madarakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Thinker96

    Je, Katiba yetu inamruhusu Rais Samia kukaa miaka 15 Ikulu?

    Hivi imekaaje kwa utaratibu wa Katiba yetu? Maana: Pierre Nkurunziza alikaimu miaka mitano ya mwenzie akaja kukaa kumi yake ikawa 15. Edgar Lungu alikaimu miaka mitatu akakaa yake mitano na akagombea mitano mingine akashindwa. Je, kwetu Tanzania SSH kwa kuwa amekaimu mitano ya JPM, sasa...
  2. Frumence M Kyauke

    Miaka 24 ya Daniel Arap Moi madarakani bila mke

    Daniel Arap Moi alivyomaliza miaka 24 madarakani bila mke Rais mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi aliyekuwa na umri wa miaka 95 alifariki dunia Februari 4, 2020 katika hospitali ya Nairobi alikokuwa amelazwa kwa takribani miezi mitatu. Moi alizikwa akiwa na rekodi ya kuwa rais pekee wa Kenya...
  3. Anna Nkya

    Nadhani Rais Samia atatupatia Katiba Mpya kabla hajaondoka Madarakani

    Rais Samia alisema tumpe muda ajenge uchumi kisha suala la Katiba Mpya litafuata. Hakulipuuza, alisema tumpe muda muda. Naona sasa anakwenda vyema, hii awamu ya kwanza katika Urais wake (2021-2025) itatosha sana kujenga uchumi imara. Naamini kama Mungu atatuweka hai, 2025 kwenye kampeni zake...
  4. M

    Rais Samia amefanya vizuri ndani ya miezi saba madarakani

    Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvi nimsifu kwa machache. Mimi...
  5. B

    Katiba Mpya na Janja janja za wenye Maslahi binafsi Madarakani

    Katiba inabeba msingi mzima wa mahusiano baina ya watu na watu na pia watu na mamlaka katika nchi. Tuna malalamiko ya msingi kuhusiana na mahusiano haya hapa nchini. Hatuko sawa mbele za haki. Hatuko sawa mbele ya sheria. Pana upendeleo wa wazi ambapo waliopo madarakani kama wawamba ngoma...
  6. A

    Moja kati ya mapungufu ya katiba ni wepesi wa kufanya mapinduzi kwa serikali iliopo madarakani: Msajili ana uwezo wa kupindua nchi

    Kufanya mapinduzi ni kukamatwa na kuondolewa kwa serikali na mamlaka yake. Kwa kawaida, ni kukamata madaraka kinyume cha katiba na kikundi cha kisiasa, jeshi, au dikteta. Hata hivyo vipi katiba yenyewe inaporuhusu kumuondoa raid kutokana na mapungufu ya kisheria..... Hilo ni moja tu kati ya...
  7. Mag3

    Askofu Bagonza: Muujiza wa elimu ya Tanzania kiongozi akichaguliwa leo akiwa hajui kitu, akishaingia madarakani kesho yake anakuwa anajua kila kitu

    Wahenga walisema, "a fool and his money are soon parted!" Si ajabu nchi iliyojaaliwa maziwa na asali hivi leo ni nchi masikini. Je kuna haja ya kujiuliza tumefikaje huko kama Watanzania? Adui wa taifa hili ni moja tu...aliyehatamia madaraka toka uhuru! A fool and his money are soon...
  8. Red Giant

    Demokrasia inatupotezea sana muda na nguvu

    Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita. Rais...
  9. E

    Operesheni Ondoa CCM 2025 inanze sasa

    Ndugu zangu wapinzani nawaomba tuweke itikadi zetu mfukoni na tuendeshe Operesheni Ondoa CCM 2025. Katika operesheni hii siyo mbumbumbu kuzunguka wakiwatangazia watu ondoa ccm 2025 bali ni kwetu sisi kutazama ili tuwaondoe hawa tunahitaji kufanya nini? mkakati uko hivi 1. Tutazame makundi ya...
  10. DaudiAiko

    CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

    Wana bodi, NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi...
  11. K

    Kwanini sala nyingi ujikita kuombea waliopo madarakani na kuacha vyama pinzani?

