Bodaboda wanafanya yafuatayo bila kukamatwa:
1. Hawasimami wala kupunguza mwendo kokote iwe njia ya makutano, zebra, ama gari linaingia barabarani na limeonyesha ishara ya taa.
2. Police hawasimamishi bodaboda ata kwa ukaguzi wa leseni,kwa kuendesha mwendo wa kupitiliza, kwa kutosimama zebra...
Habari JF, ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote, Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira magumu sana na kwa gharama kubwa .
Hili serikali haioni kuna haja ya kufanya jitihada za dharula...
Wana laana isiyoisha au tuseme hawajui wanachotaka Mkapa walimwita dikteta na kumtukana Kila aina ya matusi, amemaliza salama amelala!
Kikwete alipoingia alikula matusi Kila mahali yaani huyu ndio rais mwenye roho ngumu kwa sababu huyu walimuonea kwa kuwa alikuwa anakaa kimya!
Matusi...
Katiba ya Warioba ishakulinda wewe, ishakutoa kwenye lawama, kwamba wewe hulaumiwi na CCM sababu hii ni katiba waliyoitaka watanzania. Lakini, kwanini huwatakii mema wafaidika wa mwanzo wa Katiba hii, ndugu zako Wanzibari? Sisi ndio tutafaidika mwanzo sababu sisi tumefungwa jela, tumefungwa...
Suala la maandamano ni la kikatiba na Rais Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja. Hivi yeye isingekuwa kulinda katiba angekuwa raisi kweli?
Jeshi letu mbona liko tofauti na majeshi mengine duniani...
Mbowe na CHADEMA wana lengo la kupeleka ujumbe duniani juu ya demokrasia ya Tanzania na watatumia maandamano kufikisha ujumbe huo.
Kwa kuwa CHADEMA kinakabiliwa na kutokukubalika na wananchi wa hapa nchini hivyo wanaamini wakifanya jambo litakalochochea vurugu na ikitumika nguvu kudhibiti...
Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake.
Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
Uganda wanapitia kipindi kigumu sana chini ya dictator Museveni. Leo nimesikia DW ya ujerumani inasikitisha sana watu wanauawa na kuswekwa ndani kila kukicha kisa tu dictator hataki kukosolewa kabisa na yeyote. Bora hata JPM yeye alikuwa anawaua watu kisiri Siri lakini huyu anawaua hadharani...
Licha ya Rais William Ruto kueleza manufaa ya ziara zake Nje ya Nchi, mapokeo yamekuwa tofauti kwa Wananchi wakiwemo Watumiaji wa Mitandao ambao wanakidai Rais hakai Ofisini ili kutatua changamoto za Gharama za Maisha. Katika kipindi cha miaka miwili, Ruto amefanya ziara 42 katika 26, Nchi 15 ni...
1. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo - Miaka 44
Huyu anashikilia rekodi ya kuwa Mtawala aliyekaa muda mrefu zaidi madarakani. Ni Rais wa Equatorial Guinea ambaye ameshika madaraka tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua Mjomba wake Francisco Macías Nguema.
Mbali na Afrika, Mbasogo anashikilia rekodi...
Wengi hasa waliokimbia ukatili wa Magufuli, na watanzania kwa ujumla walijenga matumaini ya utawala bora mara baada ya Samia kuingia madarakani. Sasa matumaini yamepotea kutokana na undemocratic, tyranny rule now becoming quite prevalent!
Watu wamepoteza matumain hasa baada ya Samia kukataa...
Huwa najiuliza ni chama ganii chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani, kwa sababu CCM ni kama Mandonga Ukimshinda ni kama amekushinda, na akishinda ameshinda.
Namuomba Mungu anijalie afya njema ili siku moja niweze kushuhudia kwa macho yangu CCM ikipigwa knockout na chama chochote cha upinzani.
NDOA NA FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI INA MUNGU. YENYE MAFARAKANO, HUZUNI NA CHUKI INASHETANI.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ukiona Mkeo/mumeo mnapendana, mnafuraha na amani. Mnataniana. Ni marafiki. Mnashrikiana kwa karibu kila kitu. Mnakula pamoja. Yaani ninyi maisha yenu kwa asilimia 80%...
Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea...
Just in: Spika wa Bunge la Marekani amengo'lewa madarakani na kuweka historia kuwa spika wa kwanza wa bunge la marekani kung'olewa na wabunge.
Moja ya chanzo cha Kevin McCarthy kuondolewa kwenye uspika ni baadhi ya wabunge wenzake wa Republic kumuona kama msaliti baada ya kushirikiana na...
Huu umeme umekuwa kero sana shughuli za watu zimesimama viwanda vinashindwa kufanya kazi ndo mtegemee maendeleo?
Wananchi tungekuwa serious CCM 2025 ingebidi waachie serikali kivyovyote vile hata wangeiba kura naamin nguvu ya wananchi ingeitoa.
Hata nyie chawa wa serikali mnaoipamba serikali...
Mathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu.
Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu.
Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika.
Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.