madarasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miundombinu ya Shule ya Msingi Kamama yaboreshwa, Vyoo na madarasa vyajengwa

    Hali ilivyo sasa Hali ilivyokuwa Miundombinu ya Shule ya Msingi Kamama ikiwemo Vyoo na Madarasa imefanyiwa maboresho ikiwa ni miezi kadhaa yangu kuripotiwa kuwa imechakaa na inahatarisha usalama wa afya wa Wanafunzi na wahusika wengine. Inadaiwa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui imechukua hatua...
  2. Baada ya vurugu kubwa, ofisi na madarasa kuchomwa moto ndipo mabadiliko yakaja!

    Wakuu leo nimekumbuka takribani miaka 20 iliyopita nilikuwa kidato cha nne shule ya serikali huko Mbeya. Sasa pale shule toka tunafika form 1 kulikuwa na malalamiko makubwa sana kuhusu chakula kibovu, malalamiko yalikuwa mengi sana ila yalipuuzwa hasa na second master aliyekuwa amekaa pale kwa...
  3. Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  4. B

    Ujenzi wa madarasa salama dhidi ya radi, kufuatia vifo Bukombe ni muhimu

    Geita, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=vUhvYl7Mfww Wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda, wilayani Bukombe wapoteza maisha huku 73 wakijeruhiwa nchini Tanzania Tukio hilo lilitokea jana Januari 27,2025 baada ya mvua kubwa iliyoambatana na radi kunyesha wilayani humo wakati...
  5. L

    DOKEZO Kero: Madarasa katika Shule Teule ya Sekondari Kigoma Ujiji yanavuja, ni kero kubwa kwa Walimu na Wanafunzi

    Naomba kuwasilisha kero kwa Mamlaka zinazohusika kwani madarasa ya Shule ya Sekondari Teule ya Kigoma Ujiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji yanavuja jambo linalowapa shida Wanafunzi. Wakati mvua zinaponyesha kunakosekana utulivu wa kusoma kwakuwa kila mahali panakuwa panavuja...
  6. DOKEZO Jamanii Shule ya Msingi Sinza ni chakavu, madarasa yamebomoka na Ofisi ya Walimu nayo imebomoka

    Nimefika Shule ya Msingi Sinza iliyopo Sinza, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuandikisha Mtoto wa Dada yangu ili kuanza masomo ya Darasa la Kwanza, lakini nasikitika kusema nilichokutana nacho ni huzuni kubwa kama sio mshangao, hali hiyo imenifanya nibadili uamuzi na kuamua kumpeleka kwenye Shule...
  7. N

    DOKEZO Ukosefu wa madarasa shule ya msingi Mkululu

    Hali ni mbaya sana yule ya msingi Mkululu watoto wanasomea chini ya miti kwasababu ya kukosa madarasa. Shule ipo kata ya Mkululu wilaya Masasi mkoa wa Mtwara. Raisi tunaomba msaada wako.
  8. Z

    Mwalimu wa day care na madarasa ya awali English medium anahtajika.

    K
  9. DOKEZO Hali ilivyo Shule ya Msingi Kamama (Tabora) inasikitisha, vyoo ni chakavu na vichafu, madarasa ndio usiseme

    Juzi kati nilikuwa Tabora, Kata ya Goweko, Kijiji cha Kamama niliendea kumtembelea ndugu yangu wa karibu pande za Uyui mkoani hapo, kuna kitu ambacho nilikiona na nikajiambia hii sasa ni hatari. Nimekuta Wanafunzi na shule nzima ya Msingi Kamama iliyopo Wilayani hapo ina changamoto nyingi...
  10. Darasa kwenye Shule ya Msingi Tella limeporomoka kutokana na uchakavu, masomo yanaende, viongozi wameitelekeza

    Moja ya darasa la Shule ya Msingi Tella iliyopo katika Wilaya ya Hai hapa Mkoani kwetu Kilimanjaro limeporomoka kutokana na uchakavu wa majengo hayo ya shule lakini hakuna msaada tunaoupata kutoka kwa Viongozi wetu. Wanafunzi wapo Shuleni wanaendelea na masomo kama kawaida huku tukiwa hatuna...
  11. A

    DOKEZO Shule ya Msingi Kitonga (Dar) ina Wanafunzi 4,000, Walimu 14, Madarasa 13

    Shule ya Msingi Kitonga iliyopo kwenye Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam (Ilala) iliyopo Kata ya Msongola, Kitonga ina Wanafunzi zaidi ya 4000 ambao wanatumia madarasa 13 huku wakitegemea Walimu 15. Utaratibu wa shule hiyo Wanafunzi wote uripoti asubuhi ambapo baadhi ya Wazazi wenye Watoto...
  12. M

    SoC04 Ujenzi/upanuzi wa madarasa mapya ya shule za kata kila mwaka na kubana maeneo ya michezo

    Naipongeza serikali kwa ujenzi wa shule za kata kwa nchi yetu ya Tanzania kila wilaya kwasasa wanafunzi wetu wanapofaulu wanauhakika wa kuendelea na kidato cha kwanza pia na ukaribu wa sehemu wanazoishi. Hii imeondoa adha ya ukatili wa kijinsia na kuwajengea weledi watoto. Hoja yangu ni Hii...
  13. Pre GE2025 Harambee ya Mbunge Yafanikisha Upauaji wa Madarasa ya Shule Shikizi Kiunda ya Musoma Vijijini

    HARAMBEE YA MBUNGE YAFANIKISHA UPAUAJI WA MADARASA YA SHULE SHIKIZI KIUNDA YA MUSOMA VIJIJINI Tarehe 12.1.2024 Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo aliendesha HARAMBEE iliyolenga kukamilisha kazi ya upauaji wa boma la Shule Shikizi Kiunda ya Kijijini Kamguruki, Kata ya...
  14. A

    DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

    Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa. Naomba tu na hili...
  15. Ruvuma: Mkurugenzi wa Tunduru asema kuna Bajeti ya Tsh. Milioni 56 zimetengwa kujenga madarasa Shule ya Msingi Magomeni

    Baada ya picha ya madarasa ya Shule ya Msingi Magomeni ya Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma kusambaa zikionesha uhaba wa Madawati na miundombinu chakavu, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Chiza Marando amesema wanafahamu kuhusu changamoto hizo na kuna bajeti ya maboresho. Marando...
  16. Bilioni 1.8 za Mradi wa BOOST Zakamilisha Ujenzi wa Shule 2 Mpya na Madarasa 25 Halmashauri ya Ushetu.

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga, Mhe. Dkt. Emmanuel Cherehani amesema kuwa jumla ya Shilingi Bilioni 1.8 za mradi wa BOOST zimetumika kukamilisha ujenzi madarasa 25 na Shule mpya 2 ikiwa ni Shule ya Msingi Shilabela Iliyopo Kata ya Ulewe Ushetu na Shule ya Msingi Kona Nne iliyopo...
  17. B

    Ridhiwani Kikwete achangia saruji ujenzi wa madarasa Chalinze, akagua miradi ya maendeleo

    Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Ndg. Ridhiwani Kikwete amefanya ziara fupi katika kata ya Kiwangwa kuongea na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Kijiji kuhusu shughuli ya maendeleo katika eneo hilo. Katika kikao hicho pamoja na mengine mengi , Mbunge wa Chalinze...
  18. Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu amwaga chozi hadharani akiwa kwenye ziara ya kukagua changamoto za shule hasa vyoo na madarasa

    Ndugu wana jamii tafadhali pokea taarifa hiyo yenye uchungu mkubwa toka kwa Mhe. Tabasamu ametoa machozi hadharani, mwenye video tafadhari atuwekee hapa. Video ipo kwenye comments (Manjagata ameiweka) Hii ni taarifa halisi isipokuwa kwa kuwa sina video ndio mana sijaweka katika uhakika wake...
  19. Mbeya: Mwanafunzi wa Form 4 akamatwa kwa tuhuma za kuchoma moto vyumba viwili vya madarasa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Serikali Iyela ya Jijini Mbeya aitwaye YESSE CHARLES [17] kwa tuhuma za kuchoma moto vyumba viwili vya madarasa vya Shule hiyo. Ni kwamba, Septamba 13, 2023 huko katika Shule ya Sekondari...
  20. SoC03 Kujenga Madarasa Mapya kila mwaka sio suluhisho kwenye Elimu ya Secondary

    Tutajenga Madarasa Mapya hadi lini? Je kujenga Madarasa kila mwaka sio suluhu Kama kadri wanafunzi wanavyo ongezeka na madarasa mapya yanajengwa basi ni hatari na kuna wakati itafikia maeneo mengi yatakuwa yamegeuka kuwa shule, kwa hali ya sasa hadi viwanja vya michezo vya shule baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…