madarakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais gani aliwahi kukubalika akiwa madarakani Tanzania?

    Baada ya vyama vingi 1995 mpaka 2005 Mkapa alipondwa sana,ooh katili, fisadi n.k akatoka. Watu wakasema bora Mwinyi tu mzee wa ruksa. 2005-2015 Kikwete kasi mpya nguvu mpya ari mpya, rais kijana,mcheshi lakini alikumbatia wezi, majambazi mafisadi tuhuma zote ziliibukia kwake. Akatoka akapondwa...
  2. CCM ni watawala na si viongozi, wapo madarakani kwa maslahi yao

    Wasalaam. Nitafafanua kwa ufupi Uongozi ni mamlaka au karama ya kuwaonyesha watu njia kwa vitendo na kipaumbele chake huwa watu, lakini mtawala(CCM) huangalia vitu na si watu, hugusa maslahi yake na si watu, hushughulila na leo wala si kesho. Mtawala huiga na kukarabati hana uwezo wa kubuni...
  3. Leo Magufuli hayupo madarakani, Wapinzani hawapo bungeni, Job Ndugai sio Spika tena na Prof. Asaad sio CAG tena

    Nature imetenda haki. Hii ni hotuba ya Kambi ya Upinzani bungeni ambayo Job Ndugai na Magufuli hawakutaka kabisa isomwe ili wananchi wajue mauvundo, dhuluma na mauchafu wanayofanyiwa. HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA...
  4. S

    Kama Simba iilivyoangukia pua mbele ya Mbeya City leo, ndivyo ambavyo siku ya siku, chama dola kitaanguka kutoka madarakani hata wakibebwa na dola

    Leo tumeona jinsi Refa alivyojitahidi kuwabeba Simba lakini haikusaidia. Kama ilivyotokea kwa Simba, ndivyo itakuja kutokea kwa chama dola siku ikifika ambapo hata wakibebwa, mwisho wa siku waatanguka tu na kuachia madaraka. Siku hiyo ikifika, itakuwa hivi: Nguvu ya umma itakuwa kama wachezaji...
  5. TANZIA Rais wa Mali aliyetolewa kwa nguvu Madarakani afariki dunia

    Picha: Hayati Ibrahim Boubacar Keita Rais wa Mali aliyetolewa kwa nguvu Madarakani Ibrahim Boubacar Keita (76) amefariki dunia katika mji mkuu wa nchi hiyo Bamako. Chanzo cha kifo chake hakijatajwa ingawa miaka miwili iliyopita alipatwa na shinikizo la moyo. Rais huyo aliliongoza Mali kwa...
  6. Hii ya Rais Samia kupendelea Zanzibar ina ukweli? Je, kila Rais akipendelea kwao tutafika?

    Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank. Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee. Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara...
  7. M

    Kusubiri uchaguzi wa mwaka 2025 ni mbali sana, kuna namna tunaweza kuwaondoa madarakani hawa wanaCcm kabla hawajakomba mali za taifa letu?

    Ukweli ndio huu, mpaka tuje tufanye uchaguzi mkuu mwaka 2025 tutakuwa tumeshaumizwa sana. Maana kuna dalili za safu ya kulipiga na kulimaza kabisa hili taifa. Sasa kuna uwezekano wa kutumia bunge au nguvu ya umma wakaachia ngazi? Maana tusikubali kuibiwa na kufanywa watwana.
  8. Rais ni lazima awe na umri wa miaka 45 na kuendelea, vipi kwa mrithi wake kama hatakuwa na umri huo?

    Wakuu nataka kujua, Kwa mujibu wa katiba ya muungano wa Tanzania, Rais wa jamuhuri lazima awe na umri wa kuanzia miaka 45 ndipo anaweza kuwa na sifa ya kugombea urais. Swali jJe, kwa mfano Rais X akiwa Madarakani na umri wake ni miaka 50 na Makamu wake Y yeye akawa na umri wa miaka 40. Baadae...
  9. S

    Awamu ya Sita imeshakopa Trillion 10 ndani ya miezi 9 madarakani. Tunaomba ufafanuzi

    Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?. Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha...
  10. M

    Mafanikio ya Rais Samia kwa miezi 9 tangu aingie Madarakani

    MAFANIKIO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TOKA AINGIE NADARAKANI Mh.Rais Samia Suluhu Hassan: Ameendelea kujenga Nchi kwa kuendeleza Miradi mikubwa ya Taifa kama ilivyoainishwa kwenye ILani ya CCM ya Mwaka 2020-2025, Mradi wa Julius Nyerere Hydropoer Poject-JNHPP wa Megawatt 2115 umeendelea...
  11. M

