Tangu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Jumla ya Madaraja makubwa kumi na tisa (19) yapo kwenye maandalizi ya kujengwa, madaraja hayo ni
Daraja la Godegode (Dodoma),
Daraja la Ugala (Katavi),
Daraja la Kamshango (Kagera),
Daraja la Bujonde (Mbeya),
Daraja la Bulome (Mbeya)...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Deogratius Ndejembi pamoja ba Waziri wa Ujenzi Mhe Abdallah Ulega muda mfupi kabla ya Mhe Rais kuwahutubia wananchi wa Wilaya ya Pangani
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa...
Wananchi wa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi wamepongeza Serikali kupitia Wakala wa barabara nchini Tanroads Mkoa wa Lindi kwa kuanza kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya kudumu ya barabara na madaraja ambayo yameathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya.
Wakizungumza wakati wa ziara ya...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema serikali imelipa takribani Sh bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja nchini baada ya maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Ulega ameyasema hayo jijini Dodoma siku ya Jumapili Februari 9...
Ukifika nchi zilizoendelea huwezi kuona watu wanazungumzia mabarabara , ma fly over au ujenzi wa zahanati kama ishara ya maendeleo.
Hivyo vitu ni lazima kuwepo.
Yaani ni sharti serikali itumie kodi kujenga barabara, miundombinu ya afya na elimu bora.
Maendeleo ni kama yale yanayofanywa na Rais...
Tunaelekea Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani
Kadri tunavyokaribia mwaka wa uchaguzi mkuu, tutashuhudia mengi kutoka kwa viongozi walioko madarakani na hata wale wanaotaka kuonyesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.
Kwa kawaida, kuna tabia za viongozi fulani —...
Waziri wa utumishi na Tamisemi mnatakiwa kutoa majibu ni nani aliyehusika na hili.
Umeajiriwa mwaka mmoja na mtumishi mwenzio mwingine umemtangulia lakini kilichotokea july-septemba kuna watumishi walipanda madaraja ya mishahara kwa lugha ya mserereko, waliobaki majibu yaliyotolewa na HR na TSC...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametambulisha na kuwakabidhi Wakandarasi Wazawa kutoka Kampuni ya Salum Motors na Jonta Investment kwa Wananchi watakaoanza ujenzi wa madaraja makubwa manne ya Ubagwe, Kasenga, Ng’hwande na Mwabomba yaliyoathiriwa na mvua za El Nino katika Halmashauri ya...
Ni kutokana na kukithiri kwa biashara za ngono, ulevi, utumiaji wa madawa ya kulevya kwa upande akina dada,
Sasa ni wakati sahihi kwa sheria za nchi yetu kubadilika.,
Hasa pale linapokuja suala la matukio ya kingono na visa vyake.
Nchi yetu kwa sasa imeingia katika wimbi kubwa la...
#Matumizi ya mawe kupunguza gharama zaidi ya 40%
#Ushirikishwaji wa vikundi vya kijamii kusaidia kulinda miundombinu
Dodoma
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Matengenezo ya Barabara wa Sierra Leone Bw. Mohamed Kallon ameipongeza Serikali ya Tanzania kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini...
Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya Shilingi Bilioni 140 zitatumika katika utekelezaji huo.
Akizungumza mara baada ya kushuhudia utiaji...
Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya Shilingi Bilioni 140 zitatumika katika utekelezaji huo.
Akizungumza mara baada ya kushuhudia utiaji...
Hali inakoelekea tunakosa mtu sahihi wa kusimama nasisi ikiwa kiongozi anasema hajui chochote hata wakati ambao raia wake wanauwawa hafai kuchaguliwa hata kama atafanya maendeleo makubwa namna gani!
Kiongozi aliyetayari kulinda cheo chake kulikoni kulinda uhai wa raia wake si tu kwamba...
SERIKALI KUKARABATI MADARAJA YALIYOHARIBIWA NA MVUA.
Naibu Waziri, Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali inatambua umuhimu wa miundombinu ya Madaraja na inaendelea na urekebishaji wa madaraja yote ambayo yaliharibiwa na mvua...
Serikali inaendelea na ujenzi wa miundombinu bora ya barabara na madaraja ya kisasa ili kupunguza ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikikatisha uhai wa wananchi wengi.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, Agosti 29, 2024 wakati akifunga Maadhimisho ya Wiki ya Nenda...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu kwenye maeneo yote yenye huduma za usafiri wa Vivuko na kupanga mikakati ya kudumu ya kujenga madaraja katika baadhi ya maeneo ili kupunguza changamoto zinazokabili uendeshaji wa huduma hizo.
Ushauri huo...
Kwanza naomba nimpongeza Raisi wetu wa Jamuhuri ya Serikali ya Tanzania, Samia kwa kuruhusu walimu walipokuwa wamesitishiwa vyeo vyao waserereke.
Ila zoezi haliendi kwa haki, Kuna watu walianza kazi miaka ya nyuma na waliguswa na usitishwaji wa upandishwaji lakini hawajaserereshwa.
Sasa hili...
Naomba kujuzwa yafuatayo:
1. Je, unamjua mtu ambeye kabadilishwa kada au kupanda daraja mwaka huu?
2. Hivi ubadilishwaji kada na upandishwaji madaraja unaweza kuendelea hata baada ya mwezi july kupita.
3. Ni hatua zipi mfanyakazi anapitia baada ya kutuma maombi ya kubadilishwa kada.
Hapa mimi...
Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini!
Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.