Mchekeshaji Madame Pink: Sijawahi kukutana kimwili na mwanaume

Mchekeshaji Madame Pink: Sijawahi kukutana kimwili na mwanaume

Mwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule

"Sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote ki ufupi mimi mahusiano bado sana" Alisema Madam Pinky kupitia moja ya mahojiano aliyoyafanya na chombo kimoja cha habari nchini cha Wasafi FM.


Chanzo Taarifa: Wasafi FM
Mwanaume wa kimajini je?
 
Back
Top Bottom