habari nchini cha Wasafi FM.
Chanzo Taarifa: Wasafi FM
Huyu ukimuangalia KM zimetembea tena kapita mpaka za vumbi,topeKanikera mno huyu Dada. Yaani hata ukimtazama tu Pichani anaonyesha Keshakazwa mpaka Mbunye imebadili muelekeo wake wa Kimuundo.
Mmhh!!Ā” Nina mishangao tyu ya hiyo bikra mpya mjiniWhy not š¤£
Kichekesho Kwa kweliMmhh!!Ā” Nina mishangao tyu ya hiyo bikra mpya mjini
Mtu akishakuwa msanii elewa kila analosema na kutenda ni sanaa, huyu wa kuchekesha nae hivyohivyo ni sanaa yake hiyo, hapo anategemea watu wacheke ndio kazi yake. Sasa jichanganyeMwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule
"Sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote ki ufupi mimi mahusiano bado sana" Alisema Madam Pinky kupitia moja ya mahojiano aliyoyafanya na chombo kimoja cha habari nchini cha Wasafi FM.
Chanzo Taarifa: Wasafi FM
Mwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule
"Sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote ki ufupi mimi mahusiano bado sana" Alisema Madam Pinky kupitia moja ya mahojiano aliyoyafanya na chombo kimoja cha habari nchini cha Wasafi FM.
Chanzo Taarifa: Wasafi FM
š¤£Ushasema ni mchekeshaji, unategemea nini?
Ya kweli hayo mkuu?Haya bana, lakini huyo m'mama ana watoto wa3
Aka fumbo mfumbie mjingaDisparated women huyo, ni mtego kwa mazumbukuku anatafuta pa kufia..
Mjini kuna mengi broYa kweli hayo mkuu?
Yuko na yule jamaa tayari ambaye ni lopolopo mipirani.Disparated women huyo, ni mtego kwa mazumbukuku anatafuta pa kufia..
Mengi mno kwakweliMjini kuna mengi bro
Kwakuwa ni Muigizaji wa maigizo basi tumekubali.Mwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule
"Sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote ki ufupi mimi mahusiano bado sana" Alisema Madam Pinky kupitia moja ya mahojiano aliyoyafanya na chombo kimoja cha habari nchini cha Wasafi FM.
Chanzo Taarifa: Wasafi FM
Inawezekana anayo bikra bandia maana madawa ya Wachina yapo.Mwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule