Nchi yetu ina upungufu mkubwa sana wa vyumba vya madarasa na shule. Maana wanafunzi wengi huwa wanakosa masomo sababu ya kukosa madarasa ya kusomea au shule kuwa mbali na maeneo wanayoishi.
Kuliko serikali kukopa pesa World Bank na kuzitumia kujenga madarasa na shule. Bora Dreamliner...
Mh tunaomba ukifika mkoa wa Tabora omba viongozi wakuambie tangu shule zifunguliwe wametatuaje changa moto ya upungufu wa madawati na vyumba vya madarasa wakikudanganya siye tutasema ukweli,
Ni ajabu na aibu sana mkoa ambao una gereza kubwa uyui, una miti mingi ya asili ya mbao watoto bado...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), David Silinde ameagiza halmashauri zote nchini Tanzania, kuhakikisha hakuna mwanafunzi anayekaa chini kwa kukosa madawati au kusoma chini ya miti.
Silinde amesema, maeneo yenye upungufu wa madarasa kunapaswa kujengwa...
Juzi Alhamis nilialikwa ITV, Malumbano ya Hoja kuhusu Mfumo wetu wa elimu.
Ukweli ni kwamba nchi yetu tuna sera nzuri sana ya 2014 na ilizinduliwa na Kikwete kwa Shamrashamra watu wakisifu sasa tunakwenda kuleta mapinduzi ya mfumo wetu wa elimu nchini ,ila hadi sasa tunatekeleza sera ya elimu...
Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe David Lusinde (Mb) amesema kitendo cha ubunifu wa ujenzi wa shule tatu za mchepuo wa kingereza ambazo zitakuwa zinamilikiwa na Serikali kupitia Halmashauri ya Arusha Dc zitasaidia kuchochea kasi ya Ujenzi wa madarasa kutokana na mapato ya shule hizo kila...
Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara.
Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa mahakamani kwa kumshambulia Mtendaji.
Nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazalendo waliorekodi tukio hili la...
Tatizo la uhaba wa madarasa limekuwepo kwa muda mrefu na lilianza kushamiri hasa miaka ya tisini.
Ukweli ni kuwa sababu kubwa ni ongezeko la idadi ya watoto wanaotakiwa kujiunga na elimu ya msingi na sekondari kwa ujumla.
Kuleta visingizio kuwa eti awamu ya tano kuanza kutoa elimu bure ndio...
Nauliza tu maana hapa Kihesa Iringa kuna watu wanasuasua kuchangia ujenzi wa madarasa kwa madai kuwa hiyo siyo sera ya chama chao.
Binafsi nimeshachangia mifuko 10 ya cement.
Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama
Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu.
Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na utaratibu huu wa hovyo. How can we be safe?
Pesa za umma zitumike kwenye elimu, afya na ulinzi...
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Ole Sanare ameagiza wenyeviti wa vitongoji 21 vilivyoko katika mji mdogo wa Mikumi kukamatwa kwa kushindwa kuwahamasisha wananchi kushikiriki ujenzi wa madarasa.
RC Sanare amesema alijua kuna kutoka kwa wenyeviti katika ujenzi wa madarasa hayo ambayo kwa kiasi kikubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.