TARURA mko wapi?
Mnatufanyia kazi nzuri sana kwa barabara zetu za mitaa. Changamoto ni pale mnapokuja kudhibiti zile sehemu korofi ambazo mvua zikinyesha zinajaa maji.
Mfano huku kwetu Tanga, maeneo ya kange kwa mmsai mpaka kwenda mbugani ni kero. Mmeziba njia za kwenye kona kwajili ya kuweka...