Bila mkuu wa wilaya ya Moshi kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasi wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa Moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa.
Swali la msingi, halmashauri imempata mkandarasi asiyejulikana...