Rais Magufuli baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dodoma amenena kwamba viongozi mbalimbali hawaridhiki kabisa na madaraka hasa waliozaliwa mwaka 82 (1982).
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na...
Siasa siasani.
Siri sirini.
Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa.
Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya..
Mfano
1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa...
Ni miezi michache tu imesalia kwa Tanzania kushuhudia wananchi wake wakijitosa kwenda kwenye vituo vya kupiga kura na kutumia demkorasia yao halali ya kuwachagua viongozi wanaowataka. Kwa wananchi wengi, uchaguzi ni hatua moja kubwa ya kuchagua viongozi ambao watakuja kulijenga au kuliporomosha...
Naona akina Nyerere bila kujali yupi ni Original na yupi ni fake wameamua kuusaka ubunge kwa udi na uvumba mwaka huu.
Hata Makongoro Nyerere wakazi wenzio uliowaacha Mwananyamala Komakoma wanakukaribisha ugombee jimbo la Kinondoni kama itakupendeza.
Mungu aubariki uzao wa Mwenye heri Julius...
Heshima kwenu WAKUU, Poleni na Hongereni kwa mchaka mchaka wa maisha.
Kume kuwa na wimbi kubwa la viongozi,,wenye nyadhifa kubwa kuacha nyadhifa zao na kugombea Nafasi ya UBUNGE kila unapofika uchaguzi Mkuu. Hasa wakuu wa Mikoa na wilaya.
Naam na ukiwasikiliza wengi wanajinasibu kua wanataka...
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.
2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
Baada ya Rais kutangaza kulivunja bunge la 11 leo Juni 16,2020 mtoto wa baba wa Taifa Madaraka Nyerere ametangaza rasmi kugombea nafasi ya ubunge kwa Jimbo la Butiama mkoani Mara.
Madaraka Nyerere ametangaza nia hiyo kutokana na Mbunge aliyekuwepo kukaa muda mrefu nje ya nchi akipata matibabu...
Wana Jf
Rais wangu, naanza kwa kukusifu kwa kazi nzuri unayoifanya kama mzalendo. Urais ni taasisi, umeiongoza kwa mapenzi ya Mungu, sasa ametokea watu wenye upungufu wa maoni wanataka uyabadirishe ambayo uliyokuwa unayapinga adharani. Rais wetu ulisema tukuombee sana usiwe na kiburi.
Sasa...
Rais Uhuru Kenyatta leo anaongoza Wakenya kusherehekea maadhimisho ya miaka 57 ya Sikukuu ya Madaraka (Madaraka Day), ambapo kwa mara ya kwanza yatafanyika kupitia mtandao.
Kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa CoronaVirus, wageni wachache wamealikwa kushiriki hafla itakayofanyika Ikulu jijini...
Tumetegemea sana vijana na wakaimu kuyarithi madaraka kwa kufuata taratibu na sheria zote,
Je wanaotegemewa wanaweza kazi za mabosi wao?
Kwa bahati isiyo nzuri Madaraka yenyewe ndo yanawaendesha wanaorithi,
Tukichagua msaidizi tuwe sure kwamba ataweza kusimamia Majukumu sawa na boss wake kama...
Kuna wakati Zitto akiwa Chadema aliwaeleza madhara ya kuweka kanuni inayomfanya mwenyekiti wa Chadema kuwa KUB iwapo ni mbunge na chama kimepata ridhaa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani.
Madhara yake ndio haya tunayoyashuhudia sasa. Binafsi sikumbuki kama kuna kikao halali iwe halmashauri kuu...
Mwenyekiti wa AU na Rais wa Afrika Kusini ndugu Cyrill Ramaphosa amelazimika kuitisha mkutano wa mataifa jirani ambayo pia ni wanachama wa jumuiya ya SADC.
Mkutano huo umefanyika kwa njia ya video. Nchi zilizoshiriki ni Afrika Kusini, Angola, Lesotho, Eswatini Msumbiji, Namibia na Zimbabwe...
Kwa sasa kelele zimekuwa nyingi sana nchini. Hapo kabla kelele nyingi za ufisadi wa kifedha na mali ulipigiwa sana kelele. Sasa sijui ule ulimalizwa au umezidiwa kelele na huu ufisadi mpya wa madaraka ambao unawza pia kuitwa ulevi wa madaraka?
Ni nini hasa kinaendelea maana kelele zimekuwa...
Ni Sasa CHADEMA wameshafanya makosa makubwa ambayo yatawapa taabu sana huko mbeleni historia haitawaacha Salama.
Dunia Sasa iko kwenye vita kubwa ya covid19, hili ni tukio kubwa kihistoria vizazi na vizazi watajifunza hili Janga Kama ambavyo leo historia inazungumzia WW-I na WW-II au kuhusu...

Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya “Middle East Eye”, mara baada ya kukamatwa kwa Ahmed bin Abdulaziz (Prince Ahmed), kaka wa mfalme wa Saudia, mfalme Salman bin Abdulaziz, wanafamilia wengine 20 zaidi wa familia ya kifalme wametiwa nguvuni kwa tuhuma za kupanga kumpindua mwanamfalme mrithi...
Naomba niwasabahi wanachama wa jf,hamjambo?
Naomba niende kwenye hoja yangu juu ya wafuasi na wanachama wa CHADEMA,Naomba niweke kumbukumbu sawa, hakuna mwaka ambao chadema aliwahi kuvuna wanachama wengi toka CCM kama mwaka wa Mafuliko 2015, ambapo watu mashuhuri toka CCM walijiunga na CHADEMA...
INTELLIGENCE UNIT ni sehemu ya kitengo ndani ya Gazeti la The Economist ambacho hufanya uchunguzi na utafiti wa kisiasa na kiuchumi kwa nchi mbali mbali duniani na kutoa matokeo au matarajio.
Kitengo hiki cha kiuchunguzi kina wafanyakazi wabobezi zaidi ya 100 duniani ambao hutoa tafiti na...
Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Mpinzani wa rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, Juan Guaido, amechaguliwa tena Spika wa Bunge na wabunge wa upinzani saa chache baada ya mbunge mwingine wa upinzani, Luis Parra, kujitangaza kuwa spika wa bunge.
Juan Guaido amechaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge la venezuela katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.