    Hivi tokea Rais Samia aingie Madarakani ameshazungumzia na Kukemea Rushwa ya Ngono Shuleni, Vyuoni na Makazini?

    au huenda Yeye ( kama Mwanamke ) hiki siyo Kipaumbele chake na kwamba kila Mwanamke wa Kitanzania ailinde 'Rasilimali Tamu' yake Mwenyewe tu? Niyaonayo kwa hili ni makubwa mno tu.
  12. Naona ACT Wazalendo kuiondoa CCM Madarakani 2025

    Huu ndio Ukweli Mchungu. Japo Mimi ni Mfuasi Wa Chama Kingine Kikubwa tu. Kwa Mwenendo Unapoelekea Chama Tawala ni Dhahiri ACT itashinda Kwa Kishindo Majimbo 2025. Muda ndio utasema. Kama Sio Uraisi Basi Wabunge Watakua Wengi Sana. Tukutane hapa baaada ya Uchaguzi 2025.
  13. Ni chama gani cha upinzani kimejipanga kuiondoa CCM madarakani?

    NI CHAMA GANI CHA UPINZANI KIMEJIPANGA KUIONDOA CCM MADARAKANI? Wakati Chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujiimarisha katika nyanja mbalimbali uku kikiendelea kutekeleza kwa vitendo ilani ya uchaguzi na kuzidi kuwavutiwa wanachama walio wengi nje na ndani ya chama vyama vingine vya upinzani...
  14. Tuseme ukweli, CCM ingewezaje kuwepo madarakani mpaka leo hii bila uhuni na wahuni wake?

    Kwa sasa kumekuwa na vita kali ya maneno, dhihaka, majigambo, vitisho na kebehi mbalimbali baina ya makundi mawili ndani ya CCM, kundi moja likiunga mkono utawala uliopita wa Magufuli (huku likikosoa vikali utawala wa sasa wa Samia) dhidi ya kundi linalounga mkono utawala wa sasa wa Samia (huku...
  15. Yeyote yule na kwa njia zozote zile atakayekuwa tayari kuiondoa CCM ya sasa madarakani aungwe mkono

    Hii CCM ya ukoo wa Kikwete,Makamba na kina Nnauye haitufai hata kidogo na ipingwe na kila awaye kwa sababu ya viashiria vya wazi vya ufisadi unaorejea kwa kasi! Yeyote yule na kivyovyote vile mtu,kikundi,wazungu,waarabu na yeyote awaye bila kujali alivyo endapo tu ataonyesha nia ya dhati ya...
  16. Sudan: Wananchi waandamana kupinga Makubaliano yaliyomrejesha Hamdok madarakani

    Maelfu ya watu wameandamana katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum pamoja na Miji mingine. Vikosi vya Usalama vimetumia mabomu ya machozi dhidi ya Waandamanaji katika Mji wa Omdurman. Wananchi walikusanyika kutoa heshima kwa waliouawa na Vikosi vya Usalama. Pia, wamepinga Makubaliano yaliyomrejesha...
  17. Rais wa Chile anusurika kuondolewa madarakani

    Picha: Raiswa Chile Sebastian Pinera Baraza la senate la Chile limepinga mchakato ulioanzishwa na upinzani uliolenga kumuondoa madarakani Rais Sebastian Pinera. Upinzani ulitaka Pinera ang’olewe madarakani kufuatia sakata lililofichuliwa kwenye nyaraka za Pandora na pia kutokana na hatua yake...
  18. J

    CHADEMA wanaamini ikipatikana Katiba mpya CCM itaondolewa madarakani kidemokrasia kitu ambacho siyo kweli

    Katiba ina mambo mengi na swala la Tume ya uchaguzi na taratibu zake ni sehemu kipande tu cha katiba. Chadema wanapigania Katiba mpya kwa maslahi ya kimadaraka zaidi na siyo maendeleo ya jamii, ndio maana kilio chao kikuu kimekuwa ni Tume huru ya uchaguzi. Niwakumbushe tu Chadema kuwa Katiba...
  19. S

    WaTanzania wanahitaji Mageuzi Makubwa sana - Ni lazima CCM iondoke madarakani

    Watanzania tunahitaji mageuzi makubwa sana ili tuondoke hapa tulipokwamishwa,karibia mifumo yote ya uendeshaji nchi imevurugwa na imevurugika na haiwezi kutengemaa ndani ya utawala wa kifalme wa CCM,ni lazima utawala huu uangushwe na kuwekwa kando, Angalia Bunge, angalia mahakama angangalia...
  20. Takwa la kikatiba la baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani msaidizi wake awe mkuu wa Nchi litauwa wengi-lipingwe mahakamani

    Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika. Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…