Mimi ni mwalimu nimeajiriwa mwaka 2014.
Pamoja na kuwa ni mujibu wa sheria mtumishi kupanda daraja Kila baada ya miaka mitatu, sisi hatukupanda hata baada ya miaka 7, tulidhulumiwa madaraja mawili na serikali ya Magufuli, tukapewa daraja moja na mama mwaka 2021, Mungu amlinde Kwa Nia njema...