    Ukifuatilia sala na maombezi mengi yanayofanywa hasa na viongozi wa dini ya kikikristo ambayo Mimi Ni muumini utaja majina ya viongozi wa kitaifa, kimkoa, kiwilaya na hata mataifa mengine. Katika sala hizo utajwa kwa majina, Rais na Marais wastaafu, Makamu, Waziri mkuu, Jaji Mkuu, Spika ,vyombo...
  12. D

    Ikiwezekana, Bunge lianze na mswada wa dharura kujadili Katiba Mpya; hii Katiba ya sasa kitendo cha Makamu kutambuliwa kuwa mrithi ni hatari

    Suala la katiba lipewe kipaumbele sana. Katiba ni uhai. Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii. Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu. Pia linachangia sana kumuweka mbali...
  13. B

    Kutembelea Makaburi ya Kigali ukiwa na miezi minne madarakani kukusaidie kutambua dhamana uliyopewa

    Kabla ya mauaji Rwanda viongozi wa kisiasa na vyombo vya dola waliminya watu Kama tunavyoshuhudia hapa nchini Sasa. Leo Mhe. Rais ametembelea Makaburi yaliyosababishwa na watu wachache walioona wao ndio waliozaliwa kutawala. Mwenyenzi Mungu anakusudi kumpa safari siku chache baada ya dola...
  14. The Palm Tree

    Madai ya Katiba mpya ya wananchi Tanzania: Tuondoe dhana batili na potofu kuwa madai haya yanalenga kuiondoa CCM madarakani

    CCM ndiyo inaongoza serikali kwa sasa. Kwa sasa haijalishi sana kujadili namna walivyopata mamlaka ya kiutawala aidha ni kwa uhalali au kwa uharamia. Lakini muhimu ni hili, kuwa, wanadhani kuwa madai ya katiba mpya ya wananchi ni ili wao wanyang'anywe mamlaka na madaraka yao ya utawala wa...
  15. S

    CCM ni chama cha watu waoga wanaotegemea nguvu ya dola kubaki madarakani

    Huu ndio ukweli kuhusu CCM ya leo ambayo imepoteza uhalali wa kisiasa na sasa inategemea nguvu za dola kubaki madarakani. Uchaguzi wanavuruga na kuupora na sasa hata mikutano ya ndani ya vyama vya siasa wanaiogopa yakiwemo makongamano ya kudai katiba mpya. Kwa mfano, CHADEMA wamekuja na hoja...
  16. S

    Ukosefu wa ajira, ugumu wa maisha na Katiba Mpya ndio vitakavyoiondoa CCM madarakani

    CCM wafanye yote wanayofanya ikiwemo kutumia propaganda na dola kubaki madarakani, ila waeleze tatizo la ajira na ugumu wa maisha pamoja na Katiba hii mbovu tulionayo, ndio vitu vitavyokuja kuwaondoa madarakani. Hata hivyo, ili yatimie, lazima kwanza litokee jambo ambalo litatumika kama...
  17. Kamanda Asiyechoka

    Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

    Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata. Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli...
  18. T

    CCM ifanye nini ili hata isipoondoka madarakani iwe ni sawa tu?

    Kuna kila dalili kwamba CCM itaendelea kututawala watanzania kwa namna yoyote kwa miaka mingi ijayo, na ukizingatia kwamba mtaani njaa ni kali sana. Hata kama ingekua ni wewe ndugu yangu, katika mazingira kama ya Tanzania ambapo chama tawala kinahodhi kila kitu serikalini, ungeacha kutumia...
  19. Prof Koboko

    Dawa ni kuiondoa CCM Madarakani. Raia wana Maisha magumu kwa makusudi

    Sasa hatuwezi kuendelea kuwaachia nchi watu walioshindwa kuiendesha, haiwezekani gharama za maisha kupanda kwa kiasi kikubwa huku pesa mzunguko wake ni mbovu halafu kila siku kudumu Chama chaMapinduzi. Sasahivi kununua vifaa vya ujenzi ukiwa mipakani Tarime kutoka nchi jirani ya Kenya ni nafuu...
  20. Komeo Lachuma

    Kwa wapinzani hawa, CCM haitatoka madarakani milele

    Tayari wameshapotezwa maboya wana deal na alichosema Diallo. Leo Diallo ni Shujaa sababu amemsema Magufuli vibaya. Wanasahau Diallo alishawahi kuwa katika watu wanaofanya ufisaidi nchini Tuachane na Diallo. Hizi tozo za Kinyonyaji ina maana zinapita hivi hivi hatupazi sauti zetu tumehamia...
Back
Top Bottom