Mhe Waziri pole na Majukumu yako ya kila siku, hivi karibuni Ofisi yako ilitoa waraka wa kuwapandisha madaraja Watumishi wenye vigezo, ukiachilia mbali changamoto ya watumishi wakongwe na juniors kulundikwa kwenye daraja moja (mfano mtu aliyeajiriwa 2013-2014 kuwekwa sawa na mtu wa 2016).
Mfumo...
Tuliwahi kuambiwa kuwa siku hizi mfumo wa utumishi wa umma uko kidijitali. Hata barua za promotions za madaraja zitawafikia watumishi baada ya kufanyika mabadiliko na si ile ya zamani kwamba uletewe barua kisha ukubali ndipo promotion ifuate.
Sasa cha ajabu huyu Waziri ameanza kuwachimbia...
Hizi mbwembwe za awamu ya sita zipo kasi sana, anyway, yetu macho na masikio.
===
"Watumishi wote waliosimamishwa kazi na mashauri yao yamechukua muda mrefu waandike barua kwa Katibu Mkuu Utumishi na aniletee nakala kwa ajili ya kufuatilia"Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi...
Habari za asubuhi wananchi!
Kesho Mei Mosi, sikukuu ya wafanyakazi duniani na Tanzania pia.
Wafanyakazi wanasubiri kauli ya Rais ili wapate kujua hatma yao. Ngoja niwaambie jambo.
Kiki itatafutwa kwenye kipengele cha madaraja mapya kwa watumishi zaidi ya elfu 90.
Kama mtamshangilia sana basi...
Kama title nilivyoiweka hapo juu sina muda wa kupoteza.
Serikali wekeni list ya watumishi watakaopanda madaraja mwaka wa fedha 2021/22.
Wekeni hata kwa check number tu ili kulinda falagha maana kuna watu wana roho za kichawi, wakiona jina langu kuwa liko kwenye list wataanza kunichawia.
Kama...
“Sisi Mpinzani wetu sio Vyama vya Siasa, Mpinzani wetu ni changamoto za Watanzania leo ukizungumza Watumiwhi wana manung’uniko kuhusu mishahara yao, wana manung’uniko kuhusu kupanda madaraja kwa miaka mitano hawajapanda madaraja, leo ukizungumza kuhusu bodi ya mikopo unaona sheria ilikuwa...
Mgombea wa CCM kwa kiti cha Urais hajapata kuwepo duniani..ni kama Masihi
Lakini tatizo kubwa la huyu mgombea ni mwoga mno...yeye hata lugha tu ya Kiingereza anaogopa..
Lkn pamoja na Woga wake Huyu mgombea kwa Miaka mitano Amejenga Madaraja na flyovers nchi nzima
Amenunua Ndege, akajenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.